Citizen_37
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 957
- 1,124
Hapo inabidi CDM wamchukue Mpina kwa hali na mali ili akazibe pengo!Msigwa in, Mpina out 🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo inabidi CDM wamchukue Mpina kwa hali na mali ili akazibe pengo!Msigwa in, Mpina out 🐒
Baada ya kuwa ameondoka?
shetani ni yup apo kwa mfano 🐒Kikulacho ki nguoni mwako, acha aende kila shetani na mbuyu wake
Chadema wakati mwingine ni vichwa ngumu aisee.kwa hiyo P msigwa alikuwa anakisaliti chama akiwa ndani ya chadema ? Common guys !! Mwenyekiti amekata zaidi ya Miaka 20 ,Leo mnafundisha watu democrasia? Serious ? Na Kabwe naye alikuwa msaliti eti? Na Dr slaa naye alikuwa msaliti? Daaaah
Unajua matumizi ya hayo maneno "trojan horse "?Yeriko anajidanganya kubwa wameshinda vita. CDM kuna trojan horse kibao ambao ni ccm bado wapo na wataendelea kuwepo.
Cdm ukiwa against mbowe tu basi lazima upewe usaliti,vijana wengi wa cdm awajielewi!Maneno ya hovyo kabisa, leo eti Msigwa alikuwa msaliti, vijana wa CHADEMA wengi wamekuwa misukule ya Mbowe..!!
Msigwa ndio alikuwa anatetea demokrasia ya kweli ndani ya Chadema, alikataa rushwa na udikteta wa Mbowe, yaani Mbowe ndio awe kama Mungu mtu huko Chadema, hata ile kuruhusu mgombea mwingine ndani ya CDM agombee uenyekiti tu imekuwa dhambi kubwa , yaani ukionyesha nia ya kugombea uenyekiti utaonekana msaliti mkubwa sana..!!
Vijana wa hovyo wa Chadema hawayaoni yote hayo, bali mtu akiondoka sbb ya kutetea haki na demokrasia ndani ya CDM ataitwa msaliti au pandikizi la CCM, upuuzi kabisa kwa vijana wa aina hii..!! Stupid..!! CCM ni Chama cha wote, Chama huru na Chama Tawala, Chama chenye kuongoza kwa mifano ya kweli, uongozi Imara kwa kila mwananchi na kila mwanachama mwenye sifa ana ruhusa ya kugombea..
Kama ni kweli, basi ndio mwisho wangu wa kumuamini mwana siasa wa upinzani bongo.
Atakuwa kanuniliwa huyoMchungaji Peter Msigwa amejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na amepokelewa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM NEC kinachoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Daktari Samia Suluhu Hassan
Alizaliwa Juni 8 1965, ni mwanasiasa Mtanzania aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Iringa Mjini (2015-2020)
Kwa sasa Mchungaji Msigwa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA.
Hivi karibuni 30 Mei 2024 Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu, alimshinda Mchungaji Peter Msigwa kwenye Cheo cha Uwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa.
Katika uchaguzi wa kanda hiyo uliofanyika ukumbi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makambako, ambao ulikuwa na mchuano mkali, Sugu aliibuka kidedea baada ya kupata kura 52 sawa na asilimia 51 dhidi ya Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa aliyepata kura 51 (asilimia 49). Matokeo hayo Mchungaji Msigwa hakukubaliana nayo kwa kile alichodai haki haikutendeka na alikata rufaa.
====
Kuhusu Mchungaji Msigwa kutaka kupewa Uwaziri na Hayati Magufuli soma:
1. Kuelekea 2025 - Mchungaji Msigwa: Hayati Magufuli alitaka kunipa uwaziri na pesa lakini nilikataa
2. Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa
View attachment 3029802
Chadema wakati mwingine ni vichwa ngumu aisee.kwa hiyo P msigwa alikuwa anakisaliti chama akiwa ndani ya chadema ? Common guys !! Mwenyekiti amekata zaidi ya Miaka 20 ,Leo mnafundisha watu democrasia? Serious ? Na Kabwe naye alikuwa msaliti eti? Na Dr slaa naye alikuwa msaliti? Daaaah
Kwanini mkuuWatu hatari ndani ya CCM ni mzee Maganda wa Hai, Msigwa, na Mzee WA meno ya tembo
Falsafa yake ni ipi mkuu?Naipenda CHADEMA mpaka kufa kwangu
Namba Moja ni Mangi mwenyewe wa machame,hapo CHADEMA ni kama wanatwanga maji kwenye kinu tuhKamati kuu ya Chadema ina wana CCM wasiopungua watano, wana maelekezo wakae underground