Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ile hotuba/speech yake bungeni naichukulia kama the best speech ever niliyowahi kuisikia toka nimeanza kufuatilia bunge.

Quote ingine ya Albert Einstein aliyotumia that day ni kuhusu "Insanity", doing the same thing over and over again and expecting different result.

Ni mtu mzuri kujenga hoja, nadhan njaa imempiga kias ndio kahamia huko.
 
Kichwa chako kina kitu 🤝
 
Vipi,kanunuliwa au siyo?😁

Huyu ndiye alidai kuahidiwa uwaziri na
Magu akihamia CCM!!

Sasa hivi kaahidiwa nini na nani?
 
take it as a W
 
Hamna mwenye unafuu si chadema wala ccm, upinzani umechunda km kiporo hawana sera za mvuto tena ccm hao ndo kabisa kinachofanya waendelee kupumua ni ule chama dola
 
Chadema Mnisikilize muelewe
Mbowe ni Mamluki yuko Upinzani kujenga ulaji wake na kuwapumbaza. Hataki Watu smart ndani ya hicho chama.
Tangu ameharibu watu kuanzia kwa Chacha Wangwe mpaka leo anaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…