Aliyeuawa na Mumewe 2019 kuagwa leo

Aliyeuawa na Mumewe 2019 kuagwa leo

Mkishindwana tumia akili, maarifa na busara. Usihemkwe, binafsi nitamuacha na kuondoka, nitamuachia almost kila kitu, watoto wataishi, itanichukua muda nitarudi kwenye mstari.
 
Ukiona mtu humuelewi achaneni kwa amani tu mambo ya kuanza kuwindana na kuchomana moto au kupigana visu na risasi sio mchongo..
 
Jamaa yupi,chanzo ni mwanamke kuchepuka chepuka
Bora jamaa angekuwa mwanachama wa kataa ndoaa tu
Mpaka leo nahisi jamaa angelica hatua kubwa zaidi syo kuishia jela

Ova
Mwanaume mwenyewe alisema mkewe alichoka kuvumilia kwa Yale aliyokuwa anafanyiwa na mumewe
 
Huyo hamisi inasemekana hakumuua Kwa kukusudia mke wake ispokuwa mke wake alikuja usiku nyumbani kutokea kwenye pombe na alipomuuliza Kwa Nini umechelewa kukawa na purukushani Hadi yule mkewe akaangukia kisogo kutoka ghorofani na kupelekea kufariki.ili kukwepa hatia ya kuua ndiyo akafanya namna alivyofanya kumchoma kama njia ya kufuta ushahidi.Hii iliandikwa na boniphas yai kule X zamani Twitter.Na yeye alijua baada ya kukaa gererzani na kukutana na huyo hamis akamwekeza Hali halisi ilivyokuwa.
Kwahio hapa tunasema aliua kitu kilichokua kimeshakufa ..Sasa Wanasheria embu mtusaidie hapa...kwa mfano kungekua na kamera zilizorekodi tukio na ikaonesha kua alianguka mwenyewe..je ingekuaje ..kuua bila kukusudia ..si ndio..Sasa akaenda kuchoma moto mwili uliouawawa bila kukusudia..hapo tunasemaje tena..naona adhabu ya kunyongwa imekua too harsh labda angefungwa miaka mingi..lakin hii kesi huwez amini kwa Wanasheria wabobevu huko duniani hii kesi angeweza kushinda ama kupunguziwa miaka ikawa michache gerezani (with possibility of parole) ila Sababu hapa kwetu na afrika kwa ujumla hua maamuz kama haya yanakuja na mihemko na hisia nyingi nyingine zinatumika kisiasa n.k..
 
apumzike kwa amani dada yetu, dada zetu mliobakia msi date waislamu kuna gharama kubwa …

Si nasikia Hamisi aliritadi au?

Bali nawanasihi Waislam wenzangu pamoja na kuinasihi nafsi yangu usiiache Dini ya Uislam kwa SABABU YOYOTE ILE ikiwemo Ndoa.

USIUACHE UISLAMU.

ayat 19 from Surah Al Imran
﴿إِنَّ الدِّينَ عِندَ اللَّهِ الْإِسْلَامُ ۗ وَمَا اخْتَلَفَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ إِلَّا مِن بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْعِلْمُ بَغْيًا بَيْنَهُمْ ۗ وَمَن يَكْفُرْ بِآيَاتِ اللَّهِ فَإِنَّ اللَّهَ سَرِيعُ الْحِسَابِ﴾
[ آل عمران: 19]

Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.

وَمَن يَبْتَغِ غَيْرَ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَن يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الْآخِرَةِ مِنَ الْخَاسِرِينَ

“Na yeyote anayetaka dini isiyokuwa ya Kiislamu basi haitokubaliwa kutoka kwake, naye katika Aakhirah atakuwa miongoni mwa waliokhasirika.” (03:85)

Uislam una thamani mno kwetu kuliko hata roho zetu. Neema kubwa zaidi ya Allah kwa waja wake ni kuwaongoza katika Uislam Dini yake aliyowachagulia Waja wake. Ndio sababu ya kufaulu Duniani na Akhera.

Wala tusife ila tukiwa Waislam.

ayat 102 from Surah Al Imran
﴿يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّهَ حَقَّ تُقَاتِهِ وَلَا تَمُوتُنَّ إِلَّا وَأَنتُم مُّسْلِمُونَ﴾
[ آل عمران: 102]

Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu kama ipasavyo kumcha; wala msife ila nanyi ni Waislamu.

Namuomba Allah anifishe katika Uislam na Sunnah. Aamiin

Namuomba Allah amuongoze Hamisi katika Uislam, Aamiin
Na hili liwe funzo kwetu sote.

Namuomba Allah atufishe katika Tawheed na Sunnah. Aamiin.
 
kwani hamisi hajanyongwa bado?
 
Tatizo haikuthibitika na ushahidi ungepotea , sasa hivi ndio imethibitika kimahaka kwamba alifariki

Kesi ngumu ilikuwa maana mlengwa aligeuka na kusema hakumuua
 
Si nasikia Hamisi aliritadi au?

Bali nawanasihi Waislam wenzangu pamoja na kuinasihi nafsi yangu usiiache Dini ya Uislam kwa SABABU YOYOTE ILE ikiwemo Ndoa.

USIUACHE UISLAMU.

ayat 19 from Surah Al Imran
﴿إِنَّ الدِّينَ عِندَ اللَّهِ الْإِسْلَامُ ۗ وَمَا اخْتَلَفَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ إِلَّا مِن بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْعِلْمُ بَغْيًا بَيْنَهُمْ ۗ وَمَن يَكْفُرْ بِآيَاتِ اللَّهِ فَإِنَّ اللَّهَ سَرِيعُ الْحِسَابِ﴾
[ آل عمران: 19]

Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.

وَمَن يَبْتَغِ غَيْرَ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَن يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الْآخِرَةِ مِنَ الْخَاسِرِينَ

“Na yeyote anayetaka dini isiyokuwa ya Kiislamu basi haitokubaliwa kutoka kwake, naye katika Aakhirah atakuwa miongoni mwa waliokhasirika.” (03:85)

Uislam una thamani mno kwetu kuliko hata roho zetu. Neema kubwa zaidi ya Allah kwa waja wake ni kuwaongoza katika Uislam Dini yake aliyowachagulia Waja wake. Ndio sababu ya kufaulu Duniani na Akhera.

Wala tusife ila tukiwa Waislam.

ayat 102 from Surah Al Imran
﴿يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّهَ حَقَّ تُقَاتِهِ وَلَا تَمُوتُنَّ إِلَّا وَأَنتُم مُّسْلِمُونَ﴾
[ آل عمران: 102]

Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu kama ipasavyo kumcha; wala msife ila nanyi ni Waislamu.

Namuomba Allah anifishe katika Uislam na Sunnah. Aamiin

Namuomba Allah amuongoze Hamisi katika Uislam, Aamiin
Na hili liwe funzo kwetu sote.

Namuomba Allah atufishe katika Tawheed na Sunnah. Aamiin.
Mna mafundisho ya kiduanzi sana nyie watu!
 
Back
Top Bottom