Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Ukisema afisa mkuu kwenye utumishi wa umma maana yake ni Principal Officer
Anafikiria afisa mkuu ni kukurupuka ...Jeshini labda ukae sana miaka 10 na kuendelea ...Hawa taasisi nyeti miaka 4 kashatoka kitambi na mkoko ... Tatizo protocol za Jeshini si rahisi kuzivunja na zipo miaka nenda miaka rudi ... Taasisi unaweza kusikia kesho wameongeza mishahara kimya kimya ...Dili zipo nyingi ila jeshini wako strictly kwenye protocal zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…