Wewe si Mchagga mwenzio huyo tena ni mwenyekiti wako wa maisha?Nikuulize wewe kimada wake
Una mtindio wa ubongo si bure, hebu andika vizuri kwanza! Unakimbizwa na nani? Wachaga wammekukosea nini? Mara mchaga mwenzio mara Mwenyekiti wa wachaga wa maisha! Tulia, kama swaumu imekuzidia kunywa hata maji.Wewe si Mchagga mwenzio huyo tena ni mwenyekiti wako wa maisha?
Au hunanhabsti za mwenyekiti wako? Huelewi kuwa Corona Hana adabu ya vyama? Katinga mpaka Kwa mwenyekiti wa wachagga wa maisha.
Utabwabwaja na kuhororoja Sana. Yamekuingia.Una mtindio wa ubongo si bure, hebu andika vizuri kwanza! Unakimbizwa na nani? Wachaga wammekukosea nini? Mara mchaga mwenzio mara Mwenyekiti wa wachaga wa maisha! Tulia, kama swaumu imekuzidia kunywa hata maji.
Au unakumbuka pesa yako uliyotapeliwa na kutapeli watu kule Vitendo Saccoss kwa kivuli cha dini? Taarifa zako ninazo!
Anayebwabwaja ni wewe, moja haikai, mbele inagoma tatu inatema! Tulia, Mwenyekiti amepona inshaallah, haya nambie na wewe Mwenyekiti wako anaendeleaje?Utabwabwaja na kuhororoja Sana. Yamekuingia.
Vipi mwenyekiti aliwekwa karantini?
Lakini kumbuka pamoja na ccm kuwa kimya hasa kina polepole kuhusu corona lkn ikifika october 2020 watarudi kwa wananchi wote kugawa bute kofia tshirt kanga pilau na pombe za kienyeji wkt sasa hivi wanashindwa kugawa sanitaiza na maskSasa hivi hakuna CCM hakuna chadema, hakuna maziko ya kujazana kungoja pombe za bure au pilau la msibani.
Bendera imewahi kukusaidia nn? Tuanzie hapo kwanza...Unastahili uhame Kama umefikia kipindi huipendi bendera ya Tanzania
Kwani kwako binafsi bendera ina faida gani mpaka unaanza kuiabudu?Subiri uingoje kuhama, lakini wakati unasubiri elewa kuwa bendera ya Tanzania utaendelea kuiona kama ilivyo. Kumbuka hilo.
Nani aliyekudanganya bendera inaabudiwa?Kwani kwako binafsi bendera ina faida gani mpaka unaanza kuiabudu?
Kwa nini mkuu?,sijakufamu vizuri em dadavua kidogo
Hivi we ajuza huwa unanusa ugoro? Endelea kujifungia mpuuzi wahed. Hii corona ni adui yako namba moja bado mdomo kama samaki.Wewe si Mchagga mwenzio huyo tena ni mwenyekiti wako wa maisha?
Au huna habari za mwenyekiti wako? Huelewi kuwa Corona Hana adabu ya vyama? Katinga mpaka kwa mwenyekiti wa wachagga wa maisha.
Kaajuza kahovyo kweli ni kahamiaji kanajidai kana milki na Tanzania. Swain kabisa huyu.Acha kupanic kishamba...bendera kwako binafsi na familia yako ina faida gani?
Kifo cha nani sasa hivi ambacho hakizikwi na watu wachache?
DuhBendera imewahi kukusaidia nn? Tuanzie hapo kwanza...
Wapi, lini?Baba yake waziri wa mambo ya ndan alizikwa na weng tu co hao kumi wanaotajwatajwa nw
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes karantini inawahusu! Wote hao!Kwa Wale Wagumu wa kuelewa, hili ni swali na sio msimamo wala nini? Tarehe 16/04/2020 pichani PM akiwa na Marehemu, je wakawekwe karantini??
View attachment 1430617
Kwa nini?Yes karantini inawahusu! Wote hao!
Utapata majibu soon!Kwa nini?