Jeshi limetoka wapi ? Ishi kwa amani huko Congo hamna jeshi mbona wanambwela...Acheni zenu ,hamna umuhimu wa kuwashinda madaktari na walimu ..
Kwani ndugu yangu, hao madaktari wa mionzi ambao ni JW si wengine wamesoma muhimbili au jeshi lina chuo kinachofundisha mionzi? Utasemaje hawawazidi wa muhimbili nahuku ni classmates?-Kwani tulikuwa tunazungumzia Jeshi la Tanzania au US (source ya mada ilikuwa ni ipi?)
- Unewahi kuona CAG anatipoti hata kidogo tu taarifa za Usalama wa Taifa? Tukikupa vitabu vya bajeti unaweza kuonesha Fungu la Usalama wa Taifa ni Fungu namba ngapi na wametengewa kiasi gani? Msingi wa ufanyaji wao kazi ni kificho na akili nyingi, kwa sababu Sheria yao ya TISS imewataka kufanya kazi kwa kificho.
- -Kuhusu Police kupata taarifa kama primary source hilo nakataa, taarifa nyeti zote zinatoka Usalama wa Taifa,Kwa sababu TISS wao wanakusanya taarifa zote,na wao ni Proactive,wanachunguza taarifa kabla ya tukio la uhalifu kutokea, na hata sheria yao imeeleza kuwa wao watakusanya taarifa kwa njia ya uchunguzi na kumshauri waziri na sio IGP.
-Hao wataalam wa mionzi wanawazidi wale wa MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL as well as University? unajua upatikanaji daktari wa ajira yao? Mwenzio kafanya interview really na sio connection, pale MUHIMBILI Kuna maprofesa.
-kwa hiyo wewe unaweza kufanya mtihani wa medicine? Ikiwa hata biology ilikushinda
Wewe hizi hoja ni nzito kwako huwezi kuzijadili yani unauliza kuwa wanalinda nini hivi zinakutosha kweli wewe duh ndo maana nasema ukila zako ukashiba huwezi Jua kinaendelea nini mipakani.Hakuna aliyedharau jeshi ila kuwa mkweli kwa mwaka 2025 , mna vifaa gani ya kupigana kimtaifa ..Jeshi lipo still kila kitu kinachuliwa , ukoloni maendeleo sasa mnalinda nn ? Vifaa mnatoa nje , mzima kweli wewe ?
Ishu kama hizi hawawezi kuelewaMwambie kuwa madaktari walivyogoma, walikufa watu masikini kama yeye wasio na uwezo wa kutibiwa hospitali za private, vigogo hawakuogopa kwasababu wanauwezo wa kutibiwa hata nje ya nchi kwa gharama zao au za serikali, so mgomo wa madaktari hauwatishi vigogo, maana wao na watoto wao hawatakufa, unawatisha masikini kama huyo jamaa.
Upande wa pili, jeshi likigoma, hao vigogo ndo watateseka, maana wanaweza hata kuuawa, mwaka 1964 mwezi January tarehe 20 mpaka 26, Jeshi la TR liliasi na kwenda ikulu kwa mtutu wa bunduki, Nyerere na watumishi wake wa ikulu (wasiojulikana) walikimbia nchi, na hapo ni kikosi kimoja tu ndo kimegoma, wanaume walitawala siku sita na kunyamazisha nchi nzima.
So viongozi hawapati shida na mgomo wa madaktari, watapata shida na mgomo wa jeshi
Hahah si unakumbuka huyu jamaa alikuwa anawasifia sana TRA nakupa hii sasa shemeji yake ndo anafanya kazi TRA ko alikuwa anapasifia huko sabbu ya shemeji ake na shem kafunga wi-fi pale home ko jamaa mda mwingi n kitonga tu kutusumbua humu!Halafu mtu anakaaje kwa shemeji yake aisee, yaani ningekuwa mimi ndo shemeji yake, kama dada yake nilikuwa namlomba bao mbili, ningeanza kumlomba bao tatu, hilo moja ni la mdogo wake, mtu huoni aibu unakula chakula cha bure huku dada yako analombwa kama kulipia chakula chako, na pia saa zingine unasikia kelele za dada yako akiwa analombwa.
Sahihi kabisaaaHata kipindi cha ukoloni, hakukuwa na madaktari, watu walikula miti shamba, ila wafalme/machifu, walilindwa na Askari wenye ngao na mishale.
