Aliyemshoot Trump ni Gen Z wa USA Thomas Methew Crooks miaka 20, nimeogopa sana 🐼

Ona aibu basi.
Kusema wanajielewa!
 
Pia na waliopewa madaraka wayatumie vizuri kwa wanaowaongoza mavyeo kujikusanyia mahela ya wizi viburi na majivuno ya vina mwisho wake .Wananchi ni watu wema sana ila wanaowaongoza baadhi busara imewapungukiwa.
 
Gen Z wa Bongo bado yupo shule saa hii, anafundishwa Contemporary Cross-Cutting Issues, Life Skills, The rise of Capitalism in Europe na Rise of Democracy in Europe!
Ondoa wasiwasi mkuu!
🀣🀣🀣🀣
Nimecheka Sana au anakariri halo hellena lile Beberu..
Au anafundishwa Lack of Capital, poor Policy au Anafundishwa Nationalism ya Africa ya Kusini na Nyerere na kina Kaunda na Samora Machel 🀣🀣
 
Hebu weka hapa picha ya makalio yako ili niweze kureply Post yako.
 
Miaka 20 kwa US unapata mtu ako na skills tayari na pengine kapitia mafunzo ya jeshi au namna ya kuhandle mtutu...
 
Dunia itakuwa mahali salama,endapo tutaheshimuana kwa kuwepo usawa,bila matabaka ya wenye nacho wasio nacho,walio wezi wakodi za walipa kodi na wasio wezi na pia kutambulika na kuthaminiwa wavuja jasho ambao ndio walipa kodi na wazalendo wa kweli.🫠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…