Aliyemuelewa Mo Dewji kuhusu uwekezaji Simba atujuze

Ikumbukwe tume ya ushindani ilizuia mfumo wa mabadiliko baada ya kutokufuata utaratibu na kuitaka timu ya simba kuanza upya lakini hawakufanya hivyo.

Baada ya utawala mpya kuingia nchini yule nwenyekiti wa tume ya ushindani aliondolewa kinyemela akawekwa ambaye atampendelea Dewj kufanya atakavyo.

Ndivyo inavyoendelea kwa sasa huyu Dewj ukisikiliza press yake jana ni kama alienda kututukana sisi Watanzania

Imagine eti anasema aliisaidia simba badae akaiacha akaenda kuwasaidia watu wa Singida kuwapelekea maendeleo hivi huyu tapeli aliwapelekea maendeleo gani singida wakati historia inamkumbuka km mtu aliyekuwa anagawia wanawake kanga na chumvi anatumia uongo wa siasa kuiibia simba

Anasema ametumia zaidi billion 21 kwa miaka mine toka aingie simba hivi waandishi wa habari hawajamuuliza simba iliingiza kiasi gani Kati ya hizo bilion 21.

Kwann waandishi wa habari hawakumuuliza bidhaa zake zinazochofua brand ya simba amelipa shiling ngapi?

Kwann waandishi wa habari hawajamuuliza kwann uwanja wa bunju auite jina lake wakati yeye hana mchango wowote kwenye huo uwanja.

Tena kwa kiburi sana anasema aulizwe maswali machache tu.

Huyu muhindi anatumia udhaifu wa serkali iliyopo kutaka kuimiliki simba sawa anaweza kushinda kwa muda ila itafika siku utaondoka kwa aibu.

Huyu tapeli hana maisha marefu simba.

Mbaya zaidi ameanza kuhonga waandishi wa habari ili waache kukosoa uhuni wake kwenye klabu.
 
Tatizo mnaopiga kelele hamna hata mia acheni wenye pesa wafanye yao,
 
Mo anauza jezi? Jezi zinauzwa na uhlsport simba anapata mil 300 kwa mwaka.
 
Tunataka tukupe wewe hiyo Simba usiyrkuwa tapeli, unaweka kiasi gani na mipango yako kuhusu Simba imekaaje? Ama ni wivu tu wa kike unakusumbua?
Kwani thamani ya Simba ni bei gani? Inamaana kuwa kama 49% = 20bl: 51% = x; ukitafuta thamani ya x haizidi sh. 21.5bl. Hivi unataka kusema thamani ya Simba ni TZS 42bl TU? Huu ni wizi wa mchana kweupe?

Ndugu zangu wanasimba mnaangamia kwa kukosa maarifa. Kweli thamani ya Simba haifiki hata 50b?
 
Wewe umeweka shilingi ngapi hata hiyo kwenye Yanga yako??
Kwenye yale mabakuli ya Zahera na mimi nilitumbukiza kitu changu mle na hapo timu ya wananchi ndio ilidhihirika pale
 
Mimi nataka kujua baada ya kununua hizo hisa 49% kwa bilioni 20 sasa ana mpango gani ili kuifanya klabu iwe bora zaidi? Labda kama anakusudia kununua wachezaji wenye viwango vikubwa zaidi au ujenzi wa kiwanja angalau kiwe kama cha Azam, kupata kocha bora zaidi n.k
 
Saido Ntibazonkiza 2021
"Yanga ni timu ya Hovyo. Inaendeshwa Kienyeji" [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nendeni mkashitaki CAS ili Simba wanyang'anywe makombe yote. Mbona nyie Utopolo mpo kimalaya malaya fulani hivi?
 
Reactions: mmh
Baada ya jana, leo anatuhamasisha sisi (wanasimba) tukapate chanjo ya Corona, sijui anatutakia nini sisi!

 
Tafuta hela ukamzidi uchukue zile hisa. Kabla hajaweka hela mliongea uahuzi saana mara hana hela mara tapeli mara cjui imepanda imeshuka haya katia mpunga wake unaanza kumshambulia tena. Umaskn ni kitu kibaya saana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…