pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,296
- 1,748
Eti taasisi peke yake ambayo Rais hawezi kuiongelea ni usalama wa taifa kwa hiyo wewe unahisi usalama wa taifa na jeshi usalama ndo wana umuhimu sio? Hawezi kuwaongelea sababu wale ni walinzi wake narudia tena wale ni walinzi wake na kingine Rais hawezi kuwasema sababu akilala akiamka anaona analindwa kumbe nchi yetu hii ina amani ko usiongee ongee tu.-Taasisi pekee ambayo Rais hawezi kuiongelea utumbo ni Idara ya Usalama wa Taifa na Ujasusi,hao ndio wananusa mambo ya kila kona hadi kwenye majeshi yote wananusa.
-Kuhusu mgomo wa madaktari, huwezi kulinganisha ubora wa madaktari wa MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL as well as MUHAS pale ndio centre of medical professionalism huwezi kulinganisha na huko kwenu kulikojaa incompetent.
-kuhusu hao waliokuwa mipakani Mozambique huko hao wote wakiumia vibaya watapelekwa national hospital kama last resort kabla ya kwenda nje ya nchi for medical purposes.
- madaktari ndio priority number one, kama ni kulindwa tunaweza kulindwa hata na majeshi ya kigeni Incase jeshi letu haliko stable,
- Kama hawalali hiyo ni juu yao ndio kazi waliyoachagua Tena hata kwa kutumia connection kuipata,mwenzio daktari katumia akili nyingi sana compared na wewe uliyemaliza form IV, labda nikuulize swali wewe kazi yako inahitaji IQ kubwa kuliko medical specialists ?
Wewe ndo popoma kwa wazee waliishi vipi kulikuwa na hao madaktari waliosoma pharmacology au walitumia miti shamba, ile Jamie ya wahadzabe kwani wanaishi vipi mpaka Leo si mitishamba ndo imewafanya waishi hadi Leo kuna madaktari pale?Paragraph ya mwisho imeonesha kuwa wewe popoma
- mbona wewe hujaenda kuishi na wahadzabe? Au umejaribu kuishi kama Mhadzabe?Wewe ndo popoma kwa wazee waliishi vipi kulikuwa na hao madaktari waliosoma pharmacology au walitumia miti shamba, ile Jamie ya wahadzabe kwani wanaishi vipi mpaka Leo si mitishamba ndo imewafanya waishi hadi Leo kuna madaktari pale?
Lakini wana amani sababu hii nchi inalindwa full stop
Nan kaanza au unakurupuka ,punguza mikwara ...Mnajiona bora kuliko Wengine ,kama kulipwa si mnalipwa mbona hatuoni hayo maendeleo yenu...Soma kwanza sio kuleta shobo ...Mnavyofundishwa kudharau Wengine?Narudia tena sijadharau taasisi yoyote na ndio maana mwanzo kabisa nilisema taasisi zote zina umuhimu wake ila Jeshi lina umuhimu zaidi kwenye huu ulimwengu wa machafuko ko acha kutafuta sababu kuwa nimedharu.
Kingine acha kuongelea nchi za watu tuko hapa kuongelea kuongelea nchi yetu Tanzania acha kufananisha bongo na nchi za ulaya kwamba eti kwakuwa wao hawana Jeshi eti na sisi labda lisiwepo utoboi wewe siku haiishi unachinjwa vizuri na unakuwa mwisho wa kukaa kwa shemeji yako yani kusingekuwa na Jeshi we sahivi usingekuwa una type hapa.
Wewe na Tanzania yako kipindi cha korona ilikuaje mbona ulitoboa bila ya hata hao nadaktari na na ulikuwa unajifungia chumbani kwako huku ukijifukiza na ukatoboa vizuri tu.
Unaweza ukaishi bila madaktari na ukaishi vizuri tu na mambo yakaenda tu ila bila ulinzi wa taifa hili we sahivi ungekuwa ushakimbia upo hata huko Botswana.
