Aliyemuelewa Mkurugenzi wa TPA, Plasduce Mbossa atusaidie kufafanua hili


Wewe ndio huelewi, unahitaji kupitia huu mkataba mpya.
 

Toka zako apa , ninyi endeleeni kula wala hamjakatazwa , lakini kila kitu kina mwisho , tunaomba usimtaje tena usimfanamishe Mr Mwabukusi na mtu yeyote , Yule ni Hero wetu , Yule ni mtanzania halisi , Yule ni Mwafrika halisi . Yule ni mcha Mungu halisi , Yule ni mpigania haki halisi , Yule ni mwana wa Mungu halisi
Ninyi endeleeni kula lakini ndio mauti yenu ya milele ,
Fikiria ukifa unaenda wapi? Na Mungu atakudai huduma aliyokupa kwa ajili ya Taifa lako , je ulifanya sawa ?
Ngoja nikuambie “
Fedha na dhahabu ni mali ya Bwana , Sasa unatumia vibaya mali yake kiubinafsi utajibu !
 
Muda muda muda
 
DPW iko njiani kuchapa kazi na kuonesha matokea. Habari ya kukabidhiwa bandari imeisha pita sasa ngojeni mshuhudie matokeo chanya sie yale madudu ya miaka 60 iliopita.
Wapiga dili ba wachomoaji wa bidhaa kwenye makontena wana kilio kikubwa.
 
Mauzo ya Almasi Mwadui yalipata ridhaa ya wananchi. Gesi Mtwara, Dhahabu, makaa ya mawe, SGR, Bwawa la Nyerere na ............na ..........na............
Binafsi sijawahi kutoa au kupewa fursa ya kutoa ridhaa ya miradi yote mikubwa ya serikali. Leo hii sauti zinatoka wapi.....? Au dhambi ni Rais Samia kuweka vitu hadharani!
 
Mfumo unaokwenda kuendesha bandari unaitwa kwa kingereza Landlord Port.

TPA anakuwa na wapangaji wawili na wakati huo huo anaendesha sehemu ya bandari

Ni sawa na wewe Erythrocyte uwe na eneo kubwa la nyumba hapo unapoishi unaamua kuishi sehemu ndogo tu na inayobakia unachukua kodi kutoka kwa wapangaji, unaua ndege wawili kwa kutumia jiwe moja.

Magati namba sifuri mpaka namba tatu yanatumiwa na TPA, magati namba nne mpaka saba ni DPW, magati namba nane mpaka kumi na moja wapangaji hawajapatikana mpaka muda huu bado wanaendelea kutafutwa.
 
Mmmm! Usimfanishe Mwambukusi na mtu yeyote! Kama huyu mtu anasifa uzitajazo, pendekezo langu ateuliwe kuwa mgombea uRais kwa tiketi ya CHADEMA uchaguzi mkuu 2025. Ili atupeleke kwenye nchi ya ahadi.
 
Wewe ndio huelewi, unahitaji kupitia huu mkataba mpya.
Haya msomi Econonist, na kwa ajili ya usomi wako mimi nitakuita "Economist". Ndio bado nipo katika kuvisoma vitini. Sielewi kama msomi, ila kama mwananchi wa kawaida nimeelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…