Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watu waliowekeza maisha kwemye siasa,kuhama chama si jambo baya.Kikubwa maisha yaende
 
Si Bora angeamia kipindi cha shem wake jpm alambe uteuzi.
Sasa hivi Hana madhara chadema wala CCM.ndo historia yake imeisha hivo.
Ila niulize Tu hivi chadema ni chama cha siasa cha kuleta mageuzi nchini au ni genge Tu la wajanja janja.so far sijaona chama cha maana cha upinzani hapa tz.
Watanzania wengi akili sufuria maana ni wabinafsi Sana .
 
We mjinga sana, endelea basu na CCM yako, make imewafanya muwe mazuzu
Nmeikuta nmezaliwa ipo nmepambana na hali yangu ipo
hamtanikuta kwenye siasa mpaka itapokua inanifaidisha direct kama ilivyo kwa kina Madelu TAL na Msigwa
Wewe kama upo sjui CDM CCM hainihusu kwangu nyie wote walewale
 
Msingwa katumwa ,yuko kazini.
 
Kuandamana unaandamana kwa sababu ya mwanasiasa? Hapa ndipo wabongo wengi tunapokwama. Tunadhani kuunga mkono harakati za haki ni kufaidisha wanasiasa. Unadhani ukikaa kimya unamkomoa nani? Ni wewe na familia yako na utakufa kibudu!
Nitajie mwanaharakati wa haki nmojawapo wa Kitanzania ambaye hana affiliation na political party yoyote
 
Ilitegemewa angehamia huko baada ya kubwagwa na sugu kisha akaanza kujambia ushuzi kunuka viongozi wakuu wa chadema. Aende tu wakapambane jimboni na jesca au atapewa wilaya huko mbeleni
 
CCM haishindwi na haijawahi shindwa..!!!πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ”°πŸ”°βœ…βœ…πŸŸ©πŸŸ©πŸŸ’πŸŸ’πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£


View: https://youtu.be/pIHBW--L_Mc?si=NroK4af03Kg5xFeV
 
CCM ni Chama Imara sanaaaaaa βœ…πŸŸ’πŸ”°πŸ’šπŸŸ©πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona msigwa anaonaona aibu kama yuko uchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…