Aliyewaandaa Masanja na Nyerere kwenda kuzungumza Mbele ya viongozi wa Mataifa mbalimbali awajibishwe

Punguza jazba baba . Utapata presha bure tukuzike Kabla ya wakati wako. Hao majamaa hapo waliitwa hapo kama entertainers.
Kuita watu kufanya entertainment halafu watu wenyewe ndo kama akina masanja, adamu mchovu na wengine wenye tabia kama hizo basi taifa letu bado tuna safari ndefu sana kiukweli
 
Kuita watu kufanya entertainment halafu watu wenyewe ndo kama akina masanja, adamu mchovu na wengine wenye tabia kama hizo basi taifa letu bado tuna safari ndefu sana kiukweli
Kwahiyo Ulitaka watu Kama wakina nani kwamfano ? Masanja Ni maarufu na anaingiza pesa kwaajili ya huo huo mnaoita ujinga. Na hapo kaitwa kwaajili ya kufanya huo huo ujinga maana wafuatiliaji wapo.
Kwani nyie wenzetu ni wageni na comedians ?
 
Masanja mwenyewe mjinga flani na maviati yake makubwa kuliko akili yake
 
Yani ndio mnajikuta eti nyie mko serious kwenye kila issue kwenye inji hii 😂😂😂
Hata hamtaki kuelewa kwamba hapa hawa watu wanaburudisha tu umati.
Mngekua serious kiasi hicho si mngeshajikomboa Kutoka mikononi mwa ccm. kila siku Ni kulialia inji hii mara kimepanda mara kimeshuka . Nyie ndio wanafiki wenyewe aliowasemea Yesu. Hovyoo
 
wameharibu tu shoo, wanaleta ujingaujinga kwenye mambo ya msingi. kulikuwa na marais wametoka nchi mbalimbali pale sijui watasema wameona nini kile.
 
Nakwambia bajeti ya wasanii kuanzia tarehe nne ni zaidi ya majuma nane ya mkwanja. Na ndio kazi zao hizo sasa. Tabu sana

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya ccm tuwaachie watajuana wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…