Pre GE2025 Aliyepinga Rais Samia kupitishwa Mgombea pekee wa Urais kupitia CCM afukuzwa uanachama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mazungumzo kwenye Group letu

"Tumjibu au tumuache?"

"Mwacheni tu story yake haitoboi week"

"Kwani Yanga au Simba wanacheza lini? Hakuna story za Magoma?"

"Yanga anacheza leo"

"Basi subirini, tuone, hatakikisha Kayanja hapost hii habari. Tutaizima"

"Sawa mkuu... Usisahau kukumbushia suala la waigizaji wanalalamika mnawapendelea waimbaji zaidi,pesa zao zinachelewa, juzi walifanya kikao cha siri wakilalamikia hili suala. Lipeleke juu, nakuaminia mkuu"
"Sawa msiwaze, tutafanya."
"
 
Kama Katiba imekiukwa, basi toka tuanze chaguzi za vyama vingi toka Rais Mkapa, Kikwete na Magufuli katiba imekiukwa. Swali ni moja tu... Malisa alikuwa hajazaliwa katika vipindi hivyo au alikuwa hajitambui au hakuijua katiba? Kwa wana ccm wenye akili wanatakiwa wajiulize maswali haya. Hivi ni mara ya kwanza kwa Rais alitepo madarakani kuwa mgombea pekee katika kiti hicho?. Funguka!

Mchungaji Malisa, ambaye amewahi kugombea urais, uspika na hata ubunge, alijiunga na CCM mwaka 2021 na alikuwa miongoni mwa makada tisa waliochukua fomu kugombea uenyekiti wa Chama hicho mwaka 2022
Du wachungaji!!!!!!!!!!!!!!!! Mwaka huu tuna wachungaji mwendo kasi! Aliwahi kugombea Urais, ububge, Uspika, uenyekiti CCM...... alijiunga CCM 2021....

Hivi kaona mseleleko wa kupata urais mwaka huu? Kachelewa- 2025 hakuna kazi, sijui asubiri mpaka 2030 au aingie upinzani- haha haaaaaa.
 
Haya kwa wale machawa imarisheni uchawa msinyonye tu damu hata vinyesi vya SSH ni lazima mfyonze kabla ya uchaguzi mkuu!!
 

Daah ni hatari
Aliyepinga kutokufuatwa Kwa katiba ya chama anafukuzwa uanachama huku wanafukuza wakivunja katiba hiyo.
Viongozi wa ccm heshimuni katiba yenu manake wote mnakuwa kama mmelishwa urojo mnafanya city vya ajabu sana
 
Hilo chama chakavu hakuna demokrasia kabisa walioko huko wengi ni wale wanaonufaika na maslahi yao tu, na chawa wa mama.

Mtu anajua akiwa tofauti na ccm basi atafukuzwa kwenye fremu za ccm alizopangishwa, wasanii wanaona watafutiwa sajili zao basata, na nk, basi wanaona ni bora kuwa huko kuliko ku risk mkate wao
 
Ila jamani CCM Huwa tunakurupuka sana!

Sasa jamaa akienda mahakamani SI ndio ata trend sana nchini!?

Halafu ni nani alienyuma yake!!?ni yeye binafsi au ametumwa na wenye dola!!?
Nasubiri kuona!
 
Hii ndio demokrasia halisi CCM sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…