TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT, Amatus Liyumba afariki dunia


Mkuu naona unamfahamu vizuri marehemu, hebu jazia nyama....
 
Ni bora na huyu aliye iba na kugawia mabinti zetu magari kuliko yule msambaza pingu mwenye kuwachezea watoto zetu na kuwahonga Laki moja moja.
Nani huyo tena mlete tumjadiri ili aache ako katabia
 
Wabongo movie wamefanyaje mkuu?
 
Kama yeye alishindwa kumtambua/kumuomba mungu kwa mema unategemea wewe ndo utasikilizwa na mungu.yeye aliamua kuwa mtu muovu ndo njia aliyoichagua.
Una uhakika kabla ya kifo ilikuwa ni hivyo hivyo?? utajuaje baada ya ile mitihani kumfika alitubu na kurudi kwa Mungu wake.???
 
ndio huyu wanasema alikuwa akihonga kwa siku Rav4?????? anyway R.I.P
 
Watu mnapenda mno kutaka kumpangia MUNGU, sio , kila mtu anatakiwa kupumzika anapostahili, nasio kila anaekufa basi ni one way peponi.

Acheni kumpangia MUNGU hukumu , msije kujiingiza kwenye madhambi mengine buree.

Semeni, alale anapostahiri

Sio yeye tuu, bali wote wanaokufa.
 
Wanajuana.....
lakini tabia za visasi si nzuri maana wote ni jora moja walizidiana vyeo tu.
sasa na yeye yatamkuta kabla hajafa..
unafunga watu kwa uzinifu wakati una wake?
Na kama wizi mbona Tz one anajulikana.?
 
it a final destination on the earths ground r.i.p bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…