TANZIA Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo afariki Dunia

Huwa inajulikana anaitwa Details Leader, ambaye kwenye convoy ya ulinzi wa rais yeye ndio mkuu na wanakuwa wawili wanapokezana. Ndani ni kipindi cha Magu walikuwa wawili pia, yule black na yule ostazi wa Rufiji
Ostaz wa rufiji yupo?
 
Kuna yule R.Lukindo slikuwaga balozi Japan yule mzee alikuwa mtu poa sana sema naye (RIP)

Ova
Balozi Raphael Lukindo, balozi old school kichizi. Mpaka Nyerere ilikuwa anataka sana kumsikiliza.

Balozi alikuwa kapewa kazi kufungua ubalozi wa Italy, baada ya miaka michache akaomba kurudi Tanzania akafanye kazi vijijini. Mpaka Nyerere mwenyewe akashangaa. Baadaye alimfanya kuwa mkuu wa Itifaki.

Balozi Lukindo alimpinga Waziri Mkuu Sokoine kwa point, halafu Sokoine akalazimisha hoja kwa kuwa yeye Waziri Mkuu. Baadaye ikaonekana Balozi Lukindo alikuwa sawa na alivyoonya points zake zimekuwa vile vile.

Nikikumbuka washua kama hawa waliokuwa na uzalendo na principles halafu nikilinganisha na viongozi wapigaji wa leo, nasikitika sana.
 
Umenikumbusha ya PROfesa MaHALu na Ben stadium ,ubalozi uliofunguliwa na rapha wakaona m-bovu basi wanunue mwingine

nimecheka sana
 
Kuna kada fulani ya mabalozi old school wale wazee kina George Nhigula, Raphael Lukindo, Salim Ahmed Salim, wale umakini na uzalendo wao sijui kama tutaupata tena nchi hii.
 
Huwa inajulikana anaitwa Details Leader, ambaye kwenye convoy ya ulinzi wa rais yeye ndio mkuu na wanakuwa wawili wanapokezana. Ndani ni kipindi cha Magu walikuwa wawili pia, yule black na yule ostazi wa Rufiji
Huyu hakuwa mlinzi mkuu. Mlinzi mkuu yupo ambaye wote ureport kwake. Alipewaga ubalozi.
 
Kuna kada fulani ya mabalozi old school wale wazee kina George Nhigula, Raphael Lukindo, Salim Ahmed Salim, wale umakini na uzalendo wao sijui kama tutaupata tena nchi hii.
Umakini na uzalendo kwa lipi ????

Tutajie mambo au jambo moja ambalo hao mabalozi Lukindo, Salim, Nhigula walilisimamia katika kupambana na u-third world wa nchi hii: rushwa, na umasikini, na kuuza madini, ardhi na wanyama wa nchi hii kwa wageni, na chaguzi dhalimu za CCM, na mauaji ya polisi, na Kangaroo judiciary, njaa za wananchi, elimu za shule za Kayumba, vitoto vinakufa kwa kukosa mseto wa malaria huku wao wanatibiwa nje, wasteful spending, disease, death and distasters of this country.

Taja hapa jambo au mambo waliyoyapigania hao kina Salim Ahmed Salim.
 
Umakini na uzalendo kwa lipi ????

Tutajie mambo au jambo moja ambalo hao mabalozi Lukindo, Salim, Nhigula walilisimamia katika kupambana na u-third world wa nchi hii: rushwa, na umasikini, na kuuza madini, ardhi na wanyama wa nchi hii kwa wageni, na chaguzi dhalimu za CCM, mauaji ya polisi, njaa za wananchi, elimu za shule za Kayumba, wasteful spending, disease, death and distasters of this country.

Taja hapa mambo waliyoyapigania hao kina Salim Ahmed Salim.
Jambo gani ambalo litaweza kukufurahisha wewe? Lina vipimo gani vya kukufurahisha wewe tulitafute?

Maana nisije kukutajia mambo kemkem kumbe wewe kivuruge tu nia yako kuwa negative kwa kila kitu.
 
Back
Top Bottom