Aliyesema vijana mtoke Jeshi litawalinda mnamjua?

Nimekuelewa vizur sana chief
 
Nakushauri usifananishe jihad ya majimaji na hawa walevi waliorubuniwa kwa elfu kumi kumi.

Ukitaka kujuwa vita ya majimaji ya kweli na kwanini ikaitwa majiji mfatilie Alama Mohamed Said sio historia ya kujazwa ujinga (brain washing) ya mkoloni.
Huu ushuzi umerudi tena, mdini kuliko big show kibibi huyu, kipuuzwe tuu
 
Watu walitoka baada ya kuchoka chaguzi kuchezewa, na sio kwakuwa wangelindwa na jeshi. Hiyo kutopigwa na jeshi ni jambo lililowashangaza kwani mara zote jeshi huwa linatumika na watawala wezi kuwaziba midomo wasionyeshe hisia zao.
Huwezi kupinga hili,watu walijua polisi hawapo pamoja na wananchi,lkn walipo aminishwa kuwa jeshi lipo pamoja nao ndio walipata nguvu ya kuingia road
 
Chawa ndo muda wenu huu pimbi nyie
unatumia VPN Gani?

Kweli kiazi ni kiazi tu!
Muda wa kuwakumbusha wananchi amani ya nchi ni muhimu,wasikubali kuichoma nchi yao kwa mchezo wa watu wengine wenye maslahi yao binafsi
 
N.B MIMI HAYA LAND AU HOV (HEAD OF THE VISION)

SIJAFURAHISHWA NA KILICHOTOKEA 29/10

ILA KWAKUWA NILIKUWA OFFLINE MIEZI MIWILI

SIKUWEZA KU-NOTICE NINI HASA KILITOKEA

NILIONA NIANZE NA KUFANYA UTAFITI KAMA MTAALAMU WA KUTATUA MIGOGORO YA KIJAMII

NILIPATA MAJIBU YAFUATAYO

MADHARA MAKUBWA YALITOKANA NA MATUMIZI YA DARK PSYCHOLOGY AU SAIKOLOJIA YA GIZA (NYEUSI)

AMBAYO ILIUNDWA NA WANAHARAKATI WA MITANDAONI WAKIONGOZWA NA MANGE KUWA JESHI LITAWALINDA WAANDAMANAJI

HII ILIPELEKEA VIJANA WA MTAANI AMBAO HAWANA UELEWA WA KINA WA MAMBO YA SIASA NA MAANDAMANO KUINGIA BARABARANI .

HIVYO MISTEGEEMEE MIMI HAYA LAND AU HOV NIKAE KIMYA BILA KUSAMABZA AWARENESS KWA VIJANA NA KUUA VURUGU NA MAANDAMANO ENDAPO NIKAA KIMYA NITAKUWA SINA UTOFAUTI MA WALE WOTE WALIOSAMABAZA UONGO


WANASIASA WAO HUWA HAWANA UGOMVI WA KUDUMU WANATOFAUTIANA KWA MUDA ILA WEWE UKIANDAMANA KWA AJILI YA MWANASIASA ATAKAYEUMIA NI WEWE NA FAMILIA YAKO

REJEA KULE KENYA MWAKA 2007 JE WALIOKUFA NA KUPATA ULEMAVU FAMILIA ZAO ZINAISHIJE KUNA MTU ANAZIJALI?


HIVYO KATAA MAANDAMANO KATAA VURUGU LINDA UHAI WAKO
 
Itundikwe ukutani kila mtu aione

Safi sana
 
NA WALE MNAOJARIBU KIMUSEMA NIMEBADILIKA HIVI AU VILE NA NINAHARIBU HESHIMA YANGU

NIWAAMBIE MIMI WAKATI NAJIUNGA HAPA JF SIKUMPIGIA MTU SIMU NA SIHITAJI HIYO HESHIMA YA MTU YEYOTE

NA MIMI NI MTU HURU , SIWEZI KUONA MNAWAUMIZA VIJANA MNAWAINGIZA KATIKA MATATIZO NIKAKAA KIMYA HAIWEZEKANI

MMEKUWA MKIJARIBU KUNICHAFUA KUNIFATA PM N.K ILA NIWAAMBIE NYIE SIO WATU WAZURI NA HAMUITAKII MEMA NCHI YETU


KWAHIYO LAZIMA UKWELI UWE WAZI.
 
Vyovyote iwavyo, binafsi nakubaliana na namna yoyote ya kupambana na serekali dhalimu kama hii ya Samia na genge lake.
Kwangu Kinjekitile ni shujaa..
 
Naona magaidi wanajipiga dolle na kunusa huku wakitegemea harufu tofauti, hz akili za madraasa bhn
TEGEMEA SIASA ZA AKILI ZAIDI TUPO HAPA KUWALINDA WATZ NA SIO KUWALISHA UONGO.
 

Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 20
Nibachokiona kwenye huu uzi ni makobazi wameungana na machawa na kuwa kitu kimoja kupush mbele usenge wao
 
Nakushauri usifananishe jihad ya majimaji na hawa walevi waliorubuniwa kwa elfu kumi kumi.

Ukitaka kujuwa vita ya majimaji ya kweli na kwanini ikaitwa majiji mfatilie Alama Mohamed Said sio historia ya kujazwa ujinga (brain washing) ya mkoloni.
Uko madrasa ulienda kusomea usagaji,msagaji mzee wewe
 
PINGA MAUAJI NA UTEKAJI HATAKWA GHARAMA YA DAMU. USIABUDU SEREKALI YA KIHUNI INAYOTEKA NA KUUA RAIA.
Say no demonstration ❌
 

Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 18
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…