Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuita watu kufanya entertainment halafu watu wenyewe ndo kama akina masanja, adamu mchovu na wengine wenye tabia kama hizo basi taifa letu bado tuna safari ndefu sana kiukweliPunguza jazba baba . Utapata presha bure tukuzike Kabla ya wakati wako. Hao majamaa hapo waliitwa hapo kama entertainers.
Kwahiyo Ulitaka watu Kama wakina nani kwamfano ? Masanja Ni maarufu na anaingiza pesa kwaajili ya huo huo mnaoita ujinga. Na hapo kaitwa kwaajili ya kufanya huo huo ujinga maana wafuatiliaji wapo.Kuita watu kufanya entertainment halafu watu wenyewe ndo kama akina masanja, adamu mchovu na wengine wenye tabia kama hizo basi taifa letu bado tuna safari ndefu sana kiukweli
Masanja mwenyewe mjinga flani na maviati yake makubwa kuliko akili yakeYaani jamaa very bogus tena akawananga wanajeshi wa tz eti wapowapo tu hawana kazi kwa hiyo rais amuombe kagame awachukue akawape kazi wanajeshi wa tanzania
Halafu akamleta jamaa yake akamuiga nyerere akaboronga hadi akaambiwa inatosha.
Eti majaliwa kijana wa nyerere wapi na wapi huyu samia mwenyewe hata nyerere alikuwa hamtambui
Nyie akina shaka achaneni na Huyo masanja anaropokaropoka tu upumbavu
CCM ndio wanaonaga Ni mjanja wao.Masanja mwenyewe mjinga flani na maviati yake makubwa kuliko akili yake
Katia aibu na hajui kuchekesha kabisaCCM ndio wanaonaga Ni mjanja wao.
Aisee hii ni aibuSiyo akawape kazi, alisema nanukuu
"Ikiwezekana mkuu wa majeshi amuombe Kagame pambano la kirafiki"
Mwisho wa kunukuu, asante kwa kunisikiliza.
wameharibu tu shoo, wanaleta ujingaujinga kwenye mambo ya msingi. kulikuwa na marais wametoka nchi mbalimbali pale sijui watasema wameona nini kile.Katika hafla kubwa ya Kitaifa kama iliyofanyika Le ambayo camera za mataifa Mbalimbali zinaelekezwa Kwetu tumeshindwaje kuleta watu wenye akili wanaoweza kuitangaza nchi tunaleta watu Wanafoka na kuongea vitu visivyoeleweka. Mtu huyu anaongea as if yupo kwenye mkutano wa Kijiji. Bora tungewapa Maliasili hizo dakokika watuonyeshe rasilimali zetu za kitalii.
Kama tuliona masanja ana umuhimu tulishindwa kumuuliza anakwenda kusema nn? Aliyempa tenda masanJa anafanya nn Ofisini?
Nakwambia bajeti ya wasanii kuanzia tarehe nne ni zaidi ya majuma nane ya mkwanja. Na ndio kazi zao hizo sasa. Tabu sanaKatika hafla kubwa ya Kitaifa kama iliyofanyika Le ambayo camera za mataifa Mbalimbali zinaelekezwa Kwetu tumeshindwaje kuleta watu wenye akili wanaoweza kuitangaza nchi tunaleta watu Wanafoka na kuongea vitu visivyoeleweka. Mtu huyu anaongea as if yupo kwenye mkutano wa Kijiji. Bora tungewapa Maliasili hizo dakokika watuonyeshe rasilimali zetu za kitalii.
Kama tuliona masanja ana umuhimu tulishindwa kumuuliza anakwenda kusema nn? Aliyempa tenda masanJa anafanya nn Ofisini?
Baba MchungajiMasanja ni mtu wa kujipendekeza yani anaishi mjini kisanii tu , ni mropokaji sana
Wageni wakija kwenu unaweza kumpokonya mamaako kanga akabakiwa na chupi kwa nia tuu ya kuwachekesha wageni. Acha kutetea ujinga kima ww.Punguza jazba baba . Utapata presha bure tukuzike Kabla ya wakati wako. Hao majamaa hapo waliitwa hapo kama entertainers.
Mambo ya ccm tuwaachie watajuana wenyeweYaani jamaa very bogus tena akawananga wanajeshi wa tz eti wapowapo tu hawana kazi kwa hiyo rais amuombe kagame awachukue akawape kazi wanajeshi wa tanzania
Halafu akamleta jamaa yake akamuiga nyerere akaboronga hadi akaambiwa inatosha.
Eti majaliwa kijana wa nyerere wapi na wapi huyu samia mwenyewe hata nyerere alikuwa hamtambui
Nyie akina shaka achaneni na Huyo masanja anaropokaropoka tu upumbavu