Jeshi limetoka wapi ? Ishi kwa amani huko Congo hamna jeshi mbona wanambwela...Acheni zenu ,hamna umuhimu wa kuwashinda madaktari na walimu ..Wewe ndo popoma kwa wazee waliishi vipi kulikuwa na hao madaktari waliosoma pharmacology au walitumia miti shamba, ile Jamie ya wahadzabe kwani wanaishi vipi mpaka Leo si mitishamba ndo imewafanya waishi hadi Leo kuna madaktari pale?
Lakini wana amani sababu hii nchi inalindwa full stop
Eti taasisi peke yake ambayo Rais hawezi kuiongelea ni usalama wa taifa kwa hiyo wewe unahisi usalama wa taifa na jeshi usalama ndo wana umuhimu sio? Hawezi kuwaongelea sababu wale ni walinzi wake narudia tena wale ni walinzi wake na kingine Rais hawezi kuwasema sababu akilala akiamka anaona analindwa kumbe nchi yetu hii ina amani ko usiongee ongee tu.
Ukija kwenye vyombo vya ulinzi na usalama Jw kutokana na majukumu na umuhimu wake ndo maana wakapewa u-seniour kuliko majeshi yote ingekuwa kama unavyosema wewe hapo basi wangepewa wao kingine usalama kazi zao hata polisi wanafanya kama ulikuwa hujui na scenario nyingi au taarifa nyingi zinatoka upande wa Polisi kitengo cha Intelijensia kuliko hara hao usalama kama ulikuwa hujui.
*Unasema unaweza kulindwa kulindwa hata na majeshi kutoka nje sasa nakuuliza Hilo lililotoka nje ni nini kama sio jeshi au labda ni chapati zile zije zikulinde.
Kingine unasema sijui hakuna competent nakwambia tu ni kwa asilimia kadhaa tu na si haba kuna wakati Jeshi liliajiri wataalamu wa moyo, watalaam wa mionzi sikumbuki na vingine huko lakini sio haba asee.
Kingine unasema kuwa kana hawalali ni kazi yao ndio ni kazi yao kukulinda wewe ili utibu vizuri wananchi na usiweze kubugudhiwa na mtu yoyote yule.
Kingine unasema hii kazi ya Jeshi hawatumii akili mingi sasa acha nkwambie tu hivi unajua ya kwamba vita ni Saya si unalijua hilo na kingine Sema nnao bishana nao hapa kama wewe hivi ni maraia ila nkwambie tu kuna mapigano bila akili kubwa hotoboi asee nasema tena akili.
Nkaishi na wahadzabe? Hahah wewe jamaa, hiyo ni kukuonesha kuwa hao jamaa hawaitaji madaktari wako lakini wapo mpaka Leo.- mbona wewe hujaenda kuishi na wahadzabe? Au umejaribu kuishi kama Mhadzabe?
-Jiulize kwa nini hospital zinajengwa na Madaktari wanaajiriwa?
- Unajua maana ya traditional knowledge? unajua dawa nyingi Zina some ingredients za mitishamba?
-Nchi inalindwa na huko huko Jeshini Kuna hospital mmejenga na mmeajiri askari ambao ni wanajeshi, hivi wakati unaandika hii hoja yako ulitafakari kwa kina?
Mimi siwezi kubishana na wewe sababu ni jamaa flani hivi anaeishi kwa shemeji yake usie na mbele wala nyuma na nilikuambia omba sana Mungu uajiriwe kama vipi au ujiajiri ndo uje hapa tusimike vinginevyo siweziNan kaanza au unakurupuka ,punguza mikwara ...Mnajiona bora kuliko Wengine ,kama kulipwa si mnalipwa mbona hatuoni hayo maendeleo yenu...Soma kwanza sio kuleta shobo ...Mnavyofundishwa kudharau Wengine?
