Kwa id ile imejibu 7.40, hii 7:43 na 7:57 πππ ila nyie tiss uchwara bana.Huwezi kupinga hili,watu walijua polisi hawapo pamoja na wananchi,lkn walipo aminishwa kuwa jeshi lipo pamoja nao ndio walipata nguvu ya kuingia road
Unajaribu kusema nini sasaKwa id ile imejibu 7.40, hii 7:43 na 7:57 πππ ila nyie tiss uchwara bana.
Jibuni hoja na sio kutafuta sababu zisizo za msingiNibachokiona kwenye huu uzi ni makobazi wameungana na machawa na kuwa kitu kimoja kupush mbele usenge wao
Unajaribu kusema nini sasa
Tumewakalisha tayar,wanabaki kutukana tu,kuhamasisha tupigwe ban,wanahamasisha kususiwa mabandiko yetuHAWANA MBINU NILIKUAMBIA UONGO HUWA HAUDUMU
USHINDI USHAPATIKANA UKIONA WAMEBAKI PERSONAL ATTACK UJUE KWISHA HABARI YAO
HAUWEZI UKALETA MACHAFUKO NDUGU ZETU WAKAFA UKATEGEMEA TUKUACHE.
Tumewakalisha tayar,wanabaki kutukana tu,kuhamasisha tupigwe ban,wanahamasisha kususiwa mabandiko yetu
Yote hii ni kuonyesha hawana tena hoja,wakubali tu kuwa game is over
Amani ni tunu yetu tuilinde kwa wivu mkubwa sanaKWISHA HABARI YAO
INASIKITISHA SANA MKUU NYUMBU NI CHAKULA CHA MAMBA.Dah kweli nyumbu ni nyumbu tu!!
Sisi tunatukana maana hatuna silaha za moto kama nyie. Nyie ustaarabu wenu ni kuua lakini hamtukani.Jibuni hoja na sio kutafuta sababu zisizo za msingi
Sisi wala hatutukani kwakuwa ni wastaarabu
Slay the unbelievers wherever you find them β 2.191βHapo mimi ndipo ninawashangaa sana wavaa magauni na wapiga nyeto wa TEC
Pindi hamasa ya vurugu inafanywa wao wamekaa kimyaaa...
Vurugu zimeanza na serikali imechukua hatamu kuinusuru nchi haoo wanakuja na magauni yao eti serikali ijieleze...
Ijieleze kwao wao kama nani??shenzy kabisa
Bwaahaaaa bwahaaaaa ππ nimecheka vibaya, pale unapojitungia mtihani na kujisahihishia kisha useme una akali!πTumewakalisha tayar,wanabaki kutukana tu,kuhamasisha tupigwe ban,wanahamasisha kususiwa mabandiko yetu
Yote hii ni kuonyesha hawana tena hoja,wakubali tu kuwa game is over
Amani ni tunu yetu tuilinde kwa wivu mkubwa sanaKWISHA HABARI YAO
Nyie mmevurugwa baada kuona uwanja umeinama upande wenuSisi tunatukana maana hatuna silaha za moto kama nyie. Nyie ustamarabu wenu ni kuua lakini hamtukani.
Wewe kama unashangilia hiyo "ban" unafanya nini humu sasa.Mie hata sijui ban yo waliopigwa JF imeisha lini?
Walizowea sana kupiga watu ban, walijisahau kuwa na wao wana wababe wao.
Mtatuelewa tuBwaahaaaa bwahaaaaa ππ nimecheka vibaya, pale unapojitungia mtihani na kujisahihishia kisha useme una akali!π
Yaani ww ni chawa wa kawaida sana, labda ukawape mrejesho wanaokulipa kuwa umeshinda humu. Kwa taarifa yako sisi humu tuko sana na wala hatushindani na yoyote, ndio maana huwezi kusikia uwanja umesimama ama kuinama. Inshort sisi humu ni jukwaa huru, lisilo na mashindano. Kama unashindana hiyo ni kimpango wako na waliokutuma.Amani ni tunu yetu tuilinde kwa wivu mkubwa sana
kaa maandama
Nyie mmevurugwa baada kuona uwanja umeinama upande wenu
Hatujawahi kuelewa wazee. Hizi sio zama analogia ni za kidigital, na nyie wazee muda umewashawatupa mkono. Yaani hapa ww ni kama unafanya biashara ya kuanika nguo kavu.Mtatuelewa tu
Msikubali kutawaliwa na watu ambao hamkuwapa ridhaa ya kuwatawala hata uwe chawa usikubali katu.Muda wa kuwakumbusha wananchi amani ya nchi ni muhimu,wasikubali kuichoma nchi yao kwa mchezo wa watu wengine wenye maslahi yao binafsi
Say no to abductors and tiranny leaders.Say no demonstration β
LINDA UHAI WAKO MKUU FAMILIA INAKUTEGEMEA KATAA MAANDAMANOSay no to abductors and tiranny leaders.