TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah(Burji) afariki dunia

Huyo ni Kamanda wa scout Tanzania, unawajuwa scouts ni nani?
Hayo ni mavazi rasmi ya scout Tanzania. Na hizo rangi za scarf ana badge aliyovaa ni rangi unazoziona kwenye bendera ya Tanzania. Kama huipendi bendera ya Tanzania hama nchi.
Mara ya kwanza waliweka amevaa vazi la ccm,Moderate amebadilisha na kuweka ya scout baada ya watu kuchukia marangi ya kijani
 
18 Sep 2014
Mbunge wa Mafia Ndugu Abdulkarim Shah akizungumzia maendeleo ya ujenzi wa tuta la Banja wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. Tuta hilo litaunganisha vijiji vya Banja na Jojo

RIP aliyekuwa mbunge wa Mafia Abdulkarim Shah.

Source : Adam Mzee
 
My PM,hana makuu. Anazunguka mashirika na kwa wenye pesa kutafuta pesa kushughulikia hili janga la mlipuko wa virus wa corona. Amejiweka katika hatari kubwa,vyombo vya ulinzi wachukue tahadhari kubwa kuwalinda viongozi. No.1 ???
 
RIP

Jr[emoji769]
 
Inamaana Magufuli angekuwepo tu Dar najua angejichanganya kupokea ile hundi. Dah kuwa Chattle ana maana kubwa. Na kwa jinsi haya yanavyoendelea kutokea ndo kutaendelea kumfanya avute vute muda kurejea mjini.

Confusion here, confusion there.. Huku koonaaaa kule tititititittiti basi ni vurugu mechi kila sehemu!
 
Mara ya kwanza waliweka amevaa vazi la ccm,Moderate amebadilisha na kuweka ya scout baada ya watu kuchukia marangi ya kijani
Hizi??
 

Attachments

  • IMG-20200425-WA0132.jpg
    48.1 KB · Views: 1
  • IMG-20200425-WA0131.jpg
    31.1 KB · Views: 1

Ingetegemea ,sababu mambo ya majanga ya aina yoyote yanaratibiwa au yapo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…