Aliyerekodi tukio jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) apewe maua yake

Amesaidia sana Polisi pakuanzia
 
Heh, kumbe tangu kuwa na t-shirt mpk kubaki tumbo wazi 😅
 
Everything was made clear.....Tusubiri ripoti ya Kipolisi
 
Nilisema hapa, mpaka tufike uchaguzi watu wataendelea kutekwa. Haya yanaendelea, ila watanzania hapana, huo mtaa hauna wanaume hata 10, wa kuweza kumuokoa mwenzao? Imenishangaza sana, mtu anaomba msaada.

Yaani hii nchi ukipatwa na matatizo, watu watakuangalia ukifa ama ukipelekwa kufa. Na watekaji wanajiamini, wakijua hakuna wa kujitokeza kusaidia.

Hii ni sehemu nyingi, juzi Dr wangu wa meno, naye alivamiwa akiwa ndani ya gari, wakapasua kioo, na kupigana nao. Mlinzi kalala, wanaolala nje hapo wanaangalia tu. Kumiliki silaha ni muhimu sana kwasasa.
 
Wenzako enzi za Mchemia walikuwa. na kiburi na jeuri zaidi yako.

Mkuu be humble yana mwisho haya.
habari ya enzi na historia za wengine ni useless nyakati hizi tofauti na muhimu za kuambizana ukweli bila kubabaika na mihemko wala makasiriko ya mwingine...

Ni muhimu kujifunza kupokea, kuambiana na kuskiza ukweli 🐒
 
habari ya enzi na historia za wengine ni useless nyakati hizi tofauti na muhimu za kuambizana ukweli bila kubabaika na mihemko wala makasiriko ya mwingine...

Ni muhimu kujifunza kupokea, kuambiana na kuskiza ukweli
 
Huyo jamaa kaamua kujitoa ufahamu kwenye Kila kitu.

Ila hata yeye atavuna anachopanda kama ulivyoandika.
 
Ben saa nane alitekwa na kupotezwa kisa tu alipinga kuwa Magu sio Dokta!!
Hoja zake watetezi wa Magu walishindwa kabisa kuzijibu na jibu walilokuja nalo ni kumuua tu!!
Deo Soka vilevile kama Ben wameamua kumuua kwa sababu wao si wazuri kwenye hoja!!
Wanasaidiwa na Serikali watu hawa!!

Itoshe tu kusema kuwa CCM ni wakala wa Shetani na moja ya taasisi zinazochelewesha mno maendeleo ya Waafrika!!
 
Wewe ni mwendawazimu,

Mtaani Kuna duka la kuuza pingu?
Mkuu ina maana haujui kuwa pingu ni bidhaa inayouzwa hata kwa raia?. Nenda maduka ya silaha na vifaa vya ulinzi utazikuta tena bei ya kawaida tu.
 
uko sahihi sana gentleman

nami nilieleza bayana kwamba kuna watu ukizengea zengea sharubu zao kwa dharau na maneno wao wanakujibu kwa vitendo na kumalizana na wewe kwa haraka sana.

Tuishi na watu vizuri 🐒
Sawa.. Ila sio hao we k..m
 
Vipi Intelijensia yao bado haijawabaini hawa jamaa na kuchukua hatua , au tumsubiri msemaji aje kuweka mzani sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…