Aliyemuua askari Arusha adaiwa kufa akijaribu kuwatoroka polisi

Ile mahakama ya nyuma ya shule ya Kibasila nilishuhudia mtu akiwachomoka polisi huku amefungwa pingu mikononi.

Jamaa aliruka ile fensi kama hana pingu.

Hapa watu wanahisi haiwezekani mtuhumiwa kutoroka huku kafungwa pingu ila ni inawezekana vizuri tu.
 
Kifo ni haki ya jambazi, lakini maelezo ya kifo cha huyu jambazi yana ukakasi. Jambazi aliefungwa pingu anaruka kutoka gari ya polisi. Ni pickup ya wazi? Polisi ndani ya gari walisinzia?
 
Sheria ingewekwa wazi tu ukiuwa na wewe unauwawa
Wangesema askari wenye hasira kali basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…