Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Jeshi lenyewe limejaa mazwazwa wengi wao wakipewa hizo pesa ni kuzinywea pombe na kushindana na raia kuchukua wanawake za watu na mabinti mitaani.Taarifa zilizopo ni kwamba tangu jana asubuhi wanajeshi walishalipwa mishahara yao ya mwezi April huku watumishi wengine mpaka leo bado.
Binafsi nafikiri hili haijakaa vizuri na ni bora wasingelipa kuliko walivyofanya japo inaweza kuwa ni kwa nia njema kabisa
Wanapaswa kutambua wanajeshi tunaishi nao mitaani kwahiyo hakuna siri.
Tunajua Jeshi ni kada muhimu lakini bado sio sahihi kufanya hivi kwqni haileti picha nzuri kwa umma.
Washauri muwe msaada kwa viongozi na si vinginenyo.
Mbona ww ni mtoto mzuri tu lakini muda mwingine una maneno makali sanaJobless wanapita ktk huu uzi, km wanaaga maiti vile.
😂😂😂😂😂
Halafu wanaamini wao ndio wenye kipato kuliko wengineJeshi lenyewe limejaa mazwazwa wengi wao wakipewa hizo pesa ni kuzinywea pombe na kushindana na raia kuchukua wanawake za watu na mabinti mitaani.
Huwa nacheka sana 😀😀..nikikutana na hawa watu kwenye kumbi za starehe wanaishi maisha ya kujitutumua sanaHalafu wanaamini wao ndio wenye kipato kuliko wengine
Na ww umeliona hilo kumbe 😃Huwa nacheka sana 😀😀..nikikutana na hawa watu kwenye kumbi za starehe wanaishi maisha ya kujitutumua sana
Kwa hivyo vilaki tatu vyako unavyolipwa sio acha dharauJobless wanapita ktk huu uzi, km wanaaga maiti vile.
😂😂😂😂😂
Si ndo hapo, mnalia lia tu kama wapumbavu nahuku tarehe 23 bado haijafika. Kwanza kuwahi kupokea mshahara ni kuwahi kuishiwa.kwani mwisho wa mwezi umefika?
Pesa zao wanalipwa nyingi mno kuliko wasomi wa vyuo vikuuMzee angalau wanapokea shiling ngapi sio wamelipwa lin.. Mzunguko ni ule ule ,so haina tija mtu mwingine malipo yao hao ni mara mbili yake ni kawaida ...Hawana maajabu ,naishi nao huku sana ni majirani zangu ,ile leverage yao ya mikopo ila kwingine kawaida sana..
Si kweli!Pesa zao wanalipwa nyingi mno kuliko wasomi wa vyuo vikuu
Pesa wanazo ndefuHuwa nacheka sana 😀😀..nikikutana na hawa watu kwenye kumbi za starehe wanaishi maisha ya kujitutumua sana
Ni kwamba tu hatuwezi kuelezea zaidi, ila tunafahamu ukweliSi kweli!
Tunaishi na wanajeshi ,wanalipwa kawaida bhana sio kama TBS ,TPA ,EWURA ndicho namaanisha.Ni kwamba tu hatuwezi kuelezea zaidi, ila tunafahamu ukweli
Ili wamkomeshe Lisu na timu yake sio?Nadhani vyombo vyoteulinzi na usalama wamelipwa....
Kwa vyeo vya maafisa, wanalingana na hizo taasisi unazosema. Kwa maafisa wakuu, hata hizo taasisi ulizotaja hazioni ndani.Tunaishi na wanajeshi ,wanalipwa kawaida bhana sio kama TBS ,TPA ,EWURA ndicho namaanisha.