Aliyerekodi tukio jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) apewe maua yake

Amen
 
Msichokijua ni kwamba wasiojulikana na watekaji si Jeshi la Polisi kama mnavyo dhani bali ni kikundi ambacho kipo chini ya Chama cha mapinduzi (CCM) kikiratibiwa na Umoja wa vijana UVCCM.
Kama ndivyo , na kwa kuwa kimeendelea kuchafua jeshi la police , na kwa kua kinalindwa na maccm , kwa nini jeshi la police lisiunde Task force yakumalizana nacho kimia kima , watachafuliwa na hili kundi la majangili mpaka lini?
 
Sipati picha mama aliyewazaa vijana hao anajisikiaje kuona mtoto aliyemzaa, akidhulumu Roho za watoto wa wanawake wenzie,

Kumbe Si Kila tumbo la uzazi ni tumbo🤔
Mambo ya kuhusisha watu wasiohusika ni upungufu wa akili, hapo wazazi wanahusikàje na roho mbaya za watoto wao ambao ni watu wazima?
Wazazi hawajawatuma na hawajahusika.
Labda àliyesema kifo ni kifo tuu ndio ahusishwe maana ndo mmiliki wà hivyo vyombo vya dola.
 
Kama ndivyo , na kwa kuwa kimeendelea kuchafua jeshi la police , na kwa kua kinalindwa na maccm , kwa nini jeshi la police lisiunde Task force yakumalizana nacho kimia kima , watachafuliwa na hili kundi la majangili mpaka lini?
Kwa nchi inavyoendeshwa CCM(UVCCM) iko juu ya polisi na pia iko juu ya sheria.
 
Hii imenihuzunisha sana, nikwamba walishindwa kummaliza palepale.
 
Msichokijua ni kwamba wasiojulikana na watekaji si Jeshi la Polisi kama mnavyo dhani bali ni kikundi ambacho kipo chini ya Chama cha mapinduzi (CCM) kikiratibiwa na Umoja wa vijana UVCCM.
Nakubali ni hao wa chama,

Ila wanashirikiana na Majeshi yote uyajuayo, maana chama kimeshikamana na kugandamana na dolari!
 
Nasema tu mzazi ukisikia au kuona picha ya mwanao ni mtekaji na muuaji unajiskiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…