Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Ndio maana nikakwambia hao ni division zeroAskari mwenye weledi hawezi kufanya ujinga kama huu kwani anasimamia haki na sheria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nikakwambia hao ni division zeroAskari mwenye weledi hawezi kufanya ujinga kama huu kwani anasimamia haki na sheria.
Amesaidia sana Polisi pakuanziaMchukua video ukiangalia vizuri alichukua video akiwa ndani ya nyumba na hata ukiangalia vizuri ni ndani ya jengo lenye madirisha ya Aluminium na huenda yakawa na rangi ya one way black tinted hivyo waliopo nje ni vigumu kumuona aliyepo ndani lakini wa ndani anamuona wa nje clearly
Heh, kumbe tangu kuwa na t-shirt mpk kubaki tumbo wazi 😅Oyaaa, huyo sio mtu karekodi na simu yake, ni mfumo wa CCTV ulikuwa ukirekodi na hao askari wa mchongo mabangubangu hawakujua kuwa kuna camera ya CCTV hapo! CCTV inaonyesha tukio limetokea tarehe 11/11/2024. Jumatatu, saa nane mchana
View attachment 3151315
Mtu wa video ndiye aliye reveal tukio zima bila kuacha doubtsAmesaidia sana Polisi pakuanzia
Video iko clear kabisa.Mtu wa video ndiye aliye reveal tukio zima bila kuacha doubts
Everything was made clear.....Tusubiri ripoti ya KipolisiOyaaa, huyo sio mtu karekodi na simu yake, ni mfumo wa CCTV ulikuwa ukirekodi na hao askari wa mchongo mabangubangu hawakujua kuwa kuna camera ya CCTV hapo! CCTV inaonyesha tukio limetokea tarehe 11/11/2024. Jumatatu, saa nane mchana
View attachment 3151315
habari ya enzi na historia za wengine ni useless nyakati hizi tofauti na muhimu za kuambizana ukweli bila kubabaika na mihemko wala makasiriko ya mwingine...Wenzako enzi za Mchemia walikuwa. na kiburi na jeuri zaidi yako.
Mkuu be humble yana mwisho haya.
habari ya enzi na historia za wengine ni useless nyakati hizi tofauti na muhimu za kuambizana ukweli bila kubabaika na mihemko wala makasiriko ya mwingine...
Ni muhimu kujifunza kupokea, kuambiana na kuskiza ukweli
Kwa Lisu Dodoma kulikuwa na video recording....usisahauMtu wa video ndiye aliye reveal tukio zima bila kuacha doubts
Natafuta sana hizi, ofisini watu wanaiba mpaka sukari ya chai!Camera za Siri muhimu.
Huyo jamaa kaamua kujitoa ufahamu kwenye Kila kitu.Nadhani Kuna mahali una tatizo la afya ya akili, na nimekuonya mara nyingi, ukiendelea kwa kinywa na vidole vyako kuendelea kufurahia dhuluma na mateso dhidi ya binadamu, wakati utafika na ukiwa hai utaona matunda yake kwako na familia Yako! Ikiwa hata mtu amedhulumu ambapo (huna hakika) katika nchi inayofuta utawala wa Sheria hastahili kutwezwa utu wake Kwa kiasi hiki. Dhamira Yako itasema na wewe kwa wakati wake sahihi.
Nondo nilishajaeibu ila nikaanza kuwa Kama kapipaPiga nondo bila kufanya diet, jogging iwe kidoogo.
Kwa kweli kuna umuhimu kuwa na mwili unaoweza kukutetea kwenye shari
Kwenye hiyo sector nilishakubaliMkuu kitapungua kama siyo kuisha kabisa.
Hii itawafanya waondoke na wewe kama mwewe kwa kifaranga cha kufanya endelea kukilea japokuwa kuna sector performance itapungua lakini uhai muhimu zaidi.
Mkuu ina maana haujui kuwa pingu ni bidhaa inayouzwa hata kwa raia?. Nenda maduka ya silaha na vifaa vya ulinzi utazikuta tena bei ya kawaida tu.Wewe ni mwendawazimu,
Mtaani Kuna duka la kuuza pingu?
Unavyojiamini sasa, tangu lini CCTV ikatoa Sauti.Sio mtu amerokodi, ni CCTV
Hakika anastahili pongezi...Hakika Mpiga Picha apewe Maua yake. Jamaa hatimaye wamejulikana
Sawa.. Ila sio hao we k..muko sahihi sana gentleman
nami nilieleza bayana kwamba kuna watu ukizengea zengea sharubu zao kwa dharau na maneno wao wanakujibu kwa vitendo na kumalizana na wewe kwa haraka sana.
Tuishi na watu vizuri 🐒