Kubadili kazi unamaanisha nini? Au ni kubadili fani?-huo ni mshahara wa kuanzia lakini pia anapanda vyeo na anaweza kubadili kazi
- Uzuri wa elimu ni kwamba unaweza kubadili kazi
Niambie superspecialist analipwa bei gani na specialist analipwa bei gani.Acha uwongo ww
Pia hata jeshi inategemea ni cheo gani(nyota) ni vyeo vya begani au vyeo vya chini (V), madaktari wa NIMR siyo wengi sana, wengi wanaajiriwa na wizara ya afya au tamisemi.-Madaktari inategemea ni daktari wa taasisi gani, daktari wa NIMR,KEC yuko juu, na unaweza kukuta ana part-time hospital ya kufanya kazi, na kikubwa kuliko vyote ukiwa na degree kuna possiblity ya kubadili kazi, private hawezi kubadili kazi kazi yake ni hapo hapo.
- Kingine ni kwamba mtu mwenye degree ana nafasi ya kupanda vyeo hadi kufikia Principal,lakini la7 atapanda hadi wapi?
Hilo deni la Bodi ya Mikopo ni kubwa mno. Hili deni ni umaskini kabisa.View attachment 3327100
Daktari huyu hapa asee na kusoma kote kulee mhh!
Huyu hata akienda Zimamoto anakuwa ametengeneza gap kubwa tu na atakula tofauti na hapo
Milioni 32 ungepata mkononi si upo mbali tu, sasa hapo anaweza akalipa hilo deni miaka 10, yaani miaka yako 10 ya mwanzo ya kazi, we unakuwa unasindikiza tu wenzio.Hilo deni la Bodi ya Mikopo ni kubwa mno. Hili deni ni umaskini kabisa.
-ili kuondoa utata taja salary scale zaoPia hata jeshi inategemea ni cheo gani(nyota) ni vyeo vya begani au vyeo vya chini (V), madaktari wa NIMR siyo wengi sana, wengi wanaajiriwa na wizara ya afya au tamisemi.
Pia Jeshi kuna kupanda vyeo na vipo vingi tu, huko kwa madaktari vyeo mara nyingi ni vitano, ila bakabaka vyeo vipo zaidi ya steps tano. Narudia tena, nyota moja anamzidi superspecialist kwa take home, kumbuka nyota moja ndo entry level, huku superspecialist ni mtu aliyekaa kazini miaka kadhaa na kujiendeleza kazini, so entry level ambaye ni form six anamzidi mtu mwenye degree tatu aliyekaa kazini miaka mingi.
Huoni hapo kuna mmoja katumia nguvu kubwa kwaajili ya kuwa mtu wa kawaida? Hiyo salary slip iliyopostiwa hapo, mhusika kasoma miaka sita, lakini anazidiwa mbali take home na mtu wa la saba aliyefanya mafunzo ya miezi mitano na kuvaa baka baka.
-Profesa 1 sasa unabishana na nini na MUHIMBILI bwashee?P
PhD jeshini zipo, superspecialists wapo, professor aliwahi kuwapo mmoja, Meja Jenerali Yodito Kohi, alikuwa Neurosurgeon, japo siyo wengi kama muhimbili. Halafu vyuo vingine vinatoa graduates wazuri pia.
- hata kubadili kazi hujaelewa, namaanisha kwamba madaktari wanaweza kubadili kazi kutoka organization moja hadi nyingine lakini la7 hawezi kubadili kazi atabaki na hizo 1+m tu kwa sababu Hana ujuziKubadili kazi unamaanisha nini? Au ni kubadili fani?
Pia hata akipanda cheo, the next step, take home itakuwa around 1.2mil, ambapo bado hampati bakabaka ambaye hana elimu ambaye anaanza kazi.
Hao walimu ndo kabisaaa, bora hata watu wa afya kwa mbali tutakuelewa. Watoto wanafaulu kwenda form one hawajui kusoma, kisha ndo wanatuletea zero na mass failure..
