Aliyetoa amri ya kubandua plate number za 3D akapimwe akili

,inaonekana test walizozifanya kudetect namba walitumia vibao plane kwahiyo inaonekana hizo 3D zinawasumbua kudetect ,ndiyo maana nikashauri waboreshe camera zao ziwe zinauwezo pia kwa kudetect 3D.
Wanaotengeneza number plates wamepewa tenda kihalali na wanalipia vibari vyao. Hawa wa 3D hawako kisheria. Walio lalamika ni wenye leseni halali ya kutengeneza number plates kuhusu masirahi yao.

Cameras zimesingiziwa tu kuongeza uzito.
 
Number plates ni plate zinazoandikwa namba, plate number ni namba inayoandikwa kwenye plate. Sasa niambie kipi ni sahihi na kwanini?
 
Ukibandua unaharibu namba ya awali, na hapo ndipo wanapata ulaji kutengeneza mpya, ni ulaji tu wanapewa..
 
Hao wanaobandua kwa lazima barabarani kwa mtindo wa operesheni ni trafiki wenyewe. Kwahiyo kumbe hii ni biashara anatengenezewa mtu, si ndio?!
Ni ujinga kuwaza hivi, sheria hairuhusu 3D kwanini uweke?
 
Ukibandua unaharibu namba ya awali, na hapo ndipo wanapata ulaji kutengeneza mpya, ni ulaji tu wanapewa..
Aliyeharibu ni nani? Aliteye temper patent rights ya namba za awali kwa kubandika kitu ambacho ni counterfeit au aliyemshugulikia mharibifu huyo kutokuendelea kuvunja sheria za hatinmililki?
 
Aliyeharibu ni nani? Aliteye temper patent rights ya namba za awali kwa kubandika kitu ambacho ni counterfeit au aliyemshugulikia mharibifu huyo kutokuendelea kuvunja sheria za hatinmililki?
Kwanini ubandue, why?! Camera ni uongo mtupu!
 
Nimeuliza, baada ya kubandua na kufuta zile namba za awali, camera ndio zinaweza kusoma?
Ukiondoa 3D zikabaki kama inavyoonekana kwenye picha uliyoweka hapo unapigwa faini namba haionekani. Unatakiwa ubadilishe kibao kabisa sio kubandua, ukishindwa kutengeneza vibao vipya basi tafuta mchoraji arudishie maandishi yaonekane kwa muonekano ule ule wa masasi sign.
 
kwani plate number za kawaida zinawekwa na seikali? sio kampuni binafisi?
Ni kampuni binafsi zinapewa tenda na serikali zikifanya kazi sambamba na mamlaka ya mapato.

Zamani contract nyingi walikuwa wanachukua Masasi Signs currently sijui.
 
It's all about money!

Tanzania tuna mabingwa wa kutoa matamshi yenye tahadhari na kutunga sheria wanazozivunja wenyewe alimradi pesa inaingia hazina kuu au mifukoni mwao,sasa hivi hizo namba zinawekwa na wachoraji mbalimbali mitaani hovyo so waliojipachika ukubwa wamechungulia wameona upande huo kuna shilingi wakaona waanze figisu tenda wachukue wao wapige hela.
 
Mkuu,

Kimantiki una kesi kubwa sana na inayokubalika unaweza kuijenga hapo, hata kabla ya kuangalia the nitty gritty detail huko.

Haiwezekani tudanganywe 3D numbers zina tatizo kusomeka wakati tunaona hizo nchi zilizoendelea zenyewe wanazotuambia wameweka mpaka muongozo wa kuweka legal 3D numbers. Nimeweka link hapo.

Walifikiri hatutaweza hata ku Google?

Wanadanganya mpaka vitu tunavyoweza ku Google na kupata majibu ndani ya dakika tano tu.
 
Hao watengenezaji wa 3d wanaharibu biashara kivipi wakati Bila plate no zao hizo 3d zinawekwa wapi ? ... By the way Kwa namna moja ama nyingine 3d zimebooat Sana sokonla plate no maana hata yule mwenye plates za zamani inamlazimu kuweka Mpya ili 3d ipendeze vizuri .
 
Wenye Mamlaka wamekuwa na kauli mbili mbili zinazochanganya raia
 

Attachments

  • IMG-20240319-WA0003.jpg
    87.4 KB · Views: 1
Kwani hiyo 3D ndo maana yake Nini wadau.
Nilikuwa najua eti ni mlolongo wa usajili wa magar kulingana na namba za usajiri TRA Mfano kuanzia namba A,B,C,D,Mpaka mwaka huu naona E au imekaaje🤔.Elimu tafadhali kwangu,na kuulizia sio ujinga.Asanteni.🙏
 
Ni mastika wahuni wanabandika kwenye namba hizi za kawaida zinakua nene kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…