HapanaAlichokifanya TPA ni sawa na wewe au mimi tuwe na nyumba ya kupangisha halafu tumkaribishe mpangaji kwenye nyumba hiyo.
Ukiweza kuielewa dhana nzima ya mwenye nyumba na wapangaji wake utakuwa umelielewa vyema suala zima la TPA kuwa mmiliki anayepangisha maeneo ya biashara katika bandari yetu.
Mabadiliko ya kiteknolojia na uendeshaji mzima wa nyumba unakulazimu upangishe sehemu yake ili uongeze pato. Huwezi ukafa na njaa wakati unaweza kuipangisha sehemu ya hiyo nyumba, akili za kilofa kubakia na kitu wakati umaskini unaendelea kukutesa.Hapana
Ni sawa na wewe au mimi, nimekabidhiwa nyumba na Baba yangu kwa ajili ya kuitunza, na nikapewa mamlaka yote ya kufanya chochote ili kuhakikisha kuwa nyumba inaleta faida
Kumbe tumeshindwa kuelewana Kiswahili tu ila tuko pamoja. Mimi pia nilidhani kuwa wewe unapinga; kumbe hupingi; na mimi pia sipingi. Kiswahili kigumu sana.Mabadiliko ya kiteknolojia na uendeshaji mzima wa nyumba unakulazimu upangishe sehemu yake ili uongeze pato. Huwezi ukafa na njaa wakati unaweza kuipangisha sehemu ya hiyo nyumba, akili za kilofa kubakia na kitu wakati umaskini unaendelea kukutesa.
Wengi tunaopinga uwekezaji tunashindwa kuitazama dunia pana ya ushindani inayotuzunguka kila kona katika sekta nzima ya bandari duniani.
Mkuu Makanyaga tupo pamoja. Ni deal la maana sana ambalo wengi wetu tunaoshikiwa akili tumeshindwa kabisa kulielewa.Kumbe tumeshindwa kuelewana Kiswahili tu ila tuko pamoja. Mimi pia nilidhani kuwa wewe unapinga; kumbe hupingi; na mimi pia sipingi. Kiswahili kigumu sana.
Soma tena nilichoandika
Kilichotokea Bandarini ni bonge la dili; uhakika ni kuanzia 27 trillion kama mchango wa bandari kwenye budget ijayo ya 2025/2026. Niliusikiliza vizuri sana mjadala wa Bunge mwanzo mwisho