Wewe akili huna nimegundua, untaka kufananisha jeshi la Tz na la Congo Dr hahaha, kama Rais Tchisekedi mwenyewe ana kiri kuwa jeshi lake halina nidhamu hata kidogo ndo unataka ufananishe na la Tz hivi unadhani jeshi la Tz lingekuwa kama la Congo wale jamaa wa kibiti unadhani tungewatoa hao jamaa?Jeshi limetoka wapi ? Ishi kwa amani huko Congo hamna jeshi mbona wanambwela...Acheni zenu ,hamna umuhimu wa kuwashinda madaktari na walimu ..
-Kwani tulikuwa tunazungumzia Jeshi la Tanzania au US (source ya mada ilikuwa ni ipi?)
- Unewahi kuona CAG anatipoti hata kidogo tu taarifa za Usalama wa Taifa? Tukikupa vitabu vya bajeti unaweza kuonesha Fungu la Usalama wa Taifa ni Fungu namba ngapi na wametengewa kiasi gani? Msingi wa ufanyaji wao kazi ni kificho na akili nyingi, kwa sababu Sheria yao ya TISS imewataka kufanya kazi kwa kificho.
- -Kuhusu Police kupata taarifa kama primary source hilo nakataa, taarifa nyeti zote zinatoka Usalama wa Taifa,Kwa sababu TISS wao wanakusanya taarifa zote,na wao ni Proactive,wanachunguza taarifa kabla ya tukio la uhalifu kutokea, na hata sheria yao imeeleza kuwa wao watakusanya taarifa kwa njia ya uchunguzi na kumshauri waziri na sio IGP.
-Hao wataalam wa mionzi wanawazidi wale wa MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL as well as University? unajua upatikanaji daktari wa ajira yao? Mwenzio kafanya interview really na sio connection, pale MUHIMBILI Kuna maprofesa.
-kwa hiyo wewe unaweza kufanya mtihani wa medicine? Ikiwa hata
CAG kutokutoa taarifa ya hao jamaa ni kawaida sana na ndo inavyotakiwa sabbu hiyo security service ya siri mno kwa hiyo hii haiipi ukubwa kuliko Jw na hao Usalama sa hivi ule weledi hawana kwa hiyo sa hivi ni wamebaki kama walinzi wa viongozi wakubwa.-Kwani tulikuwa tunazungumzia Jeshi la Tanzania au US (source ya mada ilikuwa ni ipi?)
- Unewahi kuona CAG anatipoti hata kidogo tu taarifa za Usalama wa Taifa? Tukikupa vitabu vya bajeti unaweza kuonesha Fungu la Usalama wa Taifa ni Fungu namba ngapi na wametengewa kiasi gani? Msingi wa ufanyaji wao kazi ni kificho na akili nyingi, kwa sababu Sheria yao ya TISS imewataka kufanya kazi kwa kificho.
- -Kuhusu Police kupata taarifa kama primary source hilo nakataa, taarifa nyeti zote zinatoka Usalama wa Taifa,Kwa sababu TISS wao wanakusanya taarifa zote,na wao ni Proactive,wanachunguza taarifa kabla ya tukio la uhalifu kutokea, na hata sheria yao imeeleza kuwa wao watakusanya taarifa kwa njia ya uchunguzi na kumshauri waziri na sio IGP.
-Hao wataalam wa mionzi wanawazidi wale wa MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL as well as University? unajua upatikanaji daktari wa ajira yao? Mwenzio kafanya interview really na sio connection, pale MUHIMBILI Kuna maprofesa.
-kwa hiyo wewe unaweza kufanya mtihani wa medicine? Ikiwa hata biology ilikushinda
Fala wewe usije kukimbilia kushtaki , nina maendleo haufiki hata roboMimi siwezi kubishana na wewe sababu ni jamaa flani hivi anaeishi kwa shemeji yake usie na mbele wala nyuma na nilikuambia omba sana Mungu uajiriwe kama vipi au ujiajiri ndo uje hapa tusimike vinginevyo siwezi
Hakuna aliyedharau jeshi ila kuwa mkweli kwa mwaka 2025 , mna vifaa gani ya kupigana kimtaifa ..Jeshi lipo still kila kitu kinachuliwa , ukoloni maendeleo sasa mnalinda nn ? Vifaa mnatoa nje , mzima kweli wewe ?Wewe akili huna nimegundua, untaka kufananisha jeshi la Tz na la Congo Dr hahaha, kama Rais Tchisekedi mwenyewe ana kiri kuwa jeshi lake halina nidhamu hata kidogo ndo unataka ufananishe na la Tz hivi unadhani jeshi la Tz lingekuwa kama la Congo wale jamaa wa kibiti unadhani tungewatoa hao jamaa?
