Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nikisema tarehe 17.03.2021 tulipata uhuru muwe mnaelewa
Mungu alilikomboa taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu alilikomboa taifa
Uko sahihi kbsNikisema tarehe 17.03.2021 tulipata uhuru muwe mnaelewa
Alitaka kuonja sumu kwa kuilamba. HahahaSiku moja nilikutana naye Uhazili, nilipokuwa na majukumu maalum.
Alinikuta nahudumiwa kwa wakala pale nje. Nilikuwa naweka fedha kwenye simu.
Sasa kafika, kapitisha kono lake puup, ndani. Hela zangu zikamwagika. Kistaarabu, kulikoni brother? Kaniambia sogea watu wa Muhimu tuhudumiwe tuwahi kuihudumia jamii. Unanifahamu mimi nani?
Nilishikwa na hasira, nikachukua hela zake na kuzitoa nje. Nikasogeza na Million moja ikadondoka chini.
Bahati nzuri kwake, kijana huyo akatoka na kunituliza. Akachukua hela za Komanya na kwenda nazo ndani. Mimi nikahudumiwa na binti, nikamalizana.
Alisema atanitafuta. Nikamueleza namba yangu utachukua kwa huyu binti anayenihudumia.
Ukweli ni kuwa alinitafuta na alituma vijana wake wanifuate. Mh Sengati aliimaliza ishu kiutu uzima
Mpumbavu mno. Ana ubabe wa kipuuzi.
@ndege JOHNKuna mmoja anaitwa Juma Sweda alikuwa Misungwi (Mwanza) ila siku hizi kahamishiwa Wilaya nyingine, yule jamaa alinifilisi kwa ubabe wake.
Nafikiria namna ya kumfungulia mashtaka atatoka alipo aje kunilipa fidia na akome. Hata nisipofungua kesi Mungu amlaani asifanikiwe alipo
Mama amfatilie mambo yake atashangaa, ni zaidi ya Ba... Shit
Mpuuzi nini wewe?Chai...[emoji847]
Kauli za "Unanijua mi nani" hazikusikika kabisa enzi za Hayati JPM.
View attachment 2463783
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Viongozi WA mwendazake, boss alikua na kiburi kiasi akawaambukiza hadi walio chini yakeMtu wa hovyo sana ,anaingia ofisini anaanza kudai leo na hamu na kugombana na mtu na anagombana na watu kweli .Mi niliona nafanya kazi na boksi nikakimbia mbio nyingi sana vinginevyo angeshanilaza kwenye ubaridi.
Ulikuwa unazama uswekeni kula mbege, asubuhi unamalizia na katiziJamaa nimesoma nae UMBWE BOYS....kipindi naingia form ONE ye alikuwa form FIVE
Alikuwa ni kiranja wa ulinzi... Usiombe umetoroka one time kuingia mjini halafu ukawa hauja attend roll call...halafu yeye ndio kaandika majina ya watoro... Utadhani sio mwanafunzi jinsi alivyo kuwa anatoa adhabu...
Jamaa lilikuwa MBAVU halafu muonevu mbaya...
Amenikumbusha mbali kweli [emoji1787][emoji1787]
Kuna moja alijaa kwenye 17 zangu sasa hivi ana nyea ndoo....Siku moja nilikutana naye Uhazili, nilipokuwa na majukumu maalum.
Alinikuta nahudumiwa kwa wakala pale nje. Nilikuwa naweka fedha kwenye simu.
Sasa kafika, kapitisha kono lake puup, ndani. Hela zangu zikamwagika. Kistaarabu, kulikoni brother? Kaniambia sogea watu wa Muhimu tuhudumiwe tuwahi kuihudumia jamii. Unanifahamu mimi nani?
Nilishikwa na hasira, nikachukua hela zake na kuzitoa nje. Nikasogeza na Million moja ikadondoka chini.
Bahati nzuri kwake, kijana huyo akatoka na kunituliza. Akachukua hela za Komanya na kwenda nazo ndani. Mimi nikahudumiwa na binti, nikamalizana.
Alisema atanitafuta. Nikamueleza namba yangu utachukua kwa huyu binti anayenihudumia.
Ukweli ni kuwa alinitafuta na alituma vijana wake wanifuate. Mh Sengati aliimaliza ishu kiutu uzima
Mpumbavu mno. Ana ubabe wa kipuuzi.