Akili yake ni ndogo kuchanganua mambo, ni mtu wa tanga, maneno mengi kama demu vile afu hoja hana, tunapoteza muda wetu bure.Ishu kama hizi hawawezi kuelewa
Ndomaana alisema yupo online 24 hours kwasababu ni jobless hana kazi, sisi wengine ni mpaka tutoke kwenye kazi zetu za kujenga taifa ndo tujibu hoza zao. Si unajua tabia ya JF hasa sisi wanaume, kila mtu anajifanya ana degree, kila mtu ana kazi nzuri, kila mtu ana gari, kila mtu anamiliki mke mzuri, ila ukichunguza vizuri utakuta wengi wao ni masikini wa kunuka tu na hawana elimu wala dira.Hahah si unakumbuka huyu jamaa alikuwa anawasifia sana TRA nakupa hii sasa shemeji yake ndo anafanya kazi TRA ko alikuwa anapasifia huko sabbu ya shemeji ake na shem kafunga wi-fi pale home ko jamaa mda mwingi n kitonga tu kutusumbua humu!
Huyo jamaa Bure kabisaNdomaana alisema yupo online 24 hours kwasababu ni jobless hana kazi, sisi wengine ni mpaka tutoke kwenye kazi zetu za kujenga taifa ndo tujibu hoza zao. Si unajua tabia ya JF hasa sisi wanaume, kila mtu anajifanya ana degree, kila mtu ana kazi nzuri, kila mtu ana gari, kila mtu anamiliki mke mzuri, ila ukichunguza vizuri utakuta wengi wao ni masikini wa kunuka tu na hawana elimu wala dira.
Usikute wanafanya hivyo ili kuvutia mademu walio humu JF, sasa we demu yupo JF ndo wa kutumia nguvu kiasi hicho kumpata? Ambao wengi wao usikute ni masingle mother na mafeminists, malaya wastaafu, wengine ID za kike kumbe ni matapeli wa kiume.
-huwezi kulinganisha super specialist na mtu wa form vi, kwa level ya super specialist huyo ni kwamba ana PhD, nani kakwambia mtu mwenye PhD anategemea mshahara? Mshahara ni kitu kidogo sana kwa super specialist hao ndio wanahudumia hospitali zaidi ya moja,hao ndio wanafundisha vyuo vikuu zaidi ya kimoja, wanafanya consultancy works nyingi sana na research mbalimbali hiyo mishahara ni kitu kidogo sana, kwa level ya PhD,Unajua take
Madaktari wanajeshi wapo wengi na wengine wamesoma muhimbili hapo hapo unapopasifia, walipomaliza vyuo ndo wakaingia jeshini, na wakaona mabadiliko ya pesa walipoenda huko.
Unafahamu kuwa mtu mwenye nyota moja JW, ambaye ni form six tu, take home yake ni kubwa kuliko superspecialist wa serikali ?(kumbuka superspecialist ni daktari mwenye degree tatu, bingwa wa juu bobezi, kasoma miaka 11-13 kutegemea alisoma ubobezi wa nini), sasa si fedheha hizo mjomba?
Sasa huyo nyota moja akiwa nayeye ana madegree yake unafikiri utamkamatia wapi?
- humo kwenu ni kama kokoro linabeba Kila chuo, medical universities zoteKwani ndugu yangu, hao madaktari wa mionzi ambao ni JW si wengine wamesoma muhimbili au jeshi lina chuo kinachofundisha mionzi? Utasemaje hawawazidi wa muhimbili nahuku ni classmates?
Unajua kuna superspecialist wengi JW na maspecialists wa kumwaga? Wengine wamesoma uingereza ambapo kuna elimu nzuri kuliko hiyo muhimbili yako inayoshindwa na kutoa rufaa kuja uingereza au India?
- CAG hagusi maeneo nyeti,na maeneo yenye heshima,ikulu includingCAG kutokutoa taarifa ya hao jamaa ni kawaida sana na ndo inavyotakiwa sabbu hiyo security service ya siri mno kwa hiyo hii haiipi ukubwa kuliko Jw na hao Usalama sa hivi ule weledi hawana kwa hiyo sa hivi ni wamebaki kama walinzi wa viongozi wakubwa.
Mimi nimefanya kazi taasisi karibia zote za majeshi tena tukishirikiana kwa pamoja kwa hiyo najua asee Polisi ni nyoko kwa taarifa hao wamebaki Jina tu ningekupa baadhi ya scenario ambazo usalama ziliwapita kushoto ila Polisi wameua na ndo ungeshangaa halafu nyie hamjui huku tunafanyaje ko sishangai mnavyobisha ila hii haihalalishi kwamba hawapigi Sema wanaoingia hawajui kazi na ni wengi na ndo ambao wanwaharibia ila few are competent.
