[emoji23][emoji23][emoji23]Mbowe akiachiwa leo utashangaa bavicha wanashangilia kwamba wameichachafya selikali!Ana umbuka vipi sasa na wakati atakuwa katimiza lengo?.Kifupi ni kwamba Mbowe ilikuwa ni lazima akae kizuizini ili kupisha serikalini mpya na iliyoingia madarakani kwa ghafla na yeye akaanza kuichanganya na mambo ya katiba.Tambueni tu kuwa siasa ni sayansi.
Serikali imetimiza lengo la kumnyamazisha Mbowe ili kupisha serikali mpya ya mama ijipange.Mwaka mmoja au na zaidi Mbowe akiwa mahabusu,ni ushindi kwa serikalini.Siasa ni sayansi.[emoji3][emoji3][emoji3]Mimi sina shida na waliomwambia ila hofu yangu ni kweli Rais hana umakini kiasi hiki??, Hivi unawezaje kutoka hadharani km Rai namba 1 wa Nchi kusema jambo la Uongo hasa kwa kiongozi wa chama??.
Binafs nitakuwa wa mwisho kuamini kama Rais hakuwa na taarifa za mchongo wa kesi hii, bali kinachotokea mahakamn kwa mashahidi hawakutegemea kupata heavy cross examination kias hicho.
Kwa hili limeonesha uwezo mdogo alionao Rais kutafakari na kuchagua mambo ya kusema.
Tatizo wanadhani siasa ni kama kula ugali unachukua tonge na kulipeleka mdomoni,kumbe siasi ni mbinu na akali nyingi.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]Mbowe akiachiwa leo utashangaa bavicha wanashangilia kwamba wameichachafya selikali!
Wanawake wa kiarabu hawajawahi kupewa akili. Wanachojua nikubana sauti na kurembua. Na kuolewa mitala.. ndio sababu Siro anamfanya ananavyotaka:Ila Chifu Mkuu alikuwa anatoa habari pale BBC kwa uhakika na matao kama kweli vile!😝😝😝😝
kwanza tuanze,SSH alikuwa Nani ktk nchi hii before!!?Hakujiongeza angejua ukweli....wacha ibaki hivyo hivyo
Kama wewe ni sehemu ya walio mshauri Rais huu ujinga basi haina akili. Hivi unajua kupitia hii kesi MBOWE amekuwa mpya kwenye siasa!!, Wamemjenga kisiasa bila kujua.Serikali imetimiza lengo la kumnyamazisha Mbowe ili kupisha serikali mpya ya mama ijipange.Mwaka mmoja au na zaidi Mbowe akiwa mahabusu,ni ushindi kwa serikalini.Siasa ni sayansi.[emoji3][emoji3][emoji3]
Takhibiiiiiiiiirrrr!!Samia alidanganya hapaswi kuendelea kukalia kiti hicho. Kuwa na rais ambaye anaingia uhuru wa mahakama ni tatizo.
Kwanza kabisa umeandika kishabiki halafu hujaandika alicho kisema rais mpendwa na wananchi samia suluhu hassan, alichokisema ni kuwa kuna wengine wameshahukumiwa sasa wewe kwa akili yako fupi unajuwa mtu akihukumiwa anaenda jela tu hata ukiachiiwa ni hukumu yako hiyo sasa kama watu walikuwa saba na sasa wako wanne wengine wako wapi? Inamaana hao wengine hukumu yao walitoka waliobaki ndiyo magaidi unamshutumu rais? Huna akili wewe
Hivi huwa mnaishi nchi gani?Kifupi huku uswahilini hiyo kesi wala haijulikani.Kama wewe ni sehemu ya walio mshauri Rais huu ujinga basi haina akili. Hivi unajua kupitia hii kesi MBOWE amekuwa mpya kwenye siasa!!, Wamemjenga kisiasa bila kujua.
Na kwa taarifa zako waliomshauri hili wote wamewekwa kitomoto.
Mbona mnaanza kukiri wenyewe kuwa kesi ni ya mchongo?Serikali dhalimu pekee ndio huweza kutenda aliyotendewa Mbowe na hao makomandoo!Tatizo wanadhani siasa ni kama kula ugali unachukua tonge na kulipeleka mdomoni,kumbe siasi ni mbinu na akali nyingi.[emoji3][emoji3][emoji3]
Na wewe mswahili umeijuaje sasa kama huko uswahilini haijulikani?Hivi huwa mnaishi nchi gani?Kifupi huku uswahilini hiyo kesi wala haijulikani.
Majinga hayo na Chui jike lao achana nao
Ni dhahiri sasa kwamba Mh Rais alidanganywa na kuambiwa mambo ya uongo , kwamba kabla ya kukamatwa Mbowe alikimbilia nje ya Nchi baada ya kupata taarifa kuwa miongoni mwa watuhumiwa kwenye kesi hii wamekwishahukumiwa kifungo jela baada ya kukiri makosa yao ya Ugaidi .
Mh Rais alitoa kauli hii hadharani tena kwa kujiamini kabisa , Alipokuwa anahojiwa na BBC ambalo ni shirika la Utangazaji la kimataifa, maana yake ni kwamba habari yake hiyo ilisikika Duniani mote .
Bali sasa ni dhahiri shahili kwamba kauli ile haikuwa ya kweli baada ya Mpelelezi Mkuu na nguli wa kesi hii mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya 20 kwenye kitengo hicho , aliyesomea Botswana , Inspector Tumaini Swilla kukanusha jambo hilo Mahakamani mbele ya Mtukufu Jaji Tiganga , Swilla akijibu swali la Wakili wa Utetezi Kibatala , ameiambia mahakama kwamba Watuhumiwa wa Ugaidi wako wanne na ni ambao wameshitakiwa Mahakamani na wala hakuna mwingine yoyote aliyefungwa miongoni mwao .
Kwa kufupisha : Ni nani alimdanganya Mh Rais kuhusu jambo hili kiasi cha kumdhalilisha mbele ya jamii ? je anastahili kuendelea kubaki ofisini , na kwanini asikamatwe na kushitakiwa kwa kumdanganya Rais?
View attachment 2120063
Pia, soma: Rais Samia: Mashtaka dhidi ya Mbowe sidhani kama yamechochewa kisiasa
Ishiii, ukuyomba kinenhe!Basi tuseme kenyewe ni kahongo
unadanganya kwa faida ya nani ?Hivi huwa mnaishi nchi gani?Kifupi huku uswahilini hiyo kesi wala haijulikani.
Aiseee !!!Wanawake wa kiarabu hawajawahi kupewa akili. Wanachojua nikubana sauti na kurembua. Na kuolewa mitala.. ndio sababu Siro anamfanya ananavyotaka:
Kama Taifa tumeingizwa cha kike mazima.
Unajuaje làbda na yeye alikuwa kwenye Umoja wa mchongo wa kesi hiiI wish ningekuwa Rais, nadhani ningewashughulikia wote walio nilisha matango pori. Yaani mmoja baada ya mwingine.