Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala ahukumiwa kulipa fidia ya Tsh. milioni 80

Alisha lipa hiyo fidia?
Kuna mwingine alikua Korogwe, alishindwa kazi kabisa Sasa hivi analia Lia kwenye media. Pumbavu kabisa.
Badala ya kucheza na vitukuu, yeye anawalaumu watu walipokua chini yake.
Mahakama ya Rufaa imetengua uamuzi huo! Jamaa halipi tena!
 
Alisha lipa hiyo fidia?
Kuna mwingine alikua Korogwe, alishindwa kazi kabisa Sasa hivi analia Lia kwenye media. Pumbavu kabisa.
Badala ya kucheza na vitukuu, yeye anawalaumu watu walipokua chini yake.
Nani huyo mkuu?
 
Kongole kwa mahakama ya mkoa wa Tabora,,,wengine igeni mfano huu.For real mtabarikiwa sana.
 
Back
Top Bottom