Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 IPO SIKUrelax na upunguze mihemko gentleman,
kwani kwa raia na kwa watu kibao hakuna bastola au bunduki gentleman?
kwani shukuru Kawambwa kipindi fulani video yake ilienda viral sana alitaka kufungwa pingu na raia au askari walipokua wakigombania mpaka?
kwamba kumiliki pingu ni anasa zaidi ya kumiliki bunduki right? Kwani unaishi wap gentleman 🐒
Hivyo ni viji drama tu...(kiziwi)Salaam, Shalom!
Wakati umma wa watz ukilaumu watu waliokuwa wakiangalia tukio lile la ndugu bonge akijaribu kutekwa na wasiojulikana,wenye pingu na silaha za moto.
Kwa jicho la Umakini, yupo shujaa aliyetumia vizuri simu yake na kurekodi tukio Zima tena sauti zikisikika kabisa, hii Ina maana kuwa alikuwa karibu sana na tukio hili.
- Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia
Hii ni hatua kubwa huko tuendako maana ujasiri wa wenye Nchi kujilinda utaenda ukiongezeka.
Shujaa huyu hakuogopa KUPIGWA risasi na dreva aliyekuwa ndani ya gari, Abarikiwe huko aliko shujaa wetu.
Na Hadi hivi sasa wasiojulikana wamejulikana katika tukio lile Kwa picha na sura zao, na soon Majina Yao yatakuwa wazi maana wanatoka ndani ya JAMII zetu, tutajua ni Ushimen wa nani, na ni Jirani wa nani,
What comes around, goes around.
Mungu Mbariki mpiga picha.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Na walaaniwe Hawa waovu, na wote tuseme aamin!
Ni mwendo wa kujenga miili iwe imara. Siku wakijichanganya unatawanya makende yaoBaada ya kuona haya Mambo nimeamkia uwanjani kuendelea kutafuta pumzi ya mbio na kitambi changu
Utasaidiwa mkeChangu sikitoi
View attachment 3150938
Hata kwa dawa 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe ni msaada mkubwa sana .....
Walijuwa wanashoot content za huko Tiktok.😃🤣 asirudishe vipi wakat alishaenda kurepot kituo cha polisi na nina uhakik ata iyo pingu alifunguliwa uko uko na kuiacha uko uko
Ila wabongo ni wapumbavu sana yaani mtu anatekwa mbele ya macho yao wapo wapo tu kama mazezeta vile
🤣🤣😁Baada ya kuona haya Mambo nimeamkia uwanjani kuendelea kutafuta pumzi ya mbio na kitambi changu
Kwa hiyo una taka kusema ni watu wa kulipa kisasi,je pingu wametoa wapi?hakuna mtekaji miongoni mwao hao, labda ni kundi la kulipwa kwenda kulipa kisasa huko uswahilini, huenda muungwana dhulumati mwenye madharau, jeuri mwenye dhihaka za kibabe kwenye biashara au familia za wengine mtaani, na ndiyo maana watu wengine wakawa nanashangaa tu kama nyumbu anavyotafunwa na simba wenzie wakishangaa tu..
ubabe sio dili nje ya eneo lako la kujidai. Ishi na watu vizuri 🐒
Mkuu kitapungua kama siyo kuisha kabisa.Baada ya kuona haya Mambo nimeamkia uwanjani kuendelea kutafuta pumzi ya mbio na kitambi changu
Hahahaaaaa..... Kuna mahali humu nilicoment mke alishakimbia Toka 2022 ambaye nilikuwa naye Toka 2004.. so Sasa Niko single Wacha ninenepe... First born Yuko chuo first year... Kije tu kitambi na kikueUtasaidiwa mke
Wangefanikiwa kumteka kesho yake tukasikia amekufa, hiyo video ingesaidia nini?Salaam, Shalom!
Wakati umma wa watz ukilaumu watu waliokuwa wakiangalia tukio lile la ndugu bonge akijaribu kutekwa na wasiojulikana,wenye pingu na silaha za moto.
Kwa jicho la Umakini, yupo shujaa aliyetumia vizuri simu yake na kurekodi tukio Zima tena sauti zikisikika kabisa, hii Ina maana kuwa alikuwa karibu sana na tukio hili.
- Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia
Hii ni hatua kubwa huko tuendako maana ujasiri wa wenye Nchi kujilinda utaenda ukiongezeka.
Shujaa huyu hakuogopa KUPIGWA risasi na dreva aliyekuwa ndani ya gari, Abarikiwe huko aliko shujaa wetu.
Na Hadi hivi sasa wasiojulikana wamejulikana katika tukio lile Kwa picha na sura zao, na soon Majina Yao yatakuwa wazi maana wanatoka ndani ya JAMII zetu, tutajua ni Ushimen wa nani, na ni Jirani wa nani,
What comes around, goes around.
Mungu Mbariki mpiga picha.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Na walaaniwe Hawa waovu, na wote tuseme aamin!
Yani ww unashuka alafu unarudi rudi kuuliza watekaji!!??Usiwazarau sana Mbaumbau, kwenye hatari sense, na mashinary za mwili zote hufanya kazi.
