Aliyemdanganya Rais kwamba kuna waliofungwa kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe akamatwe haraka

Uongo huwa hauna umri wala Cheo, na ni dhahiri sasa kwamba Mh Rais alidanganywa na kuambiwa mambo ya uongo , kwamba kabla ya kukamatwa Mbowe alikimbilia nje ya Nchi baada ya kupat
Zero ndo alimuingiza mkenge
 
Kwanza kabisa umeandika kishabiki halafu hujaandika alicho kisema rais mpendwa na wananchi samia suluhu hassan, alichokisema ni kuwa kuna wengine wameshahukumiwa sasa wewe kwa akili yako fupi unajuwa mtu akihukumiwa anaenda jela tu hata ukiachiiwa ni hukumu yako hiyo sasa kama watu walikuwa saba na sasa wako wanne wengine wako wapi? Inamaana hao wengine hukumu yao walitoka waliobaki ndiyo magaidi unamshutumu rais? Huna akili wewe
 
Kwa utaratibu huu ambapo amelishwa matango pori na kuyabugia. Hiyo mikataba anayosaini vipi? Duh!
 
Tunaomba nakala ya hukumu yao
 
Kwamba Mh Rais ni sehemu ya Mchongo ?
 
[emoji38][emoji38] nilijua tu utakwama
siyo kukwama hivi kweli hata kama hujui kabisa watu walikuwa saba kiatala kauliza akajibiwa ndiyo sasa wapo wanne wengine wako wapi? nakwama nini sasa? hebu nijibu wanne wapo wapi?
 
I wish ningekuwa Rais, nadhani ningewashughulikia wote walio nilisha matango pori. Yaani mmoja baada ya mwingine.
Msichojua ni kwamba Raisi ndiyo injia wa hili jambo, ukweli wote anaujua na ni mpango wa raisi na vyombo vyake kuhakikisha Mbowe anabaki ndani hata kama ni katika mzingira ya uonezi. kwasababu uwezo wa Mbowe wa kufanya siasa amewazidi kwa mbali sana hawa CCM.
niwakumbushe tu; Taifa letu kwa sasa lipo kwenye mapito magumu sana miaka mitano ya Magu na hata sasa na siku za usoni tutaendelea kupita kwenye hili tanuri mpaka wanachi watakapo amua kusema basi (japo ccm hawaogopi kuiba haki ya wananchi inayopitia box la kura), vinginevyo hakuna namna tutatoka katika hili giza. Mara nyingi tumeshuhudia viongozi wakubwa kabisa wa vyombo vya ulinzi na usalama wakiongea waziwazi juu ya mahaba yao na CCM hata kama ni kwa kuvuja sheria ama kukiuka dhamana za viapo vyao, na hii yote ni kwamba wameamua kuliteketeza taifa kwaajili ya maslahi ya kundi dogo la watu waliyoshindwa kufanya siasa za kistaarabu.
 
Vile vile walimwambia Mh Rais kuwa Mbowe alienda nje kwa kutoroka asikamatwe wakati Mbowe aliondoka kwa ruhusa ya RCO Oysterbay huku akiendelea kuripoti kituo cha polisi kwa sheria na taratibu.

Hii nchi kweli ina Parallel state ambayo ina operate nje ya Ikulu ya Samia?
 
na hicho ndicho tulichotaka kithibite wazi aumbuke yeye na team yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…