bandeko andeko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 1,080
- 2,143
kwa ufupi ni kuwa unapotengenezewa namba za 3D zile namba zako za awali za 2D unabaki nazo, kwa hiyo ni suala la kuziweka tu.Siongei chochote, ila nauliza tu, baada ya kubandua, hizo namba zinapofutika, ndio Camera za polisi zinaweza kusoma?View attachment 2938786
Mradi wa mtu mpwaa mjiini akiliHivi mkuu kwa sasa tanzania ni makampuni mangapi wana print
Plate #
Mm naona kama zengwe linatengenezwa
Ova
Naunga mkono hojaNajua Police excuse yao kubwa ni namba hazisomwi na camera zao wanaotegesha zisome madeni etc.
Ila twende na technology, Police wanatakiwa wawe na magari ya patrol ambayo yapo equiped na ANPR cameras (Automatic Number Plate Recognition Cameras). Ambayo inafanya kazi kama zile camera zao wanazotegesha njiani zina detect magari yasio na bima, yenye madeni na yenye uharifu.
View attachment 2938807
Issue ya kuzingizia 3D numbers ñi kwasababu vifaa vyetu vipo outdated sana.
Baadhi ya Nchi zilioendelea wameweka 3D numbers kama premium option tu kwa magari, na wala haikatazwi.
View attachment 2938810
Hao wanaobandua kwa lazima barabarani kwa mtindo wa operesheni ni trafiki wenyewe. Kwahiyo kumbe hii ni biashara anatengenezewa mtu, si ndio?!Hutakiwi kubandua, unatakiwa kurudi kwenye macamuni yanayotoa hizo number, nenda na card yako ya gari na number ulizoziharibu, utalipia 30,000. Na kupewa number mpya zenue viwango, hizo ulizozibandua kisheria hazisomeki.
Sawa, nimeuliza, baada ya kubandua kwa lazima na kufuta namba za chini yake, camera ndio zinaweza kusoma?Ni ushamba uliopitiliza kubandika ma plastic mbele ya namba ambayo imeandikwa kitaalamu na madini yanayo reflect mwanga. Wewe kwa ulimbukeni wako unakuja kubandika makorokocho yanayofanya muundo wa herufi ubadilike. Ningekuwa Mimi ni serikali ilikuwa nikikukanata umejaribu plate number kwa kubandika hayo ma.plastik ni jela miezi 6 ili ukajifunze nidhamu. Jinga kabisa.
Kwahiyo kumbe ni mtu anatengenezewa biashara kwa lazima sio?Wakikuta namba zimefutika utatakiwa kununua mpya. Hizo namba za magari zipo kisheria. Na ndani ya sheria hakuna masuala ya 3D. Huwezi kuvunja sheria halafu unauliza maswali. Kama baada ya kutoa zimefutika kanunue plate number mpya.
Zinavutia zaidi machoni, hilo lipo dhahiriHao wanaoweka 3D wanataka nini hasa? Kuna faida gani ya 3D ambayo unapata kuliko 2D
Kwahiyo mtu anatengenezewa biashara hapa kwa lazima, si ndio?kwa ufupi ni kuwa unapotengenezewa namba za 3D zile namba zako za awali za 2D unabaki nazo, kwa hiyo ni suala la kuziweka tu.
Ndicho ninachosema, ni ulaji wanatengenezeanaHili la kusema Mashine zao hazina uwezo wa kusoma 3d plate no Ni uongo mwepesi Sana , Ina maana ndani ya kipindi chote ambapo 3d zimekuwepo , gari zenye 3d zimekuwa hazikamatwi na torch zao ? Binafsi nilishakamatwa na hizo camera nikiwa nadaiwa na gari ilikuwa na 3d
Wanapobandua na namba kufutika, ni kwanini wanakuachia uingie barabarani?Unatakiwa kuweka plate number mpya maana wakikuta plate number iliyochunika wanakamata gari yako
Ndio maisha yetu kibongobongo . Huwa ni miradi ya wanaojulikana kwa ujumla kama vigogo. Ukianza kutafuta mmoja mmoja unaweza ishia kupoteza uhai wako au kupewa ulemavu wa kudumu ama kuikimbia nchi yako. Refer NIDA, kilimo kwanza (power tila) na mingine mingiWanapobandua na namba kufutika, ni kwanini wanakuachia uingie barabarani?
Kumbe ni biashara mtu anatengenezewa kwa kuumiza wananchi kikatili namna hii?!! Maana kampuni za kuprint plate ni hadi upewe tender na TRA, na wanapewna wenyewe..
Camera huwa zinasoma plate number au zina detect spidi ya gari inayokuja mbele?Polisi waweke camera zenye uwezo wa kusoma 3D license plate.
Hayo maandishi ya angalizo, however, Be sure to verify the legality of the plates in your are ni muhimu sana. Wa bongo hili hamkuzingatia sasa zinabanduliwa.
Mkuu Francis,Wanapobandua na namba kufutika, ni kwanini wanakuachia uingie barabarani?
Kumbe ni biashara mtu anatengenezewa kwa kuumiza wananchi kikatili namna hii?!! Maana kampuni za kuprint plate ni hadi upewe tender na TRA, na wanapewna wenyewe..
Hii nchi Ngumu KakaHili la kusema Mashine zao hazina uwezo wa kusoma 3d plate no Ni uongo mwepesi Sana , Ina maana ndani ya kipindi chote ambapo 3d zimekuwepo , gari zenye 3d zimekuwa hazikamatwi na torch zao ? Binafsi nilishakamatwa na hizo camera nikiwa nadaiwa na gari ilikuwa na 3d
Kuna camera za aina mbili barabaraniCamera huwa zinasoma plate number au zina detect spidi ya gari inayokuja mbele?
Embu tufafanulie wewe Zile plate number na mashine kuna mechanism gani kiasi cha kwamba ukiweka 3D hauwezi kusoma?