Mwaka 2015 nilinusurika kutekwa kwenye mkoa ambao wala sikua na ili wala lile sina ungovi na mtu ,ila nafikili kibegi changu ndo kilitaka kuniponza wakati hapakua na cha maana nje ya vitu vyangu vidogo vidogo ambavyo vilifanya kibegi changu kutuna. au kwa sababu zingine maana ndo uchaguzi ulikua umepamba moto
Ilikua saa moja usiku, natoka kituo kimoja kwenda kituo kingine, sasa usafili wa njia ile zipo Hiece, ila ghafla nilipokua nimesima nasubiri hiece , ilikuja Noha moja na kuanza piga debe kwamba inaelekea njia ambapo nilikua naenda.
Binafsi nikaona isiwe shida nikapanda , siti ya mbele wakasema ipo na abiria nikaa sit ya kati , mda mfupi akaja bwana baunsa akaomba kaa upande wa dirisha, mara wakaja watatu ,mmoja akakaa siti ya nyuma ,mwingine pembeni yangu upande wa mlango, mwingine upande wa dereva ,then dereva akaingia , mlango ukafungwa gari ikatoka. Safari ikaanza,cha kushangaza story zao ni kama wanafamiana na wote wamejaza mili yao( mabaunsa).
Binafsi pale pale nikaanza kuhisi sipo sehem salama.
Ile njia mwanzo ipo na sehem zimechangamka ila mbele hua kuna kama shamba la minazi na mchanganyiko wa vichaka kama km moja ambapo barabara inapita mle, ila kabla ya kuanza icho kipori shamba mwanzo kabisa kuna kijiwe kemechangamka ,moyoni nikasema hawa pale ndo natakiwa nicheze mchezo wa kutoka kwenye imaya yao. Japo pale sikua nafamiana na mtu yoyote.
Basi bwana wakati tunaendelea na safari mmoja akawa ananiuliza vimaswali vya kizushi, mara bro unakaa wapi, unatokea wapi , huku uendako kuna ndugu ,so mimi nikawa nacheza na maswali yao vizuri tu huku moyoni najua what is my plan, tulipofika pale kwenye kile kijiwe kabla ya kuanza shamba pori , nikamwambia suka ,
Aisee Suka naomba kwanza niache kamzigo kangu haka nimsalimie dada kama dakika mbili nimpe ujumbe wake alafu twendelee ,suka asema poa , akasogeza gari mbele kidogo ambapo mwanga umefifia , na kusimama nikashuka na kuacha kwanza kibegi changu.
Nilivyoshuka tu moja kwa moja mpaka pale kwenye kijiwe ,pale wanachoma chips, kuku, mishikaki, nikajifanya nauliza bei ya vitu ,kule wanasubili.
Kama dakika tatu nikarudi pale nikawambia wale jamaa waliokaa nyuma kwamba naomba icho kibegi nimtolee dada mzigo wake ,wakanipa , pale nikachukua nauli yao na kuwapa ilikua elfu tatu , wakasema usijali si bado tunaendele na safari utalipa tu ,nikasema poa , nikachukua kibegi na kuludi kwenye chipsi ,nikaagiza chips na kuacha kibegi changu na kurudi ilipo ile gari lakini apo nimemwambia muuza chipsi kwamba ngoja niwalipe wale nauli yao nakuja.
Nikawafuata tena nikawambia aisee dada anasema naweza kulala kwake leo nyie endeleni na safari nauli yenu hii hapa , mjinga mmoja siti ya nyuma alisonya , ( wajinga mmealibu kazi) mimi nikarudi kwenye chipsi na kukaa , jamaa walikaa pale kama robo saa bila kuondoa gari , nilivyoona vile nikaagiza na soda mdogomdogo , mda kidogo ikaja Hiece ya abiria ikitokea nilipo kua naenda ikielekea nilipokua natoka nikaludi zangu wala sikuendelea na safari siku iyo. Nimefika nasimulia wenyeji wanasema barabara hiyo kama ni usiku usipande gari isiyo ya abiria kamwe.
Note inawezekana hata Mzee kibao(R.I.P) aliondoka kwenye basi bila vurugu akijua anaweza kuwa na plan B ila mijangili ikamlia timing
Ulishawahi kusikia mlio wa AK 47?😃🤣 asirudishe vipi wakat alishaenda kurepot kituo cha polisi na nina uhakik ata iyo pingu alifunguliwa uko uko na kuiacha uko uko
Ila wabongo ni wapumbavu sana yaani mtu anatekwa mbele ya macho yao wapo wapo tu kama mazezeta vile
Sasa unataka Wana chi wajilinde,Wangefanikiwa kumteka kesho yake tukasikia amekufa, hiyo video ingesaidia nini?
Ashukuru ubonge wake umesaidia. Watu wameshindwa kutoa msaada hata kulizunguka gari...watanzania waoga sana inasikitisha
Asante kwa picha
kwani bastola na bunduki huwa wanatoa wap gentleman 🐒Kwa hiyo una taka kusema ni watu wa kulipa kisasi,je pingu wametoa wapi?