Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 593
- 2,219
Una IQ ndogo mno....... hapo wanabandua kuwa ukaweke plate number mpya inayofuata sheria ....sio utembee na hiyo ilibanduliwa...... yaaani una IQ ndogo mno hadi nimeona huruma sana ...Siongei chochote, ila nauliza tu, baada ya kubandua, hizo namba zinapofutika, ndio Camera za polisi zinaweza kusoma?View attachment 2938786
==========================
Hakuna 3D pale,yaani mavitu yanabadnikwa vichochoroni wewe unaita 3D?Hili la kusema Mashine zao hazina uwezo wa kusoma 3d plate no Ni uongo mwepesi Sana , Ina maana ndani ya kipindi chote ambapo 3d zimekuwepo , gari zenye 3d zimekuwa hazikamatwi na torch zao ? Binafsi nilishakamatwa na hizo camera nikiwa nadaiwa na gari ilikuwa na 3d
ikisha vutia machoni what is next?Zinavutia zaidi machoni, hilo lipo dhahiri
Huwezi kuta watu serious nchi hii wanahangaika na huu ujingaZinavutia zaidi machoni, hilo lipo dhahiri
3D huwezi tofautisha O NA Q.. yani E na B ni kama moja tuu.Najua Police excuse yao kubwa ni namba hazisomwi na camera zao wanaotegesha zisome madeni etc.
Ila twende na technology, Police wanatakiwa wawe na magari ya patrol ambayo yapo equiped na ANPR cameras (Automatic Number Plate Recognition Cameras). Ambayo inafanya kazi kama zile camera zao wanazotegesha njiani zina detect magari yasio na bima, yenye madeni na yenye uharifu.
View attachment 2938807
Issue ya kuzingizia 3D numbers ñi kwasababu vifaa vyetu vipo outdated sana.
Baadhi ya Nchi zilioendelea wameweka 3D numbers kama premium option tu kwa magari, na wala haikatazwi.
View attachment 2938810
Kiukweli zile nambaaa hazifaiii hasa when comes to technlogy yani Plate namba ukiwa karibu tu inachanganya sasa Camera za mbali zitaonaa kitu kwelii...!! Hatari tupuuHili la kusema Mashine zao hazina uwezo wa kusoma 3d plate no Ni uongo mwepesi Sana , Ina maana ndani ya kipindi chote ambapo 3d zimekuwepo , gari zenye 3d zimekuwa hazikamatwi na torch zao ? Binafsi nilishakamatwa na hizo camera nikiwa nadaiwa na gari ilikuwa na 3d
Hakunaga O kwenye number plate za commercial na private.3D huwezi tofautisha O NA Q.. yani E na B ni kama moja tuu.
Plate # zetu za zamani wala hatukuwa na mbwembwe...Ila bongo asee mara 3d plate number mara tinted vioo vya mbele mradi tafrani....
Haswa kama UK walikuwa wanasumbuliwa na 3D ila sasa ni Legal kwa sababu wameboresha camera hakuna ujanja tenaPolisi waweke camera zenye uwezo wa kusoma 3D license plate.
Wewe badala ya kujibu swali, unaanza kejeli. Sawa mtaalam nimekuelewaHuwezi jua unazania plate number ni za kujitengenezea kama majiko ya mkaa?
Shida kubwa hapa ni ulaji wa watu umeingiliwa. Hayo maneno kuwa hazisomwi kwenye kamera za fine barabaran ni uongo. Nipekamatiwa gari Kwa kosa la kuchelewa kulipa fine. Kwa kamera za barabaran.Whether zinasoma au hazisomi, nipe sababu ya kitaalamu ya kuzibandika hayo ma plastic
Halafu uliwahi kufanya tafiti kati ya hizo namba zililochakachuliwa kwe kubandikwa hayo ma plastic na zile zilizoithinisha kwa kuzisoma ukiwa pembeni?
Ulaji wa watu gani,? Mbona Watanzania vichwa panzi namna hii?Kumbuka hakuna mtu anazalisha hayo ma plastic mnayoyaita 3D from the scratch. Wanachukua hizo hizo namba za official dealer na kuziharibu kwa kuweka layer juu yake. Kumbuka wale supplier wa kutengeneza namba hawajalalamika kuwa wamepata mashindano Bali ni mamlaka zinalalamika vitu ambavyo vipo sokoni vimebadilishwa.Niambie ni nchi gani inafanys huo upuuzi? Umeanzishwa na mabishoo wachache Sasa wabongo kwa ulimbukeni wa kuiga makosa tunskimbilia vitu visivyo na masnaShida kubwa hapa ni ulaji wa watu umeingiliwa. Hayo maneno kuwa hazisomwi kwenye kamera za fine barabaran ni uongo. Nipekamatiwa gari Kwa kosa la kuchelewa kulipa fine. Kwa kamera za barabaran.
Issue ya kosomeka vizur zinasomeka hata ukiwa pembeni. Mita 100 bado zinasomeka vizur tu.
Issue ya TBS ndo uongo mtupu kuwa hazina viwango. Hazina ukweli wowote ule. Ukiona mtu anatetea humu jua ni mnufaika wa 2D au ni trafiki kuhalalisha fine
Inaweza kuwa labda kuna ugumu fulani (kwenye baadhi ya situation haziwezi kusoma). Kwangu mimi nadhani ni sahihi kwa sababu palte number za gari zinzatakiwa kuwa uniform kwa magari yote na standard iwe moja.Siongei chochote, ila nauliza tu, baada ya kubandua, hizo namba zinapofutika, ndio Camera za polisi zinaweza kusoma?View attachment 2938786
==========================
Acha ujinga, viwango vipo kwenye plates sio herufi hii nchi shida ni exposure. Vibao vina standard size na ung'aaji zinapomulikwa na mwanga, shida imekuja kwa wale waliopewa monopoly ya kuprint na kuuza hizo namba kuona hatari ya kupoteza biasharaSio rasmi na hazina viwango, nenda wanapozitengeneza, ni vishoka tu wanavibandika vichochoroni. Wako sahihi, havina ubora wa TBS
Wewe maandazi kweli, unavikiri wansjiamdikia kienyeji.Plste pamoja na maandishi ni proces Moja yenye uboranunaozingatia viwango vya kimataifa. Sasa kuacha Kila mtu ajibadikie atakavyo itakuwa nchi Ina sheria kweli? Mwisho wa siku hefufi zitabafilishwa kwa au watahamia hatua ya pili ya kujiwekea ma font ya ajabu ajabuAcha ujinga, viwango vipo kwenye plates sio herufi hii nchi shida ni exposure. Vibao vina standard size na ung'aaji zinapomulikwa na mwanga, shida imekuja kwa wale waliopewa monopoly ya kuprint na kuuza hizo namba kuona hatari ya kupoteza biashara