Aliyemdanganya Rais kwamba kuna waliofungwa kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe akamatwe haraka

Kesi imetungwa enzi za Magufuli wala haina ubishi. Fujo za katiba Mpya ndio zikafanya iibuliwe lakini ilishatungwa na ni ya uongo toka zamani
 
Wewe ndo huna akili na umeonyesha akili yako jinsi ilivyo finyu hapa.
1. Kwanza hukumu hutolewa na mahakama sio polis
2. Pili hilo swali ameulizwa leo shahidi upande wa serilaki na kibatala kasema hakuna waliohukumiwa
 
Kwani yeye Samia alikuwa anaishi nchi hipi, mpaka kudanganywa?acheni propaganda za kitoto Samia anajua kila kitu.

Hakuna propaganda hapo, mwanamke kudanganywa na kutongozwa mpaka kuingia line, ni jambo la kawaida! Au umesahau ukiondoa nafasi aliyo nayo, bado jinsia yake inabaki pale pale?

Kimsingi Ndugai safari hii alikuwa na akili sana, lakini pia aliwaza mbali.
 
Wewe ndo huna akili na umeonyesha akili yako jinsi ilivyo finyu hapa.
1. Kwanza hukumu hutolewa na mahakama sio polis
2. Pili hilo swali ameulizwa leo shahidi upande wa serilaki na kibatala kasema hakuna waliohukumiwa
Aliyeshuriki kuwakamata na kuwafungulia mashtaka Insp Tumaina Sostenes Swilla ndio aliwaachia hao watuhumiwa wengine Elia Kaaya, Khalidi na Muhina
 
Nyoka Swila ameshapondwa kichwa!Nimemuona kidando akijaribu kumzoazoa kwenye damu lakini maiti ya jana
 
Narudia tena hauwezi kumdanganya rais hata Siku Moja, Rais anavyanzo vingi vya tarifa hivo hauwezi kumdanganya,hata Kama alidanganywa sasahivi ameisha jua ukweli Mbona hatuoni akimwachilia?
 
hili jinga linaweza kupenga kamasi tu. hivi husikii mpelelezi akisema hakuna mtu aliyehukumiwa?
 
Hao watatu walihukumiwa lini? Walihukumiwa na mahakama ipi? Na ni kina nani kwa majina? Kama kesi ni moja yenye washtakiwa Saba ilikuaje hukumu ya watatu itoke kabla kesi haijaisha? Kwa ufupi mi nahisi rais alidhamiria kusema uwongo. Huyu rais hakumpa pole mh. Mbowe alipopatwa na msiba?

Rais ampe pole mtuhumiwa wa ugaidi! Sishawishiki alidanganywa, sababu ingalikuwepo kesi ya uhaini mahakamani Samia mwenyewe angekuwa anaijua na kuifuatilia kwa vile alikuwa makamu wa rais, na kwa nafasi hiyo anapaswa kujua masuala nyeti yanayohusu usalama wa nchi.
 
Mimi sina shida na waliomwambia ila hofu yangu ni kweli Rais hana umakini kiasi hiki??, Hivi unawezaje kutoka hadharani km Rai namba 1 wa Nchi kusema jambo la Uongo hasa kwa kiongozi wa chama??.

Binafs nitakuwa wa mwisho kuamini kama Rais hakuwa na taarifa za mchongo wa kesi hii, bali kinachotokea mahakamn kwa mashahidi hawakutegemea kupata heavy cross examination kias hicho.

Kwa hili limeonesha uwezo mdogo alionao Rais kutafakari na kuchagua mambo ya kusema.
 
siyo kukwama hivi kweli hata kama hujui kabisa watu walikuwa saba kiatala kauliza akajibiwa ndiyo sasa wapo wanne wengine wako wapi? nakwama nini sasa? hebu nijibu wanne wapo wapi?
Wee kapuku mimi ni mdau wa kesi hii , hivi hawa akina kaaya na urio ndio waliohukumiwa ? unadhani unaweza kudanganya jf kiboya namna hiyo ?
 
Wewe ndio mpuuzi kabisa, kwahiyo hao wengine walifunguliwa kesi na kuhukumiwa mahakam ipi
 
Narudia tena hauwezi kumdanganya rais hata Siku Moja, Rais anavyanzo vingi vya tarifa hivo hauwezi kumdanganya,hata Kama alidanganywa sasahivi ameisha jua ukweli Mbona hatuoni akimwachilia?

Ni kwa sababu tu ya kuto kujiamini bila shaka. Hivyo ameona atumie njia hii kumyamazisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…