Mie hata sijui ban yao waliopigwa JF imeisha lini?F.F
Long time sana,vijana wa wavaa magauni hadi wamenenepeana kwa uhuru na kauli zao za shombo jukwaani hapa.
Welcome back FaizaFoxyMie hata sijui ban yo waliopigwa JF imeisha lini?
Walizowea sana kupiga watu ban, walijisahau kuwa na wao wana wababe wao.
Kumbe bibi upo?hujaonekana siku nyingi hadi nikawa na mashaka kuwa labda ulikumbwa na 29/10/2025Mie hata sijui ban yo waliopigwa JF imeisha lini?
Walizowea sana kupiga watu ban, walijisahau kuwa na wao wana wababe wao.
Mpaka sasa 29, 9 ,zimeleta usawa , wanamziki chali , baskeli ,pikipiki za ccm chali, wajumbe bendera hakuna, jezi za ccm hazivaliki sijui wanetupa ,wapiKuna MTU mmoja alisema historia huwa inajirudia .
History tends to repeat itself
MTU MMOJA AKASEMA VIJANA TOKENI JESHI LIPO NA NYIE LITAWALINDA
yaani huyu aliamua kufanya Manipulation kubwa Sana ambayo haijatofautiana na Majimaji war
KIJANA LINDA UHAI WAKO HAKUNA MTU YUPO KUHAKIKISHIA USALAMA WAKO PALE UKIANZISHA VURUGU AU KUFANYA MAANDAMANO
DON'T PLAY SOMEONE'S GAME
Mbona wewe mkuu hukutoka wakutwange ya kichwa kama wale nyumbu promax mliowadanganya? Au wewe ni kati ya wale Keyboard Warriors?Kubali kutekwa, kuwekewa kiongozi bila ridhaa yako na upuuzi wa aina hiyo.
Ni wafuatao kwa nyakati tofauti:-Kuna MTU mmoja alisema historia huwa inajirudia .
History tends to repeat itself
MTU MMOJA AKASEMA VIJANA TOKENI JESHI LIPO NA NYIE LITAWALINDA
yaani huyu aliamua kufanya Manipulation kubwa Sana ambayo haijatofautiana na Majimaji war
KIJANA LINDA UHAI WAKO HAKUNA MTU YUPO KUHAKIKISHIA USALAMA WAKO PALE UKIANZISHA VURUGU AU KUFANYA MAANDAMANO
DON'T PLAY SOMEONE'S GAME
Watu walitoka baada ya kuchoka chaguzi kuchezewa, na sio kwakuwa wangelindwa na jeshi. Hiyo kutopigwa na jeshi ni jambo lililowashangaza kwani mara zote jeshi huwa linatumika na watawala wezi kuwaziba midomo wasionyeshe hisia zao.Kuna MTU mmoja alisema historia huwa inajirudia .
History tends to repeat itself
MTU MMOJA AKASEMA VIJANA TOKENI JESHI LIPO NA NYIE LITAWALINDA
yaani huyu aliamua kufanya Manipulation kubwa Sana ambayo haijatofautiana na Majimaji war
KIJANA LINDA UHAI WAKO HAKUNA MTU YUPO KUHAKIKISHIA USALAMA WAKO PALE UKIANZISHA VURUGU AU KUFANYA MAANDAMANO
DON'T PLAY SOMEONE'S GAME
Kumbe na wewe BUMUNDA upo!!! Unapata wapi uhalali wa kujibu hoja kama hii? Wewe na BUMUNDA mwenzako Ritz hamna uhalali wowote!!!Nakushauri usifananishe jihad ya majimaji na hawa walevi waliorubuniwa kwa elfu kumi kumi.
Ukitaka kujuwa vita ya majimaji ya kweli na kwanini ikaitwa majiji mfatilie Alama Mohamed Said sio historia ya kujazwa ujinga (brain washing) ya mkoloni.
KEYBOARD HUYO HANA LOLOTEMbona wewe mkuu hukutoka wakutwange ya kichwa kama wale nyumbu promax mliowadanganya? Au wewe ni kati ya wale Keyboard Warriors?
Ndio huyu huyu 😃😀😀😀Japo wanasema shambulia hoja na si mleta hoja .
Ila wewe mleta mada si niwewe ulikuwa na I'd kadhaa alie kugundua mdada fulani baada ya kuhitafiana nae ukapotea kwa muda kidogo hapa jukwaani!
Anyway upande unao utetea hauwezi kushida asilani.
Unauhakika ile ni manipulation ?
Huyo mdada yupo wapi ? sasa UONGO HAUDUMU NA HAUNA MAISHA MAREFUJapo wanasema shambulia hoja na si mleta hoja .
Ila wewe mleta mada si niwewe ulikuwa na I'd kadhaa alie kugundua mdada fulani baada ya kuhitafiana nae ukapotea kwa muda kidogo hapa jukwaani!
Anyway upande unao utetea hauwezi kushida asilani.
KWA HUU UJINGA WALIOFANYA WANATAKA TUSIWAPE HIZI LAWAMAWalivyokosa aibu sasa,wanajua fika walichokifanya kwa kushirikiana na mkoloni kisha leo wanataka kujifanya wana uchungu na nchi
Mnaona ambavyo mlidanya vijana ?Ertugrul Bey wapi hiyo?
✍️✍️Nakushauri usifananishe jihad ya majimaji na hawa walevi waliorubuniwa kwa elfu kumi kumi.
Ukitaka kujuwa vita ya majimaji ya kweli na kwanini ikaitwa majiji mfatilie Alama Mohamed Said sio historia ya kujazwa ujinga (brain washing) ya mkoloni.
UHUNI WENU MNAUONA !?Chawa ndo muda wenu huu pimbi nyie
unatumia VPN Gani?
Kweli kiazi ni kiazi tu!
Ndio nauona huu uzi now aiseeErtugrul Bey wapi hiyo?
Naam hiyo haina ubishi chiefKATAA MAANDAMANO LINDA UHAI WAKO