Mr Mwabange
Member
- Jul 30, 2015
- 66
- 55
Watawala waliopita walipiga ila hichi kibibi kimezidi.
Mimi kupiga sina shida nako , shida yangu ni kwenda kuficha pesa kwenye mabenki ya nje ,
Tungepiga marufuku kupeleka pesa nje ya nchi , hata Kama ni muwekezaji atumie mabenki yetu local , ndio tutaona mzunguko vizuri wa pesa . Na uchumi utakua !