Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Mbowe naye anasubiri kupewa maua yake. Zitto naye kamaliza kazi yake. Sasa tunaanza wanasiasa wadogo akina Nondo kuwakuza. Waje wawe mawe mazito.Nani alikwambia Tanzania kuna upinzani? Msigwa keshamaliza kazi yake na atapewa tuzo siku si nyingi.
Hakika. Ila mbowe ataendelea kubaki Huko Huko analipwa ruzuku. Na Mwakani anarudishiwa jimbo lake.Mbowe naye anasubiri kupewa maua yake. Zitto naye kamaliza kazi yake. Sasa tunaanza wanasiasa wadogo akina Nondo kuwakuza. Waje wawe mawe mazito.
Mbona hukusema siku za nyuma mmmmmmMsigwa ni mwakirishi wa matapeli wa Iringa,wanaiba Mali za watu wanatapeli.maheka na maheka ya mashamba ya miti na pia kuchoma misitu ya Sao Hill ili watoboe,nitakuwa wa mwisho kuipenda Iringa.Nimewaona sio watu poa na msigwa aende na opotee mazima
Kazi yake ilikua bado haijaishamagufuri alimtaka sana ahamie na ampe uwaziri alijifanya mjanja akagoma, leo anashawishiwa na mwanamke anakubali...naamini msigwa anachembe chembe za uzinzi......haiwezekani umuogope mwanaume mwenzake
Wewe ndio unajua leo? PoleDaaah siasa K....manyoko,siasa si kitu cha kushupaza sana misuli ya shingo na kugombana na watu, kwani wanasiasa hasa wa upinzani hawajui wanataka nini.
Mbowe kwa sasa amezeeka hana kashikashi kama zile za kipindi kile. Anatakiwa arudi tu aendelee na kula Faru John kwa ulaini.Hakika. Ila mbowe ataendelea kubaki Huko Huko analipwa ruzuku. Na Mwakani anarudishiwa jimbo lake.
Kumbe watu wengine wengi mko tofauti na mimi kabisa. Kadiri CCM inavyovuta wanasiasa wengi basi ndivyo ukombozi unavyokaribia kwa haraka. Reason: wanasiasa wa aina hii wanakimbilia vyeo lakini jambo lililo dhahiri ni kuwa CCM hakuna nafasi za kuwatosha wote. Hili litasababisha anguko la CCM kwa haraka zaidi kwa sababu kutakuwa na mgongano mkubwa. Hapo wengi ya wanaoimba kumshangililia Msingwa wanaumia kichinichini kwa sababu wanajua kabisa ushindani unazidi vya kupata vyeo unazidi ndani ya CCM.Kama ni kweli, basi ndio mwisho wangu wa kumuamini mwana siasa wa upinzani bongo.
Vipi wanaotoka CCM kwenda upinzaniWe ulikuwa unawaamini hao?
Hii ni nature's laws lazima a back mouthAje sasa aanze kuitukana CDM.
Hebu kitaje kikundi hicho cha wanaCCM walioamua kuwa slave.Ni ngumu sana watu wa CCM kuamini CCM ni kikundi cha watu wachache walioamua kutuslave.
Ni ngumu pia kwa watu wa CDM kuamini CDM ni kakikundi cha watu wachache watafuta hela walioamua kuwa na frame ya biashara nje ya CCM au bargaining chip kwa CCM kila wanapotaka hela.
Kama upinzani wenyewe ndio huu,sioni wakukitoa chama tawala madarakani,hata kama kikifanya makosa.Wewe ndio unajua leo? Pole
Mkuu, nilikuwa namuunga Msigwa mkono hadi hii leo. Hapa naunga mkono yeye kuukosa ule uwenyekiti dhidi ya Sugu, kukosa nafasi ya uongozi sio sababu ya kukihama chama.