Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Mimi usipojibu hoja nakubana upya, bado hujajibu, watunza kumbukumbu, wafagiaji na wafanyakazi wengine wadogo wadogo, wanakuwa na elimu gani hapo TRA? wanakuwa na degree?
 
Mimi usipojibu hoja nakubana upya, bado hujajibu, watunza kumbukumbu, wafagiaji na wafanyakazi wengine wadogo wadogo, wanakuwa na elimu gani hapo TRA? wanakuwa na degree?
Sikiliza uambie katika baadhi ya Taasisi hao sio professional ,hawawezi kukaa hata vikao vya kazi ..Wengine wanachukuliwa kutoka kwenye makampuni binafsi kama watunza jengo yaani wafagiaji ...Zipo kampuni za usafi ila zikawa chini ya Taasisi husika ...Kampuni za usafi zipo na tenda zinatangwa ..kama unaweza nioneshe waliptangaza nafasi za wafanya usafi.

Kutunza kumbukumbu kama hujui ni professional ipo kuanzia ngazi ya chetu mpaka degree kama hujui🤣🤣🤣.... Wafanyakazi wa wadogo ni kama usafi wako kwenye bajeti ya usafi wa majengo ya utunzaji wa mazingira ,wapo mpaka wanasimamia Garden kwa nje ,kazi hiz kwa sasa wanatangaza tender na makampuni yapo kabisa yana watu wanafanya usafi ...Kuna watoa huduma hawa hawaeleweki unakuta tu ni mtu mzima ila anaosha vyombo ,anasaidia shughuli hata ukimuuliza kitu anakuelekeza ...Hawa wanapatika katika njia tofauti ila sio kufanyiwa interview na Taasisi ,hawana hata mafunzo.


Kutunza kumbukumbu ni professional kama engineer na watu wanasoma kuanzia certificate na kuendelea.
 
Mimi labda nikupuuze tu maana unapotezea watu muda hujubu unachoulizwa, siyo kukukimbia
Unaruka ruka hata hujui kama kutunza kumbukumbu watu wanasomea ,wwe unafikiria ni darasa la saba tu pale ...Wapokea barua kama masijala (Registry) ni watu wanasomea kabisa acha utani wake ,darasa la saba na form four utawakuta jeshini ila lazima waende kozi za ujuzi fulani kama watu mizima basi hiyo inakuwa ni professional yao ..
 
Safi sana, kumbe unajua kujibu vizuri sasa sijui mwanzo ulikupatwa na nini.

Kwahiyo mtunza kumbukumbu wa masijala TRA naye mshahara wake unafika hata milioni mbili?
 
Of course, zile ni Tender za usafi, huwa zinatangazwa, zipo hadi tender za ku-supply food🍲, nk
 
Safi sana, kumbe unajua kujibu vizuri sasa sijui mwanzo ulikupatwa na nini.

Kwahiyo mtunza kumbukumbu wa masijala TRA naye mshahara wake unafika hata milioni mbili?
Jomba tunafananisha maafisa wa ngazi ya degree ,mbona unaruka ruka🤣🤣🤣Nimekuambia afisa TRA (Degree) anayeanza na Afisa wa jeshi(Degree) . Wako sawa kimafanikio.

Naongelea ngazi ya degree maana cycle yangu hakuna wa form four wala certificate , tunaongelea ''DEGREE''
 
Of course, zile ni Tender za usafi, huwa zinatangazwa, zipo hadi tender za ku-supply food🍲, nk
Hajui kaka kuna Nest 🤣🤣 anafikiria walw wafanya usafi wanaokotwa mitaani .
 
Bado hujajibu hoja nakurudisha pale pale, hao wenye certificate masijala ya TRA, mshahara wao unafika hata milioni mbili? Au exactly inaweza kuwa bei gani? Kama huna majibu sema.

Halafu aliyekwambia nataka kulinganisha mtu wa masijala ya TRA na afisa wa jeshi ni nani? Mbona wewe ndk unayeruka ruka kwa kukwepa kujibu maswali na kujitungia maswali au hoja zako?
 
Kwa hiyo huko kwenu darasa la saba na form four wanalipwa mil 2?
 
Kwa hiyo huko kwenu darasa la saba na form four wanalipwa mil 2?
Jibu hoja kijana acha kukimbia maswali, narudisha swali tena, wanalipwa bei gani hao certificate holder wa TRA?
 
Jibu hoja kijana acha kukimbia maswali, narudisha swali tena, wanalipwa bei gani hao certificate holder wa TRA?
Kwani nawe mbona hutaki maafisa kwa maafisa , wewe ni form four?🤣🤣

Mishahara ya TRA fuatulia nyuma imetajwa ,na kwa nn unakataa hao maafisa ..
 
Kwani nawe mbona hutaki maafisa kwa maafisa , wewe ni form four?🤣🤣

Mishahara ya TRA fuatulia nyuma imetajwa ,na kwa nn unakataa hao maafisa ..
Jibu hoja niliyokuuliza kwanza, huna majibu sema
 
Jibu hoja niliyokuuliza kwanza, huna majibu sema
Kwenye degree nimekupiga kwanza naongoza !

Kumbuka afisa forodha msaidizi ana ngazi ya diploma au certificate , inategemea na uzeofu wake..Wwe weka mishahara ya kuruta hapa.

 
Mwambie atajw degree kwao ,nakunyq hapa mpaka Muheza....Hao wasiokufa maafisa wa degree , ukiachana na wale wakuu basi wote ni kuruta.
Na hiyo salary, hajaweka extra duty ya 900,000/- na incentive , na malipo mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…