Mshahara wa daktari wa tamisemi na wa wizara ya afya ni sawa, walio wizara ya afya (mfano wanaofanya kazi regional hospital), siyo wote wanapata nafasi za kwenda seminar mara kwa mara, wanajichaguliaga maseniors ndo wanajipendelea.-ili kuondoa utata taja salary scale zao
-kama ni wengi wanaajiriwa tamisemi lakini lazima ukubali kuna ambao hawako tamisemi, kuhusu wizarani huko Kuna safari,vikao nk hao Wana afadhali maradufu compared to tamisemi
- Super specialist wa wapi?
-ukiishia la7 bwashee huna option ni huko huko tu, huna part-time professional job compared to medicine
-Kuhusu entry level formvi nakataa kwamba anamzidi super specialist, taja salary scale yao, daktari huwa wananyongeza kubwa sana wakipanda vyeo kwa sababu wanasoma muda mrefu
Sijabisha kuwa muhimbili wapo wengi, ila jeshini siyo kwamba hawapo-Profesa 1 sasa unabishana na nini na MUHIMBILI bwashee?
-PhD za medicine? hizo nazo unaweza kukuta hazizidi 10, wewe mwenyewe ukiambiwa uwataje wenye hizo PhD za medicine huwezi kuwataja hata watano
Uliwahi kuusoma waraka wenye mishahara ya watumishi wa umma? Madaktari wakipanda cheo, kinachoongezeka ni 300K mpaka 250K, na hapo ni gross salary, zikikatwa, take home inayoongezeka ni ndogo kuliko hizo.-ili kuondoa utata taja salary scale zao
-kama ni wengi wanaajiriwa tamisemi lakini lazima ukubali kuna ambao hawako tamisemi, kuhusu wizarani huko Kuna safari,vikao nk hao Wana afadhali maradufu compared to tamisemi
- Super specialist wa wapi?
-ukiishia la7 bwashee huna option ni huko huko tu, huna part-time professional job compared to medicine
-Kuhusu entry level formvi nakataa kwamba anamzidi super specialist, taja salary scale yao, daktari huwa wananyongeza kubwa sana wakipanda vyeo kwa sababu wanasoma muda mrefu
Sasa huko siyo kubadili kazi, ni kubadili taasisi au mwajiri, ila kazi yake itakuwa ile ile, daktari bingwa akihama kutoka halmashauri ya wilaya ya ilemela kuja JKCI, ataendelea kufanya kazi ile ile ila mwajiri tu ndo atakuwa kabadilika, sada umeona ni wewe ndo umefanya nisielewe.- hata kubadili kazi hujaelewa, namaanisha kwamba madaktari wanaweza kubadili kazi kutoka organization moja hadi nyingine lakini la7 hawezi kubadili kazi atabaki na hizo 1+m tu kwa sababu Hana ujuzi
-na miaka inavyoenda watu wanapata vyeo wengine wanakuwa District medical officer, regional medical officer,la saba utakuta kapata labda Sajenti tu, kwa hiyo gap litakuwepo tu kutokana na elimu,la7 hawezi kubakia juu ya mwenye degree ya medicine
Nyota moja hamzidi specialist we jamaa muongo hawa juniors ofisa mishahara ya kawaida tuPia hata jeshi inategemea ni cheo gani(nyota) ni vyeo vya begani au vyeo vya chini (V), madaktari wa NIMR siyo wengi sana, wengi wanaajiriwa na wizara ya afya au tamisemi.
Pia Jeshi kuna kupanda vyeo na vipo vingi tu, huko kwa madaktari vyeo mara nyingi ni vitano, ila bakabaka vyeo vipo zaidi ya steps tano. Narudia tena, nyota moja anamzidi superspecialist kwa take home, kumbuka nyota moja ndo entry level, huku superspecialist ni mtu aliyekaa kazini miaka kadhaa na kujiendeleza kazini, so entry level ambaye ni form six anamzidi mtu mwenye degree tatu aliyekaa kazini miaka mingi.
