Aliyerekodi tukio jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) apewe maua yake

Ndomana nmeuliza huyo deo bonge ni nani ?anajishugulisha na nini!
Ila kwa uzoefu wangu kwa kungamua mambo issue hyo wala haiko kisiasa
Ukweli anaujuwa deo mwenyewe

Ova
umeongea vizuri sana mrangi ,
uskute umekunywa chai na chapati za mayayi za kumimina

tuishi na watu vizuri, tuepuke dhuluma za fedha au wake za watu. Tuache ubabe na dharau mtaani na kwakweli kwa kufanya hivyo ikiwa unakabiliwa na chochote, yowe lako moja tu linatosha kukusanya mtaa mzima kukusaidia,

vinginevyo uwe mbabe mtaani kwako tu na sio mitaa mingine πŸ’
 
Kwa nchi inavyoendeshwa CCM(UVCCM) iko juu ya polisi na pia iko juu ya sheria.
Ndo ivyo ila police wakiamua kumalizana na hawa majangili kimia kimia inawezekana kama kweli hawausiki ,why jeshi liendelee kuchafuliwa na wahuni wachache mpaka kukosa aminika machoni mwa wananchi , hii ni hatari
 
watatuonyesha wakiapeleka mahakamani? Au uchunguzi loading?
Ni Mfanyabiashara, wachaga wameshatiana ndimu wala siyo issue ya kisiasa.
Sasa kama wanaujasiri gani ktk nchi jeshi lenye nguvu kufanya vitendo hivyo hadharani ?
 
Karibu kapuchino

Ova
 

Attachments

  • 20241017_093619.jpg
    615.1 KB · Views: 2
Kuna wakati nlikuambia,watu wanatembea na upepo huo huo

Sahv kuna style watu wanaamua kumalizana wenyewe wajuavyo

Ova
 
cctv
 
Kuna wakati nlikuambia,watu wanatembea na upepo huo huo

Sahv kuna style watu wanaamua kumalizana wenyewe wajuavyo

Ova
uko sahihi sana gentleman

nami nilieleza bayana kwamba kuna watu ukizengea zengea sharubu zao kwa dharau na maneno wao wanakujibu kwa vitendo na kumalizana na wewe kwa haraka sana.

Tuishi na watu vizuri πŸ’
 
uko sahihi sana gentleman

nami nilieleza bayana kwamba kuna watu ukizengea zengea sharubu zao kwa dharau na maneno wao wanakujibu kwa vitendo na kumalizana na wewe kwa haraka sana.

Tuishi na watu vizuri πŸ’
Ah kabisa ...

Ova
 
uko sahihi sana gentleman

nami nilieleza bayana kwamba kuna watu ukizengea zengea sharubu zao kwa dharau na maneno wao wanakujibu kwa vitendo na kumalizana na wewe kwa haraka sana.

Tuishi na watu vizuri πŸ’
Mfano yule smbdy mziba wa kule mikocheni watu wamemchukua tokea 2023 mpaka leo jiii
Nliuliza je anafanyaga clean business wadau wengi walisema hapana jamaa alikuwa mtu wa wash wash .....so inaelekea labda alingia anga za watu wakapita naye mazima

Ova
 
it might be,
na hilo ni miongoni mwa mambo serious zaidi ya hizi drama za visasi kama ya huyu mpiga mayowe alie bananishwa nje ya eneo lake la ubabe na kujidai.πŸ’
 
Yawezekana hata wao (watekaji) wameshachoka kutumwa kutekeleza utekaji.
 
πŸ˜ƒπŸ€£ asirudishe vipi wakat alishaenda kurepot kituo cha polisi na nina uhakik ata iyo pingu alifunguliwa uko uko na kuiacha uko uko

Ila wabongo ni wapumbavu sana yaani mtu anatekwa mbele ya macho yao wapo wapo tu kama mazezeta vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…