Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
STUPID ZAKE, HILO NI FUNGU LA KUKOSA
 
 

Attachments

  • VID-20240701-WA0005.mp4
    1.5 MB
Mbona hata Mbewe alifungwaa
 
Kwahiyo huko ccm ndio kwenye uzalendo?
 
Kwahiyo kuna watu wanaamini wao ndio wanastahili kuwa viongozi tu?

Sasa asubiri kura za maoni za ccm achukuwe fomu ya ubunge ndio ataijuwa kata funuwa ya ccm.

Labda asubiri kuhongwa Udc ndio kijiwe cha majobless.
 
Kwahiyo kuna watu wanaamini wao ndio wanastahili kuwa viongozi tu?

Sasa asubiri kura za maoni za ccm achukuwe fomu ya ubunge ndio ataijuwa kata funuwa ya ccm.

Labda asubiri kuhongwa Udc ndio kijiwe cha majobless.
huyo watampa iringa mjini, jesca watampa viti maalumu. kesi imeisha, mtakutana bungeni kama mbowe atakuwa amejipanga vizuri walau mpate wabunge kadhaa.
 
Hili nilishawahi kusema sana humu. Kuna kasumba ya Makamanda wenzangu kugeuza siasa kama biashara au ajira kuliko kuwatumikia wanabchi.

Sasa wengi wapo kwa ajili ya kudaka ubunge au uongozi ndani ya chama. Wakikosa tu wanahama. Na mwaka 2025 wengi tu watahama baada ya kukosa ubunge.

Chama chetu kinatakiwa kuwa na makamanda wafia chama kama mimi.
 
1. Je unaonaje kuna haja ya katiba mpya
2. Je kuna haja ya tume huru ya uchaguzi
3. Je sheria za uchaguzi zinakidhi haja
4. Je bandari zimeuzwa
5. etc etc

Na mtuletee majibu hapa
 
maswali hayo ni sawa na kumwambia ale ugali na mkaa wa Moto.

Huku aki jua nini kita mtokea baada ya kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…