Aliyemuelewa Mo Dewji kuhusu uwekezaji Simba atujuze

Hayakuhusu haya.
 
Unauliza waandishi wa habari nchi hii wewe unaona wapo!?
 
Akiwauza hao wewe unaumia nini?? Kuna zile hisa asilimia 51 ukanunue ili tujue unauchungu na team kenge wewe
Mimi nadhani ni sawa TU konde boy akauzwa kwenye ligi zenye akili. Kijana anajituma sana, kumchezesha kwenye viwanja vya manungu, mabatini na waamuzi wa hovyo kama hawa tunampotezea muda wake na kummalizia mpira wake kwa majeraha. Auzwe tu mo afidie hasara za kusajili wachezaji wapya.
 
Nakumbishia maswali yangu hayajajibiwa.
 
Sawa sawa TOD
 
Mzee umeshajaribu mangapi ukashindwa kisha ukaja kufanikiwa?

Ama hili linamuhusu Mo tu?
 
Mbona huulizi wale wa 51% ndugu?

Baadae muanze kupiga mayowe Mo anafaidika wakati kuna kundi lina 51%.

Wewe tulia,kama mipango utaijua. Usiwe na haraka haraka.
 
Wataje hao. Kagere amekuwa mfungaji bora misimu mingapi?

Hao unasema mbona hatuoni miaka nenda rudi wageni ndo wanatusua.
 
Jamaa watapigwa na muddy mpk waseme hiki nini[emoji24]
 
Nendeni mkashitaki CAS ili Mo aondolewe Simba mpate mteremko. Yaani mada zenu zimekaa kishoga shoga fulani. Mna boa sana.
 
Tafuta hela ukamzidi uchukue zile hisa. Kabla hajaweka hela mliongea uahuzi saana mara hana hela mara tapeli mara cjui imepanda imeshuka haya katia mpunga wake unaanza kumshambulia tena. Umaskn ni kitu kibaya saana.
Hawa machoko wana boa sana
 
Mjomba kaangalie report ya mkutano mkuu wa mwisho, maana naona unamuaibisha huyo twiga kwenye avatar.
Una maswali ambayo majibu yake yapo wazi.
Maswali yangu yanatokana na press conference, sitoki nje ya press iliyopita maana mimi siingii kwenye vikao vya management. Vinginevyo lazima mkague na kuhakiki anachokwenda kuzungumza mh. wenu kwenye press zake.
 
Wataje hao. Kagere amekuwa mfungaji bora misimu mingapi?

Hao unasema mbona hatuoni miaka nenda rudi wageni ndo wanatusua.
Wakina Nchimbi, akina waziri junior, akina Juma Athumani, akina dilunga, mzamiru, mo, ndemla, nk ambao wanapewa nafasi uwanjani kwa kubip kama wangepewa fursa wangewazidi akina chikwende, sarpong.
 
Hao wafanyabiashara walikuwa wapi kuja kuwekeza,walisubiri Mo akuze brand ndo waje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…