Halafu nshakuambia kwenye mambo ya majeshi wewe ni mtupu hujui kitu kaa tulia
Mwambie kuwa madaktari walivyogoma, walikufa watu masikini kama yeye wasio na uwezo wa kutibiwa hospitali za private, vigogo hawakuogopa kwasababu wanauwezo wa kutibiwa hata nje ya nchi kwa gharama zao au za serikali, so mgomo wa madaktari hauwatishi vigogo, maana wao na watoto wao hawatakufa, unawatisha masikini kama huyo jamaa.Dogo acha dharau na dharau zitakuponza.
Kwenye hii nchi kila taasisi zina umuhimu wake ila kuna taasisi zina umuhimu zaidi.
Hii nchi bila kulindwa unadhani pangekalika kweli hata hao madaktari wangediriki kutibu watu kweli unajua usiongee utumbo kufurahisha watu tu humu.
Wanaume hawalali wapo mipakani wanakulinda wewe halafu unachukulia poa hivi unajua hata kinachoendelea mipaka ya Mtwara na Msumbiji wanaume wamekufa kwa ajili yako wewe uliye kwa shemeji yako.
Emu vuta picha nchi hii yani hkuna Jeshi na tunaishi na majirani kama Akina Rwanda, DRC, Msumbiji na n.k vipi hapo pangekuaje hapo.
Taasisi pekee ambayo hata Rais hawezi Kuja kuiongelea utumbo ni Jeshi na hutaweza kuuona huo ujinga kama unabisha mwambieni Rais afanye hivyo.
Marehemu Rais Magufuli alipofariki nchi ilikuwa chini ya udhibiti wa Jeshi yaani CDF Mabeyo mpaka Rais alivyoapishwa hivi unadhani Mabeyo angeamua kukataa uapisho wa Rais na kupitisha utawala wa kijeshi kuna mtu angeinua pua yake pale?
Hao madaktari waligoma kipindi cha Rais mstaafu Kikwete uliza kilichofanyika mpaka Leo sidhani kama watarudia na hao hao wanajeshi ndio walikuwa wanaenda kutibu watu badala ya madaktari na hakuna daktari aliye bembelezwa na waliufyata wenyewe na wakarudi kazini wenyewe halafu unakuja kuongea pumba hapa.
Alikuwa sijui ni Waziri yule kama sikosei alishiba kama wewe hivyo hivyo makande akawa anaongea pumba kama zako masaa kadhaa kupita hana kazi halafu jobless mmoja unapata ujasiri wa kuongea shit kama hizo.
Unasema wanapata vitambi wewe ulitaka wote waende mipakani sio?? Acha uzwazwa
Acha zako wewe ,acha kujipa umuhimu ... Madaktari ni muhimu kwenye afya za watu ,kuna nchi hazina jeshi ila sio madaktari kama unabisha upewe ...Acha kufikiria mambo yasikuwa na mzingi ...We tena usirudie kuandika ujinga ,mnadharau madaktari kwa kipi mlichokuwa nacho.
Watu wanaopigania uhai wa mtu ,wanapigania wanawake wajifungue salama ,unafananisha na mambo yenu ya vurugu hayo ...Tena usirudie tena kaundika kama ya kufikiria. kuna Rais ndio wanegweza kuchukua nchi sio kwa jeshi la Tz .
Usirudie tena kuandika ujinga .