Narudi kwenye hoja hapa bongo kuna maeneo hizo huduma za afya hakuna ulishawahi kujiuliza wanaishi vipi? Na kwa wakati huohuo nchi hii vyombo vya ulinzi na usalama vikihakikisha usalama wa nchi au siku moja tu polisi waseme kuwa Leo hatufanyi kazi tumepumzika afu uone timbwili lake kwa mantiki hiyo vyombo vya ulinzi na usalama vipeni maua yake.
Jamie ambazo hazina vituo vya afya au zahanati ushajiuliza wananchi wake wanaishije??
Unaona sasa, private asiye na cheo ambaye ni darasa la saba anamyacha mbalu mno, private mwenye degree abampita hadi specialistView attachment 3327100
Daktari huyu hapa asee na kusoma kote kulee mhh!
Huyu hata akienda Zimamoto anakuwa ametengeneza gap kubwa tu na atakula tofauti na hapo
Acha zako weweHao walimu ndo kabisaaa, bora hata watu wa afya kwa mbali tutakuelewa. Watoto wanafaulu kwenda form one hawajui kusoma, kisha ndo wanatuletea zero na mass failure..
Wewe hizi hoja ni nzito kwako huwezi kuzijadili yani unauliza kuwa wanalinda nini hivi zinakutosha kweli wewe duh ndo maana nasema ukila zako ukashiba huwezi Jua kinaendelea nini mipakani.
Kutoa vifaa nje ni shida? Nchi za uchumi wa kwanza zinaagiza sembuse wewe kajamba nani yani Akina Singapore, Korea ya Kusini na Japani wana uchumi wa juu lakini wanaagiza vifaa vya Kavita toka nje sembuse wewe halafu nshakuambia wewe haya mambo hujui bora ukae tu kmya aseecji
-Madaktari inategemea ni daktari wa taasisi gani, daktari wa NIMR,KEC yuko juu, na unaweza kukuta ana part-time hospital ya kufanya kazi, na kikubwa kuliko vyote ukiwa na degree kuna possiblity ya kubadili kazi, private hawezi kubadili kazi kazi yake ni hapo hapo.Unaona sasa, private asiye na cheo ambaye ni darasa la saba anamyacha mbalu mno, private mwenye degree abampita hadi specialist
-huo ni mshahara wa kuanzia lakini pia anapanda vyeo na anaweza kubadili kaziView attachment 3327100
Daktari huyu hapa asee na kusoma kote kulee mhh!
Huyu hata akienda Zimamoto anakuwa ametengeneza gap kubwa tu na atakula tofauti na hapo
Acha uwongo wwUnajua take
Madaktari wanajeshi wapo wengi na wengine wamesoma muhimbili hapo hapo unapopasifia, walipomaliza vyuo ndo wakaingia jeshini, na wakaona mabadiliko ya pesa walipoenda huko.
Unafahamu kuwa mtu mwenye nyota moja JW, ambaye ni form six tu, take home yake ni kubwa kuliko superspecialist wa serikali ?(kumbuka superspecialist ni daktari mwenye degree tatu, bingwa wa juu bobezi, kasoma miaka 11-13 kutegemea alisoma ubobezi wa nini), sasa si fedheha hizo mjomba?
Sasa huyo nyota moja akiwa nayeye ana madegree yake unafikiri utamkamatia wapi?
PhD jeshini zipo, superspecialists wapo, professor aliwahi kuwapo mmoja, Meja Jenerali Yodito Kohi, alikuwa Neurosurgeon, japo siyo wengi kama muhimbili. Halafu vyuo vingine vinatoa graduates wazuri pia.- humo kwenu ni kama kokoro linabeba Kila chuo, medical universities zote
-hakuna sehemu yenye super specialist hapa Tanzania kama MUHIMBILI,pale ni Centre of medical education in Tanzania,hao waliosoma england ni wangapi?
- Pale MUHIMBILI wanafanya Research na tunaziona paper zao za Kina Prof.Karim Manji (ambae amepata tuzo ya Harvard university), naomba taja idadi ya maprofesa wa medicine walioko Jeshini including police, prison linganisha na idadi ya maprofesa wa medicine walioko MUHIMBILI? as well as PhD zilizokuwa Jeshini (majeshi yote) linganisha na MUHIMBILI