Huoni hapo kuna mmoja katumia nguvu kubwa kwaajili ya kuwa mtu wa kawaida? Hiyo salary slip iliyopostiwa hapo, mhusika kasoma miaka sita, lakini anazidiwa mbali take home na mtu wa la saba aliyefanya mafunzo ya miezi mitano na kuvaa baka baka.
- wanaongezewa hizo laki3 ni wenye degree za three years, medical officers wanaongezewa nyingi kwa sababu ya salary scale yao,Uliwahi kuusoma waraka wenye mishahara ya watumishi wa umma? Madaktari wakipanda cheo, kinachoongezeka ni 300K mpaka 250K, na hapo ni gross salary, zikikatwa, take home inayoongezeka ni ndogo kuliko hizo.
Sasa huko siyo kubadili kazi, ni kubadili taasisi au mwajiri, ila kazi yake itakuwa ile ile, daktari bingwa akihama kutoka halmashauri ya wilaya ya ilemela kuja JKCI, ataendelea kufanya kazi ile ile ila mwajiri tu ndo atakuwa kabadilika, sada umeona ni wewe ndo umefanya nisielewe.
Kuhusu JW, hakuna darasa la saba pekee, tukilinganisha upande wa mwenye degree mwenzie ambaye ana nyota begani, huyo daktari wako hata apande vyeo vipi hamfikii huyu mwenye nyota, na kwenye nyota ndo kuna mivyeo kibao ya kupanda.
So daktari ataachwa kuanzia entry level mpaka kustaafu, kumbuka daktari anakatwa PSPF, kikokotoo chake kitachezewa na wanasiasa weee, kitabadilishwa badilishwa weeee, ila JW hakatwi hizo pspf, hana stress za kikokotoo, na ktk kustaafu atalipwa pesa ndefu kuliko wewe uliyekuwa unakatwa pesa na hiyo mifuko.
- hii taarifa sidhani kama ni ya kwelivaкaao ya ivisnanara кwa baaanya vyeotkwa Kiasi cha TZS Kwa Mwezi):
Cheo
Kiasi cha Mshahara (TZS)
Private (Askari wa kawaida)
400,000 - 600,000
Lance Corporal
600,000 - 700,000
Corporal
700,000 - 800,000
Sergeant
800,000 - 950,000
Warrant Officer
1,000,000 - 1,200,000
Second Lieutenant
1,200,000 - 1,400,000
Captain
1,500,000 - 1,800,000
Major
2,000,000 - 2,500,000
Lieutenant Colonel
2,500,000 - 3,000,000
Colonel
3,000,000 - 3,500,000
Brigadier General
4,000,000 - 5,000,000
Major General
5,500,000 - 6,500,000
Lieutenant General
7,000,000 - 8,000,000
General
9,000,000 - 10,000,000+
Marupurupu na Manufaa уа Askari JWTZ
Mbali na mishahara
Hizi ni za kweli?vaкaao ya ivisnanara кwa baaanya vyeotkwa Kiasi cha TZS Kwa Mwezi):
Cheo
Kiasi cha Mshahara (TZS)
Private (Askari wa kawaida)
400,000 - 600,000
Lance Corporal
600,000 - 700,000
Corporal
700,000 - 800,000
Sergeant
800,000 - 950,000
Warrant Officer
1,000,000 - 1,200,000
Second Lieutenant
1,200,000 - 1,400,000
Captain
1,500,000 - 1,800,000
Major
2,000,000 - 2,500,000
Lieutenant Colonel
2,500,000 - 3,000,000
Colonel
3,000,000 - 3,500,000
Brigadier General
4,000,000 - 5,000,000
Major General
5,500,000 - 6,500,000
Lieutenant General
7,000,000 - 8,000,000
General
9,000,000 - 10,000,000+
Marupurupu na Manufaa уа Askari JWTZ
Mbali na mishahara
Muongo katungaHizi ni za kweli?