Huo ni mfumo wa siasa wa nchi ,msijione wa muhimuSasa kama
Sasa kama madaktari wana kazi ngumu, mbona take home wa daktari wa degree ni mdogo kuliko wa private ambaye hana V hata moja na ambaye hana elimu? Taifa linajua ni wapi penye uzito na wapi wapeleke hela nyingi.
Madaktari wanajeshi wapo wengi na wengine wamesoma muhimbili hapo hapo unapopasifia, walipomaliza vyuo ndo wakaingia jeshini, na wakaona mabadiliko ya pesa walipoenda huko.-Taasisi pekee ambayo Rais hawezi kuiongelea utumbo ni Idara ya Usalama wa Taifa na Ujasusi,hao ndio wananusa mambo ya kila kona hadi kwenye majeshi yote wananusa.
-Kuhusu mgomo wa madaktari, huwezi kulinganisha ubora wa madaktari wa MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL as well as MUHAS pale ndio centre of medical professionalism huwezi kulinganisha na huko kwenu kulikojaa incompetent.
-kuhusu hao waliokuwa mipakani Mozambique huko hao wote wakiumia vibaya watapelekwa national hospital kama last resort kabla ya kwenda nje ya nchi for medical purposes.
- madaktari ndio priority number one, kama ni kulindwa tunaweza kulindwa hata na majeshi ya kigeni Incase jeshi letu haliko stable,
- Kama hawalali hiyo ni juu yao ndio kazi waliyoachagua Tena hata kwa kutumia connection kuipata,mwenzio daktari katumia akili nyingi sana compared na wewe uliyemaliza form IV, labda nikuulize swali wewe kazi yako inahitaji IQ kubwa kuliko medical specialists ?
Halafu mtu anakaaje kwa shemeji yake aisee, yaani ningekuwa mimi ndo shemeji yake, kama dada yake nilikuwa namlomba bao mbili, ningeanza kumlomba bao tatu, hilo moja ni la mdogo wake, mtu huoni aibu unakula chakula cha bure huku dada yako analombwa kama kulipia chakula chako, na pia saa zingine unasikia kelele za dada yako akiwa analombwa.Narudia tena sijadharau taasisi yoyote na ndio maana mwanzo kabisa nilisema taasisi zote zina umuhimu wake ila Jeshi lina umuhimu zaidi kwenye huu ulimwengu wa machafuko ko acha kutafuta sababu kuwa nimedharu.
Kingine acha kuongelea nchi za watu tuko hapa kuongelea kuongelea nchi yetu Tanzania acha kufananisha bongo na nchi za ulaya kwamba eti kwakuwa wao hawana Jeshi eti na sisi labda lisiwepo utoboi wewe siku haiishi unachinjwa vizuri na unakuwa mwisho wa kukaa kwa shemeji yako yani kusingekuwa na Jeshi we sahivi usingekuwa una type hapa.
Wewe na Tanzania yako kipindi cha korona ilikuaje mbona ulitoboa bila ya hata hao nadaktari na na ulikuwa unajifungia chumbani kwako huku ukijifukiza na ukatoboa vizuri tu.
Unaweza ukaishi bila madaktari na ukaishi vizuri tu na mambo yakaenda tu ila bila ulinzi wa taifa hili we sahivi ungekuwa ushakimbia upo hata huko Botswana.
Nchi yenyewe ndo imeona JW ni ya muhumu kuliko madaktari ndomaana ikatoa dau kuwa kwa JWHuo ni mfumo wa siasa wa nchi ,msijione wa muhimu
Nchi yenyewe ndo imeona JW ni ya muhumu kuliko madaktari ndomaana ikatoa dau kuwa kwa JW
Wewe ndo popoma kwa wazee waliishi vipi kulikuwa na hao madaktari waliosoma pharmacology au walitumia miti shamba, ile Jamie ya wahadzabe kwani wanaishi vipi mpaka Leo si mitishamba ndo imewafanya waishi hadi Leo kuna madaktari pale?
Lakini wana amani sababu hii nchi inalindwa full st