Aliyemdanganya Rais kwamba kuna waliofungwa kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe akamatwe haraka

Kabla haujaandika makala ulitakiwa ujue ugaidi ni nini na kesi za ugaidi ni zipi... Then ukue siro aliulizwa swali gani na katika mazingira gani na uyo mahakamani anaulizwa swali gani ja katika mazingira gani.

Issue za ugaidi sio kama kesi za kuiba kuku...

Ugaidi na kuuwa kwa kutumia silaha unajua kama ni kesi tofauti kabisa ingawaje zoote zinaweza sababisha mauaji ?????
 
Kwa nchi za wenzetu yangeandaliwa maandamano ya kumg'oa kwa kutoa taarifa za uongo na kuingilia uhuru wa mahakama, hii ilikuwa kashifa kubwa sn kwa mhimili moja
Mbona alipolibananga bunge kwa kumkaripia spika mlishangilia?
 
Zero brain.uoni hata aibu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kusema ukweli nimesikitika kwa hili lililotokea kwa Rais wetu. Natamani Rais akija afanye jambo kwa wote waliofanya hadi akautangazia ulimwengu vile.....


 
Sasa si atoe amri ya kuachiwa? Si uwezo huo anao?

Alafu huyu rais wenu kwanini ni mwepesi namna hii? Kama anadanganywa kwa vitu vidogo namna hii vipi vile vikubwa?
Kumbe saizi sio Rais wenu?😀
 
Ni Ujinga mtupu unaojitahidi kueleza. Siro sio mpelelezi wa kesi na hajui chochote ndio maana jamuhuri haija muweka bwana zero Kama shahidi.

Mtu mwenye taarifa zote za kesi ni mpelelezi aliyepo Mahakamani ambaye ameulizwa swali na Kibatala na amelijibu kuwa hakuna mtu aliyehukumiwa. Sasa kama wewe hutaki majibu ya Shahidi wenu wa michongo Mwambie Hangaya au wew mwenyewe mwende mkamthibitishie Mh. jaji ni mtuhumiwa gani alisha hukumiwa ila leo Jaji amesha andika hakuna aliye hukumiwa ktk kesi hii.
 
fanyeni kazi mjenge taifa nyie watu,kesi ya mbowe haiwasaidii chochote kuinua uchumi wako ,wa taifa.
mipuuzi km nyinyi utakuta mmejazana maofisini humo mnapiga porojo tu za kesi sijui ya nini upuuzi mtupu.huku kazi za watu zinalala
 
Narudia tena hauwezi kumdanganya rais hata Siku Moja, Rais anavyanzo vingi vya tarifa hivo hauwezi kumdanganya,hata Kama alidanganywa sasahivi ameisha jua ukweli Mbona hatuoni akimwachilia?
naomba kwa heshima na taadhima uende youtube sikiliz mazungumzo ya Furaha Dominic na Nyanda wa Star tv. Ndio utajua hii nchi ikoje
 
Hii dhana ya kusema Rais kadanganywa naikataa kabisa title ilitakiwa kuwa kwanini Rais kaudanganya ulimwengu?

Kusema Rais kapotoshwa au kadanganywa ni kumfanya adeke ajione yeye ni wakudekezwa na siyo responsible kama Rais!

Rais anatakiwa kuwa makini kwa kila anachotamka au kutenda lakini zaidi anatakiwa kuwa mtu wa kufatilia mambo muhimu zaidi !

Hivi Samia alishindwa kujipa muda na kuchunguza kama kweli wahusika wamesha hukumiwa au lah..kama jambo dogo kama hili bado tunasingizia kuwa Rais anapotoshwa sasa kazi yake ni nini pale chamwino?

Rais anapotoshwa vipi wakati anavyo vyombo vingi vya kujiridhisha?

Ukweli ni kwamba Samia ni mvivu sana wa kufatilia mambo no wonder awezi kujiridhisha hata kwa mambo madogo na makubwa...

Rais Samia yeye ndio Rais awezi kupotishwa bali anajipotosha na kuudanganya Umme wa wa tanzania.
 
 
Emmanuel Macron. If you know what I mean[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa yeye ni robot, aliambiwa Jambo moja kwa moja anaamini? Mbona magazeti natv kila Mara walikua wakireport?

Watu hawataki kukubali kuwa Samia ni tabia yake ya kutofatilia mambo ya msingi na kujipa muda....
Hivi kweli Rais anawezaje kufanganywa pamoja na kuwa na vyanzo vingi vya taarifa? Lazima tukubali Samia alisema uongo yeye mwenyewe tusimsingizie mtu yeyote!
 
na hicho ndicho tulichotaka kithibite wazi aumbuke yeye na team yake.
Ana umbuka vipi sasa na wakati atakuwa katimiza lengo?.Kifupi ni kwamba Mbowe ilikuwa ni lazima akae kizuizini ili kupisha serikalini mpya na iliyoingia madarakani kwa ghafla na yeye akaanza kuichanganya na mambo ya katiba.Tambueni tu kuwa siasa ni sayansi.
 
nina uhakika huyu mama hakudanganywa na mtu. Bali uwezo wake uliishia hapo.Si unaona hata mambo basic kwenye katiba hayajui?!
Kumbuka siasa ni sayansi,kitendo cha Mbowe kukalishwa mahabusu kwa mwaka mmoja tu ni kutimia kwa lengo la serikali.Lengo la serikali lilikuwa ni kuondoa buguza katika kipindi kigumu cha mpito kufuatia kuondoka kwa aliyekuwa Rais na kiti chake kukaliwa na mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…