Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa

Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa

Mtu kama hakutaki muache aendelee na maisha yake na wewe pambana na hali yako kuliko kuua.
f722ab26d31614cfe0bcbe34e4e52e1d.png
 
Basi tukuchome ww na magunia mawili ya mkaa.
Ulisoma kinachojaadiliwa hpo kabla?
Nilisema usihukumu kwasababu tabia zza binadam zinatokana na mambo tofauti tofauti so kabla ya kuhukumu jambo alotenda bnaadamu yyte baya au zuri yapaswa ujue sababu kwanza.
 
#HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo Februari 26,2025 imeanza kusoma hukumu ya kesi ya mauaji, inayomkabili Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38), anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa.

Katika kesi hiyo ya mauaji namba nne ya mwaka 2019, mshtakiwa Luwonga ambaye ni Mkazi wa Kigamboni, Dar es Salaam anadaiwa Mei 15, 2019 akiwa Gezaulole eneo la Kigamboni alimuua Naomi Marijani.

#Follow @radioonetanzania
Wawakamate na wasiojulikana pia sio hao mmoja mmoja tu
 
Back
Top Bottom