Kumbe alikuwa na mambo ya kipuuziSiku moja nilikutana naye Uhazili, nilipokuwa na majukumu maalum.
Alinikuta nahudumiwa kwa wakala pale nje. Nilikuwa naweka fedha kwenye simu.
Sasa kafika, kapitisha kono lake puup, ndani. Hela zangu zikamwagika. Kistaarabu, kulikoni brother? Kaniambia sogea watu wa Muhimu tuhudumiwe tuwahi kuihudumia jamii. Unanifahamu mimi nani?
Nilishikwa na hasira, nikachukua hela zake na kuzitoa nje. Nikasogeza na Million moja ikadondoka chini.
Bahati nzuri kwake, kijana huyo akatoka na kunituliza. Akachukua hela za Komanya na kwenda nazo ndani. Mimi nikahudumiwa na binti, nikamalizana.
Alisema atanitafuta. Nikamueleza namba yangu utachukua kwa huyu binti anayenihudumia.
Ukweli ni kuwa alinitafuta na alituma vijana wake wanifuate. Mh Sengati aliimaliza ishu kiutu uzima
Mpumbavu mno. Ana ubabe wa kipuuzi.
[emoji38][emoji38][emoji38]Kuna moja alijaa kwenye 17 zangu sasa hivi ana nyea ndoo....
Kumbe ni hulka ya tangu utotoni.Jamaa nimesoma nae UMBWE BOYS....kipindi naingia form ONE ye alikuwa form FIVE
Alikuwa ni kiranja wa ulinzi... Usiombe umetoroka one time kuingia mjini halafu ukawa hauja attend roll call...halafu yeye ndio kaandika majina ya watoro... Utadhani sio mwanafunzi jinsi alivyo kuwa anatoa adhabu...
Jamaa lilikuwa MBAVU halafu muonevu mbaya...
Amenikumbusha mbali kweli [emoji1787][emoji1787]
Mkuu wa Dar ilikuwa zake hizo! Mkoa ukawa wake, hupati tenda tena kwenye mkoa wangu.Chai...[emoji847]
Kauli za "Unanijua mi nani" hazikusikika kabisa enzi za Hayati JPM.
View attachment 2463783
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Alex Ntonge ??!!, aise hii habari wacha niifuatilie kwa karibu nilisoma na mtu anajina kama hilo Alex NtongeMahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora imemhukumu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala kumlipa fidia ya shilingi milioni 80 Alexander Ntonge mkazi wa kata ya Ipuli Tabora mjini, baada ya kupatikana na hatia katika mashitaka aliyofunguliwa ya kuwaamuru Askari Polisi kumkamata Ntonge na kumdhalilisha isivyo halali.
Akisoma hukumu hiyo katika shauri la madai namba 4 la mwaka 2021, Hakimu Mkazi, Jovith Kato alisema, mahakama imepitia ushahidi wa pande zote mbili na kujiridhisha kwamba Komanya Kitwala alitenda kosa hilo Januari 5 mwaka 2020, na hivyo mahakama imemuhukumu kulipa shilingi milioni 80 badala ya shilingi milion 140 ambazo mlalamikaji alidai kulipwa kutokana na makosa ya udhalilishaji.
Awali, wakili wa mlalamikaji, Kelvin Kayaga aliiambia mahakama kuwa, Komanya Kitwala alikwenda nyumbani kwa mlalamikaji akiwa na Askari Polisi ambao aliwaamuru kumkamata na kumtesa, kisha kumuweka ndani katika Kituo Kikubwa cha Polisi Tabora mjini bila kuwa na kosa lolote, ambapo baadaye aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora kwa wakati huo, ACP Safia Jongo aliagiza mlalamikaji Alexander Ntonge kuachiliwa huru kwa madai kulikuwa hakuna kosa lolote alilofanya.
Nenda insta search Ntonge utampataAlex Ntonge ??!!, aise hii habari wacha niifuatilie kwa karibu nilisoma na mtu anajina kama hilo Alex Ntonge
Kuna mmoja anaitwa Juma Sweda alikuwa Misungwi (Mwanza) ila siku hizi kahamishiwa Wilaya nyingine, yule jamaa alinifilisi kwa ubabe wake.
Nafikiria namna ya kumfungulia mashtaka atatoka alipo aje kunilipa fidia na akome. Hata nisipofungua kesi Mungu amlaani asifanikiwe alipo
Mama amfatilie mambo yake atashangaa, ni zaidi ya Ba... Shit