Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Naomi hayipo nasi tena yu maavumbini. Lakini walio hai tumeona namna haki ietendendeka.haki imetendeka ila Naomi yuko wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomi hayipo nasi tena yu maavumbini. Lakini walio hai tumeona namna haki ietendendeka.haki imetendeka ila Naomi yuko wapi
Unafikiri hamis anajali....alishakubali matokeohaki imetendeka ila Naomi yuko wapi
Wala hajutii huyooo kitendo alichofanyaAnafikiria bora asingeoa kabisa .
UsihukumuMtu kama hakutaki muache aendelee na maisha yake na wewe pambana na hali yako kuliko kuua.
Wewe sababu umezoea kutobolewa tobolewa na mwenzio unataka atobolewe taratibu taratibu au sio mkuu?Kama ananyongwa wanakosea....huyo wangemuua taratibu....kata vidole,kata nyayo,kata limguu...hapo siyo muda huohuo...mnampa muda wa kuugulia...kazi itaishia atakapokata roho🤒
Basi tukuchome ww na magunia mawili ya mkaa.Usihukumu
We jambazi niniKama ananyongwa wanakosea....huyo wangemuua taratibu....kata vidole,kata nyayo,kata limguu...hapo siyo muda huohuo...mnampa muda wa kuugulia...kazi itaishia atakapokata roho🤒
Mtu kama hakutaki muache aendelee na maisha yake na wewe pambana na hali yako kuliko kuua.View attachment 3250391
Unachokisema ni ukatili, hata kunyonga kuna sheria zake. Mhusika asiumie sana🤣Kama ananyongwa wanakosea....huyo wangemuua taratibu....kata vidole,kata nyayo,kata limguu...hapo siyo muda huohuo...mnampa muda wa kuugulia...kazi itaishia atakapokata roho🤒
Marehemu uso na sura yake vinaongea mengi.....lazima alikuwa anachepuka huyuMtu kama hakutaki muache aendelee na maisha yake na wewe pambana na hali yako kuliko kuua.View attachment 3250391
Ulisoma kinachojaadiliwa hpo kabla?Basi tukuchome ww na magunia mawili ya mkaa.
Wawakamate na wasiojulikana pia sio hao mmoja mmoja tu#HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo Februari 26,2025 imeanza kusoma hukumu ya kesi ya mauaji, inayomkabili Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38), anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa.
Katika kesi hiyo ya mauaji namba nne ya mwaka 2019, mshtakiwa Luwonga ambaye ni Mkazi wa Kigamboni, Dar es Salaam anadaiwa Mei 15, 2019 akiwa Gezaulole eneo la Kigamboni alimuua Naomi Marijani.
#Follow @radioonetanzania