Mbuzi Mzee
JF-Expert Member
- Feb 5, 2015
- 348
- 82
Elimu ndiyo inayoendesha siasa,sio siasa itawale elimu.Tanzania inaongeza vyeti na kupunguza ubora wa elimu si kuboresha.
I guess upo kwenye deep sleepd dreaming....
Siku.hizi na chet tu unapga jiwe wanasema wanapiga cozi flan then ndo wanpga jiwe....dah huu ni umbururaaaaKwani sinilazima kama ukitokea form 4 upitie certificate thn diploma ndio akachukue degree!? Au sijaelewa mada!?
hapa mm sijaelewa, hizo degree za aina hiyo zinatolewa chuo gani?
sekomu
sekomu
Kwani sinilazima kama ukitokea form 4 upitie certificate thn diploma ndio akachukue degree!? Au sijaelewa mada!?
sekomu
umeongea kweli mtoa mada, yaani mtu amefeli form 4 hakupata matokeo ya kuenda A/level halafu mnaenda kumaliza degree pamoja. hii kweli sio haki
Siku.hizi na chet tu unapga jiwe wanasema wanapiga cozi flan then ndo wanpga jiwe....dah huu ni umbururaaaa
sekomu