Aliyemaliza Form 4 anawezaje kusoma degree moja kwa moja?

Aliyemaliza Form 4 anawezaje kusoma degree moja kwa moja?

Kwani sinilazima kama ukitokea form 4 upitie certificate thn diploma ndio akachukue degree!? Au sijaelewa mada!?
Siku.hizi na chet tu unapga jiwe wanasema wanapiga cozi flan then ndo wanpga jiwe....dah huu ni umbururaaaa
 
Mbuzi mzee,

Hapa mm sijaelewa, hizo degree za aina hiyo zinatolewa chuo gani?
 
Last edited by a moderator:
Hamjaelewa uzi nyinyi ngoja nilale nkiamka ntawaelewesha
 
Mimi nafikiri ana maana mtu lazima asome form 6 ndio aanze degree, ila mtu ana weza fika form 4, akapata 2 au 3 division akaenda chuo akasoma certificate au Diploma then with upper second or First class anaweza kuanza degree vizuri tuu.

Huu ni mfumo tuu ila after degree all have equal chances for employment
 
umeongea kweli mtoa mada, yaani mtu amefeli form 4 hakupata matokeo ya kuenda A/level halafu mnaenda kumaliza degree pamoja. hii kweli sio haki
 
Hiki chuo cha CBE kinanishangaza sana kinatoa degree hovyo sana, mtu amefeli vibaya form four anaenda CBE anasoma mwaka 1 mmoja certificate utamsikia dip mwaka 1 tena huyo degree, hiki chuo kimewapa degree watu vilaza kabisa ambao tulisoma na o level lakini sasa hivi eti wanadegree na wao
 
umeongea kweli mtoa mada, yaani mtu amefeli form 4 hakupata matokeo ya kuenda A/level halafu mnaenda kumaliza degree pamoja. hii kweli sio haki

Inauma sana alafu hao wanaopata hizo degree ndo wanaoajirika alafu sisi tuliokomaa hatupati chansi
 
Sasa nyie kama wachumba tu mnataka wenye degree bora zimekuja hizo ili nasi tupate migegedo misomi.
 
Siku.hizi na chet tu unapga jiwe wanasema wanapiga cozi flan then ndo wanpga jiwe....dah huu ni umbururaaaa

Duh,yaani from cheti tu direct to degree??? Mi ndio naisikia leo hii.Kweli!!!
 
Back
Top Bottom