Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chacha Mwita Waitara
 
Mtutajia na wasaliti wengine waliyopo chamani ili tuwajue kabisa na sio hadi wahame chama ndio mseme huo unakuwa unafki.
 
Sasa yule chawa wa mbowe miss Erythrocyte atasemaje mana Lowassa alivyohamia Chadema alisema kuwa kule ccm alikuwa anafanyiwa mabaya, haya aje atuambie tena wamemfanya nn Mchungaji Msigwa πŸ˜‚
 
Unaonaje mama amavyoupiga mwingi?

Mama ni mwema siyo dhalimu kabisa!
Huyo Msigwa toka enzi za dhalimu alikuwa ameshafika bei. Kwa sasa hana jinsi zaidi ya kwenda chama cha majizi.
 
Hatari sana
 
Chadema sio chama ,wamesambaratika kama cuf tuu.
 
Msigwa ilikuwa ahame tangu kipindi cha Magufuli lakini sijui ni nini kilitokea akasita.
Alikuwa anajistukia kila watu wakiongelea kwenda kuunga juhudi. Aliendelea kubaki cdm kwa shingo upande sana. Baada ya kukosa cheo hivi karibuni akaanzisha kilio fake ili aweze kuhamia kwa majizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…