TANZIA Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo afariki Dunia

Dogo acha uchizi unaijia migogoro ya ardhi wewe? Sio uropoka tu taja hiyo migogoro ambayo makonda katatua nchi nzima
 
Connection tu. Ndio maana nchi nafeli kila kona #Nepotism
 

Balozi Lukindo aliagiza benzi lina chapa za jina lake kutoka kiwandani Ujerumani ?

Wait a minute, hold up! Mlisema alikuwa Mzalendo makini, kipenzi cha Julius Nyerere, the most modest statesman in all of African history, na akaomba apewe kazi kijijini kutoka ubalozini Italia, yani mfano nadra wa maisha ya chini, na unyenyekevu, sasa anaagiza mabenzi custom made. Tushike lipi ?

Kuna siku Pombe Magufuli, give the devil his due, aliwakomba maofisa wa Foreign Affairs, kwenye msafara wake Uleling'ombe na Mbigiri, Kilosa ndani ndani huko, halafu akamwambia Waziri Kabudi, utabaki hapa kutatua hizi kero. Foreign Affairs na misafara ya ndani wapi na wapi ?

Hayati Magufuli kumbe aliona hawa Foreign Affairs wanapoenda nje labda hata hawajui malengo ni nini. Akataka wajue wanaenda kushughulikia agenda za maisha ya akina nani.



Maisha ya watu dirt-poor, dog-sick, dying hungry, masikini wachafu, kapuku wa kutupwa.
Sasa kama unasifia balozi wa third world kujiagiza benzi custom made, kwa kipato cha ujanja ujanja serikalini, unaona ni poa, then you are a piece of dookie. Ndo maana tunawalaani, tunawakataa.


Binti wa Mwakipesile Mbarikiwa, aliyetiwa nguvuni kwa kutunga battle cry ya "Mnatuona Nyani Tu," na kumnyooshea kidole Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa kwa utekaji na mauaji ya wakosoaji, amefanya makubwa kuliko mabalozi wote combined!

Her father, Rev. Mwakipesile Mbarikiwa, a country bumpkin who owns a church without a building, and currently rotting in jail for his relentless condemnation of injustice and corruption, not least the give-away port deal with Dubai investors, has done more for the country than the empty suits of retired diplomats, all combined! Nobody knows Balozi Lukindo. Mwakipesile Mbarikiwa is a household name!
Again and again, these are our heroes, forever and a day.
 
Hapo sawa, ila sio "PUMZIKA KWA AMANI" hata baadhi ya waislamu wanatamka hivyo, sijui kama ni sahihi!
Ni chaguo la mtu. Dini ipo na uamuzi wa mtu upo pia. Kwa hiyo mtu kutamka vile apendavyo bado ni uhuru wake .
 
Mtikila huyu huyu aliyehongwa pesa na CRDB akanyamaza asifanye fyoko au Christopher Mtikila gani?

Yeye unamjua Christopher Mtikila kuliko Monica Sozigwa anavyomjua?
Ha haa haaa.😆
Hii ya Mtikila nilikuwa siijui.
Natamani ungenipa habari zaidi juu ya kisanga chote lakini hapa siyo mahali pake kwenye TANZIA.
 
Na vp kuhusu mabikra 72 wakiwa ahera??
 
kulikuwaga na member flani humu anajiita lukindo alikuwa na avatar picha flani ya ndege. Alikuwaga very active akapotea ghafla ni mda sasa, inaonekana alibadilisha jina ya id na avatar picha.
Hapana Mkuu umepotoaha kwa magu alikuyekuwa mlinzi Mkuu no yule aliekuwa anasimama nyuma ya black au huyo ostaz was rufiji alilkuwa mrefu na yupo slim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…