Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala ahukumiwa kulipa fidia ya Tsh. milioni 80

Kuna mmoja anaitwa Juma Sweda alikuwa Misungwi (Mwanza) ila siku hizi kahamishiwa Wilaya nyingine, yule jamaa alinifilisi kwa ubabe wake.
Nafikiria namna ya kumfungulia mashtaka atatoka alipo aje kunilipa fidia na akome. Hata nisipofungua kesi Mungu amlaani asifanikiwe alipo
Mama amfatilie mambo yake atashangaa, ni zaidi ya Ba... Shit
 
Alitaka kuonja sumu kwa kuilamba. Hahaha

Sent from my SO-01J using JamiiForums mobile app
 
@ndege JOHN

Sent from my SO-01J using JamiiForums mobile app
 
Mtu wa hovyo sana ,anaingia ofisini anaanza kudai leo na hamu na kugombana na mtu na anagombana na watu kweli .Mi niliona nafanya kazi na boksi nikakimbia mbio nyingi sana vinginevyo angeshanilaza kwenye ubaridi.
Viongozi WA mwendazake, boss alikua na kiburi kiasi akawaambukiza hadi walio chini yake
 
Ulikuwa unazama uswekeni kula mbege, asubuhi unamalizia na katizi
 
Kuna moja alijaa kwenye 17 zangu sasa hivi ana nyea ndoo....
 
Kumbe alikuwa na mambo ya kipuuzi
 
Kumbe ni hulka ya tangu utotoni.
 
Alex Ntonge ??!!, aise hii habari wacha niifuatilie kwa karibu nilisoma na mtu anajina kama hilo Alex Ntonge
 
Hivi ndivyo inapigana kuwa kwa walevi wa madaraka
 
Hii ni sababu mojawapo ya DC na RC kuchaguliwa kwa kupigiwa kura na wananchi.
#Katiba mpya
 
Wakuu wa wilaya na mikoa wachaguliwa kwa kura na wananchi kuondokana kuwekewa watu wa hovyo kuwa watawala wenye mamlaka makubwa.
 
tunaomba CV yake ikiwapendeza na kama kuna mashtaka mengine mpelekeni tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…